BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO NBC yakabidhi gawio la Sh. 10.5 bilioni kwa Serikali, Msajili Hazina apongeza June 11, 2025 Erasto Masalu BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imekabidhi kiasi cha Sh. 10.5 bilioni kwa Rais Samia Suluhu Hassan ikiwa ni gawio kwa Serikali kwa mwaka 2024. Serikali ya Jamhuri ya Muungano…
ELIMU HABARI MCHANGANYIKO Aliyekataa uteuzi wa U-DC abwangwa uchaguzi wa CWT June 10, 2025 Erasto Masalu LEAH Ulaya, aliyekuwa Rais wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) ameshindwa uchaguzi Mkuu wa chama hicho uliofanyika jana tarehe 9 Juni 2025. Anaripoti Joyce Ndeki, Dar es Salaam … (endelea).…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Serikali yaanza vibaya kesi ya Gwajima, pingamizi lao latupwa June 10, 2025 Erasto Masalu MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dodoma imetupilia mbali pingamizi la serikali kwenye shauri Na. 13189 ya mwaka 2025 iliyofinguliwa na Bodi ya wadhamini ya kanisa Glory of Christ Tanzania Church imefungua…
HABARI MCHANGANYIKO HABARI ZA AFYA Marekebisho ya sheria ya sanaa yaifikisha TARO bungeni June 9, 2025 Erasto Masalu TAASISI ya Haki za Wasanii Tanzania (TARO), imeendesha kikao na wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo kujadili marekebisho ya Sheria ya Sanaa ya Taifa Na. 23…
HABARI MCHANGANYIKO Wazazi wahusiwa kutowalaza watoto wa jinsia tofauti chumba kimoja June 9, 2025 Erasto Masalu WAZAZI na Walezi Mkoani Songwe wametakiwa kutowachanganya watoto wenye jinsi tofauti katika chumba kimoja ikiwa ni pamoja na kuwalaza chumba kimoja na ndugu, jamaa au marafiki wanaowatembelea ili kuepuka vitendo…
ELIMU HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Wanafunzi 214,141 wachaguliwa kidato cha tano, vyuo vya kati June 6, 2025 Erasto Masalu SERIKALI imetangaza jumla ya wanafunzi 214,14, wakiwemo wasichana 97,517 na wavulana 116,624, wamechaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Elimu ya Ufundi kwa mwaka wa masomo 2025, baada…
HABARI MCHANGANYIKO Mahakama ya Rufaa yasisitiza Mchechu kulipwa Bili 2.5 June 4, 2025 Erasto Masalu MAHAKAMA ya Rufani nchini, leo Tarehe 4 June 2025, imetupilia mbali maombi ya rufani namba 658 ya 2023 yaliofunguliwa na kampuni ya Mwananchi Communication na Mhariri wa Gazeti la The…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO Bei ya Petroli, Dizeli yashuka mwezi Juni June 4, 2025 Erasto Masalu MAMLAKA ya udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei mpya ya mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa kwa mwezi Juni 2025. Anaripoti Faki Sosi, Dar…
HABARI MCHANGANYIKO Kuweni dira katika usimamizi wa walio chini yenu June 3, 2025 Erasto Masalu ASKARI waliopandishwa vyeo kwa ngazi ya Sajenti na Staff Sajenti Mkoani Songwe ambao walihitimu mafunzo ya vyeo hivyo 2024/25 katika vyuo vya Polisi, Moshi, Kidatu na Zanzibar wametakiwa kuwa dira…
HABARI MCHANGANYIKO ACT Wazalendo walia kufungwa kwa Kanisa la Gwajima June 3, 2025 Erasto Masalu KUTOKANA na taarifa ya kufutwa kwa usajili wa kanisa la ufufuo na uzima linalosimamiwa na askofu Josephat Gwajima na taarifa ya kukamatwa kwa baadhi ya waumini chama cha ACT Wazalendo…