HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Lissu aanza kumbana shahidi wa pili, ataendelea J’tatu October 10, 2025 Erasto Masalu MAHAKAMA Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam leo tarehe 10 Oktoba 2025, imeendelea na usikulizaji wa shauri Na. 19605/2025 la uhaini linalomkabili Tundu Lissu – Mwenyekiti wa Chama cha…
HABARI MCHANGANYIKO KIMATAIFA Uhamiaji yawang’ang’ania wageni wa Lissu October 10, 2025 Erasto Masalu TUNDU Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) leo tarehe 10 Oktoba 2025, ameieleza Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam, kuwa bado idara ya uhamiaji nchini…
HABARI MCHANGANYIKO Kitabu cha Lissu chazua gumzo mahakamani October 9, 2025 Erasto Masalu KITABU cha Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, kinachohusu uchaguzi na mifumo yake nchini Tanzania kimezua gumzo katika Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Maswali ya majibu ya shahidi wa pili wa kesi ya Lissu October 9, 2025 Erasto Masalu MAHAKAMA Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam, imeendelea na usikilizaji wa shauri Na. 19605/2025 ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ambapo leo…
HABARI MCHANGANYIKO Kesi ya Polepole, IGP na wenzake wapewa siku tano kuwasilisha viapo October 9, 2025 Erasto Masalu WAKILI wa Balozi wa zamani wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, Peter Kibatala amesema kuwa mahakama imewataka wajibu maombi ambao ni Inspekta Jenerali wa Polisi (IJP), Mwanasheria Mkuu wa Serikali…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Maombi ya kutaka Polepole kufikishwa mahakamani hayatekelezeki October 9, 2025 Erasto Masalu WAKILI wa Serikali Mwandamizi Faraja Nguka ameieleza Mahakama kuwa maombi yaliyofunguliwa na Familia ya Humphrey Polepole dhidi ya Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) na wenzake wanne (4) wakitaka…
HABARI MCHANGANYIKO Hivi ndivyo alivyohitimisha shahidi wa kwanza kesi ya Lissu October 9, 2025 Erasto Masalu MAHAKAMA Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam inaendelea na kusikiliza shauri Na. 19605/2025 ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu – Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ambapo leo…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Yaliyojiri mahakamani kesi ya Lissu neno kwa neno October 8, 2025 Erasto Masalu TUNDU Lissu – Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), leo tarehe 8 Oktoba 2025 akiwa anamuuliza maswali ya Dodoso shahidi wa awali wa ambaye ni ASP George Bagyemu…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Lissu aibua mapya mahakamani October 8, 2025 Erasto Masalu GEORGE Bagyemu, Naibu Mkuu wa Upelelezi (ASP), Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, amedai kuwa Freeman Mbowe, aliyekuwa mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kwa miongo miwili, ni…
HABARI MCHANGANYIKO Polisi wanamaji wakabidhiwa boti kuimarisha ulinzi October 8, 2025 Erasto Masalu KIKOSI Kikosi cha Polisi Wanamaji Zanzibar kimepokea boti mpya ya kisasa kwa ajili ya shughuli za doria, operesheni na uokoaji kwenye maeneo ya baharini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea).…