HABARI MCHANGANYIKO Rais Samia amuapisha Mwanasheria Mkuu November 5, 2025 Erasto Masalu RAIS Samia Suluhu Hassan, amemwapisha Hamza Johari kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG). Anaripoti Zakia Nanga, Dar es Salaam … (endelea). Johari ameapishwa leo Jumatano, tarehe 5 Novemba 2025, katika…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA Musiba akimbia siasa za upinzani, CCM November 5, 2025 Erasto Masalu MWANAHARAKATI huru, Cyprian Majura Musiba, ambaye miezi michache iliyopita alijiunga na chama cha ACT Wazalendo na kuwania ubunge wa jimbo la Mwibara, ametangaza kuachana na siasa. Anaripoti Joyce Ndeki, Dar…
HABARI MCHANGANYIKO Ewura yatangaza bei ya kikomo ya petroli November 5, 2025 Erasto Masalu MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli kwa Tanzania Bara zitakazotumika kuanzia leo tarehe 5 Novemba 2025 ambapo…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Dk. Mpango amkabidhi Nchimbi ofisi leo November 4, 2025 Erasto Masalu MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi amempongeza na kumshukuru Makamu wa Rais Mstaafu Dk. Philip Mpango kwa mchango aliyoutoa wakati wa kumsaidia Rais…
HABARI MCHANGANYIKO Wavumbuzi Vijana wa Tanzania Waongoza Mapambano ya Tabianchi October 27, 2025 Erasto Masalu VIJANA wa Kitanzania wameonyesha ubunifu mkubwa katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi kupitia YouthADAPT Demo Day lililofanyika jijini Dar es Salaam. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea) Tukio…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Gwajima acharuka tena, akemea utekaji October 26, 2025 Erasto Masalu ASKOFU Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema, hata kama makanisa yake yatafungiwa milele, lakini hayuko tayari kunyamazia vitendo vya utekaji na watu kupotezwa. Anaripoti Mwandishi Wetu,…
HABARI MCHANGANYIKO Mahakama: Hakuna ushahidi Polepole anashikiliwa na IGP na wenzake October 25, 2025 Erasto Masalu MAHAKAMA Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, imetupilia mbali shauri la maombi ya amri ya kumfikisha mahakamani au kumwachia kwa dhamana, Humphrey Polepole, ikieleza hakuna ushahidi kuwa wajibu maombi ndio…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA UDASA yageuka mbogo, yauvaa uongozi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam October 24, 2025 Erasto Masalu JUMUIYA ya wasomi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDASA), imeonya kuwa haitawavulia wanachama wake, wataokakwenda kinyume na jumuia hiyo. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam … (endelea). UDASA…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Askofu Bagonza atoa somo kwa serikali October 24, 2025 Erasto Masalu ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, Dk. Benson Bagonza, ameitaka serikali kuwaheshimu viongozi wa madhehebu ya kidini, ili waweze kuwa na sauti kwa…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA Chadema: Tushajua alipo Heche, polisi waujulishe umma October 24, 2025 Erasto Masalu JOHN Mnyika, Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema kuwa amedokezwa na mmoja wa maofisa wa Jeshi la Polisi kuwa John Heche, Makamu mwenyekiti wa Chama hicho…