HABARI MCHANGANYIKO TRC yataja chnzo cha ajali ya treni ya SGR Ruvu October 23, 2025 Erasto Masalu SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC) limetoa taarifa kwa umma kuhusu ajali iliyohusisha treni ya EMU iliyokuwa ikisafiri kutoka Dar es Salaam kuelekea Dodoma majira ya saa 2:00 asubuhi. Anaripoti Zakia…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Lissu aibwaga tena serikali October 23, 2025 Erasto Masalu MAHAKAMA Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam, imekubali pingamizi la Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anayeshtakiwa katika mahakama hiyo kwa tuhuma za uhaini. Lissu…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Lissu aibwaga tena serikali, Heche akamatwa October 22, 2025 Erasto Masalu MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, ameipigwa mweleka serikali, baada ya Mahakama Kuu, jijini Dar es Salaam, kuridhia pingamizi aliloweka dhidi ya shahidi wa Jamhuri. Anaripoti…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Lissu kucheka tena leo? October 21, 2025 Erasto Masalu MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema, Tundu Lissu, leo anaweza kuanza kuandika historia yake nyingine, wakati Mahakama Kuu, itakapotolea maamuzi pingamizi lake dhidi ya serikali. Anaripoti Saed Kubenea,…
ELIMU HABARI MCHANGANYIKO Wanafunzi 1.5 mil wa darasa la nne kuanza mtihani kesho October 21, 2025 Erasto Masalu JUMLA ya wanafunzi wa darasa la nne waliosajiliwa mwaka huu 1,582,140, wanatarajia kufanya mtihani wa upimaji wa kitaifa tarehe 22 hadi 23 Oktoba 2025 ambapo kati ya hao wavulana 764,290…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA Mtoto wa Aboud Jumbe afariki dunia October 21, 2025 Erasto Masalu MUSSA Aboud Jumbe, mtoto wa aliyekuwa Rais wa pili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), Sheikh Aboud Jumbe Mwinyi, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, Jumanne tarehe 21 Oktoba…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Kesi ya Lissu yafika patamu October 20, 2025 Erasto Masalu KESI ya uhaini, inayomkabili Tundu Lissu, mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imezidi kunoga. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Akizungumza mahakamani leo Jumatatu, tarehe 20…
HABARI MCHANGANYIKO KIMATAIFA Raila Odinga alikuwa mwanaharakati wa demokrasia – Barack Obama October 18, 2025 Erasto Masalu RAIS mstaafu wa Marekani, Barack Obama amemtaja aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga kama shujaa aliyepigania demokrasia sio tu nyumbani kwake – Kenya, bali kote barani Afrika. Anaripoti Mwandishi…
HABARI MCHANGANYIKO KIMATAIFA TANGULIZI Raila Odinga ‘awasili’ Kisumu October 18, 2025 Erasto Masalu MWILI wa aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Amollo Odinga, umewasili mjini Kisumu, magharibi mwa Kenya na tayari umefikishwa katika uwanja wa michezo wa Jommo Kenyatta. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kisumu,…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI TMA yatangaza utabiri wa mvua za msimu October 17, 2025 Erasto Masalu MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetangaza mwelekeo wa mvua za msimu (Novemba, 2025 hadi Aprili, 2026) mahususi katika mikoa inayopata mvua mara moja kwa mwaka, ambapo msimu huu…