HABARI MCHANGANYIKO Mahakama Kuu yakataa Kibatala, mdogo wa Polepole kuhojiwa October 16, 2025 Erasto Masalu MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, imekataa na kutupilia mbali pingamizi lililowasilishwa na upande wa Jamhuri katika kesi iliyofunguliwa na aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI JWTZ latoa tamko kuelekea Uchaguzi Mkuu October 16, 2025 Erasto Masalu JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetoa tamko rasmi likieleza kuwa linaendelea kufuatilia kwa karibu hali ya Ulinzi na Usalama nchini katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Isingewezekana Mpina kupata haki – Shahidi wa serikali kesi ya Lissu October 16, 2025 Erasto Masalu TUNDU Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anayeshtakiwa kwa uhaini katika Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam, amemuuliza maswali ya dodoso shahidi wa pili wa…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Ndege iliyobeba mwili wa Raila Odinga ndiyo inayofuatiliwa zaidi duniani October 16, 2025 Erasto Masalu KQA202, ndege iliyobeba ujumbe wa serikali ya Kenya wenye mwili wa aliyekuwa mwanasiasa mashuhuri nchini humo, Raila Odinga, kutoka India kuelekea Nairobi, ndio inayofuatiliwa zaidi duniani kwenye Flightradar24. Anaripoti Mwandishi…
HABARI MCHANGANYIKO Watuhumiwa 17 mbaroni kwa wizi wa pikipiki Zanzibar October 15, 2025 Erasto Masalu JESHI la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linawashikilia watuhumiwa 17 waliohusika katika makosa ya wizi wa pikipiki ambazo ziliibiwa na kuuzwa maeneo mbalimbali ndani ya Zanzibar. Anaripoti Mwandishi Wetu,…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Lissu hajamalizana na shaihidi wa serikali, msiba waahilisha kesi yake October 15, 2025 Erasto Masalu MAHAKAMA Kuu, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, leo tarehe 15 Oktoba 2025, imeendelea kusikiliza kesi Na. 19605/2025, Jamhuri dhidi ya Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo…
HABARI MCHANGANYIKO KIMATAIFA TANGULIZI Raila Odinga afariki dunia October 15, 2025 Erasto Masalu MWALIMUwa siasa za upinzani Afrika Mashariki, Raila Odinga, amefariki dunia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …( endelea). Odinga amefariki dunia akiwa kwenye matibabu nchini India. Pumzika kwa amani, baba!…
HABARI MCHANGANYIKO TEC yaukana waraka wa uchaguzi October 14, 2025 Erasto Masalu BARAZA la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), limekanusha taarifa inayosambaa mitandaoni ikidaiwa kuwa ni tamko la baraza hilo kuhusu amani kwa Taifa kuelekea siku ya uchaguzi mkuu wa tarehe…
HABARI MCHANGANYIKO Ilala wafanya dua kumuombea Samia, Tanzania October 12, 2025 Erasto Masalu ZIKIWA zimesalia takribani wiki mbili kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu, baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu ambao ni wakazi wa Wilaya ya Ilala, jijini Dar es Salaam, wamefanya dua…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI John Heche ateta na Marando October 11, 2025 Erasto Masalu MAKAMU mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche, amemtembelea mwanasiasa mkongwe nchini, Mabere Marando. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam … (endelea). Akiwa nyumbani kwa Marando, makamu…