August 19, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Maonyesho Nanenane: Spika Tulia aitembelea NMB

Spread the love

SPIKA wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson ametembelea banda la Benki ya NMB katika maonesho ya Nanenane kwenye Viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea).

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson (kulia) akifurahia jambo na mkuu wa idara ya kilimo Biashara wa benki ya NMB, Isaac Masusu (kushoto) alipotembelea banda la benki hiyo katika maonesho ya Nanenane kwenye Viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya. Katikati ni meneja wa kanda ya Nyanda za juu wa Benki ya NMB, Straton Chilongola.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson (kulia) akipokelewa na mkuu wa idara ya kilimo Biashara wa benki ya NMB, Isaac Masusu (wapili kulia) alipotembelea banda la benki hiyo katika maonesho ya Nanenane kwenye Viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya. Katikati ni Naibu waziri wa kilimo, Anthony Mavunde na wapili kulia ni meneja wa kanda ya Nyanda za juu wa Benki ya NMB, Straton Chilongola.

Maonesho hayo yalianza Agosti 1, 2022 na yatahitimishwa Jumatatu Agosti 8, 2022 kwa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kuyafunga.

error: Content is protected !!