HABARI MCHANGANYIKO HABARI ZA AFYA KIMATAIFA Changamoto za afya barani Afrika zitatatuliwa na CDC September 23, 2025 Erasto Masalu MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Philip Mpango amesema Tanzania inasisitiza umuhimu wa mifumo endelevu ya ufadhili ili kuhakikisha uthabiti wa kukabiliana na dharura za afya…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO NBC yaitambulisha Kampeni ya NBC Shambani kwa wakulima wa korosho, mbaazi, ufuta Tunduru September 22, 2025 Erasto Masalu BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC), imetambulisha rasmi kampeni yake ya ‘Wekeza NBC Shambani Ushinde’ kwa wakulima wa mazao ya korosho, mbaazi na ufuta wilayani Tunduru, mkoani Ruvuma ikiwa ni…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO NBC ‘yawanoa’ wafanyabiashara Tanzania – Afrika Kusini kuhusu masoko ya Fedha za Kigeni September 22, 2025 Erasto Masalu BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imetoa elimu maalum kwa wafanyabiashara baina ya Tanzania na Afrika Kusini kuhusu masoko ya fedha za kigeni sambamba na muelekeo wa hali ya kiuchumi…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA Viongozi wa dini wafanya matembezi ya Amani kuombea taifa September 20, 2025 Erasto Masalu VIONGOZI wa madhehebu ya kidini nchini, wamefanya matembezi ya amani leo Jumamosi, tarehe 20 Septemba, jijini Dar es Salaam. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). “Viongozi wa dini…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Watanzania msikimbilie Afrika Kusini, siyo salama – Msangi September 20, 2025 Erasto Masalu MAKUMI ya Watanzania wanaoishi nchini Afrika Kusini, wanafanyiana vitendo vya kikatili, ikiwamo mauaji, utekaji na kulawitiana. Anaripoti Zakia Nanga, Dar es Salaam … (endelea). Mohamed Taliban Msangi, Kiongozi wa Watanzania…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO HABARI ZA AFYA Meridianbet yaendeleza harakati za usafi hospitali ya Mwenge September 19, 2025 Erasto Masalu Ikiwa leo hii ni Ijumaa nzuri kabisa ya mwezi Septemba mteja wa Meridianbet unaweza kutengeneza pesa kwa kubashiri mechi za ligi mbalimbali, wakati huo huo kampuni hiyo kubwa ya ubashiri…
HABARI MCHANGANYIKO Wengine wawili wafariki dunia kwenye ajali ya basi na lori September 19, 2025 Erasto Masalu MAJERUHI wawili kati ya 11 waliokuwa wakipatiwa matibabu kufuatia ajali ya basi la abiria na lori iliyotokea Chemba, mkoani Dodoma, wamefariki dunia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Kufariki duni…
HABARI MCHANGANYIKO Masista waliofariki ajalini yaagwa leo, watatu wazikwa mmoja kusafirishwa September 19, 2025 Erasto Masalu MIILI ya masista wanne wa Shirika la Wakarmeli Wamisionari wa Mtakatifu Teresia wa Mtoto Yesu, waliofariki kwenye ajali ya gari jijini Mwanza, imeagwa leo kwenye ibada ya misa iliyofanyika Parokia…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Polepole awapa somo jipya polisi September 18, 2025 Erasto Masalu ALIYEKUWA Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, amekana madai ya Jeshi la Polisi nchini Tanzania, kwamba limemtafuta bila mafanikio. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). “Siyo kweli…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO Ubia ni msingi wa uchumi jumuishi katika maendeleo ya Taifa September 18, 2025 Erasto Masalu MKURUGENZI Mkuu wa kituo cha Ubia kati ya Sekta Binafsi na Umma (PPP), David Kafulila ameeleza kuwa kuna nafasi muhimu ya ubia kati ya serikali na sekta binafsi katika kufanikisha…