BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO Mradi wa PURE Growth Fund wafungua maombi na mapendekezo ya Nishati Safi na Biashara za Kilimo May 28, 2025 Erasto Masalu TAASISI inayojihusisha na Ubia wa Nishati Jadidifu na Ufanisi wa Nishati (REEEP) inajivunia kutangaza kwamba Awamu ya kwanza ya kutuma Maombi na Mapendekezo kupitia mradi wa Mfuko wa PURE Growth…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Mpina ashangaa watu wanatekwa Waziri bado yupo ofisini May 27, 2025 Erasto Masalu LUHAGA Mpina, Mbunge wa Kisesa (CCM), ameshangazwa na kitendo cha Waziri wa Mambo ya Ndani kuendelea kubaki ofisini wakati matukio ya watu kutekwa yameshamiri. Anaripoti Mwandishi Wetu, Mwanza … (endelea).…
HABARI MCHANGANYIKO Waliohitima kudato cha sita waitwa JKT May 27, 2025 Erasto Masalu JESHI la Kujenga Taifa (JKT) limetoa wito kwa vijana waliohitimu kidato cha sita mwaka 2025 kutoka shule zote Tanzania Bara, kuhudhuria mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria kwa mwaka…
HABARI MCHANGANYIKO Mafanikio Makubwa ya Mkutano wa 37 wa ISGE na Kongamano la 28 la AGOTA May 27, 2025 Erasto Masalu SHIRIKA la Kimataifa la Endoscopy ya Wanawake (ISGE) na Chama cha Wanaginekolojia na Wakunga wa Tanzania (AGOTA) hivi karibuni walishirikiana kuandaa Mkutano wa 37 wa ISGE pamoja na Kongamano la…
HABARI MCHANGANYIKO Ulega: Hatutaongeza muda kwa makandarasi watakaochelewesha miradi May 26, 2025 Erasto Masalu ABDALLAH Ulega, Waziri wa Ujenzi, amesema kuwa serikali haitaongeza hata siku moja kwa mkandarasi ambaye atabainika ameshindwa kukamilisha mradi wa ujenzi aliopewa na serikali kwa sababu yoyote. Anaripoti Joyce Ndeki,…
BIASHARA ELIMU HABARI MCHANGANYIKO Waziri Mkenda azindua Mashindano ya NBC ya Uandishi wa Insha, Wazo Bora la Biashara kwa wanafunzi May 25, 2025 Erasto Masalu WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda (Mb) leo amezindua Mashindano ya Uandishi wa Insha na Wazo Bora la Biashara kwa wanafunzi wa Sekondari nchini yaani “NBC Essay…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Tanzania kununua bidhaa kwa dhahabu May 24, 2025 Erasto Masalu WAZIRI wa Madini, Antony Mavunde, amesema wako kwenye mazungumzo na Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kwa ajili ya kuwezesha dhahabu kutumika kununua au kubadilishana bidhaa zinazohitajika hapa nchini. Anaripoti Salehe…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO Meridianbet yachochea mapinduzi ya kijani Kimya kimya: Miradi 80 ya Uendelevu Yatekelezwa Katika Robo ya Kwanza ya 2025 May 24, 2025 Erasto Masalu Mbinu ya kipekee ya kampuni ya kimataifa inayochanganya uwajibikaji wa mazingira, jamii na michezo kwa mafanikio ya pamoja Kampuni ya kimataifa ya michezo ya kubahatisha, Meridianbet, imefungua mwaka 2025 kwa…
HABARI MCHANGANYIKO Mchengerwa aagiza maofisa Habari kukabidhiwa ofisi, awaonya MA-DED May 23, 2025 Erasto Masalu WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mohamed Mchengerwa amewaelekeza makatibu tawala na wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa kuhakikisha maofisa habari ambao hawajapewa ofisi au wamenyang’anywa na kupewa Idara…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Chaumma watangaza oparesheni ya C4C, kurusha chopa nchi nzima May 21, 2025 Erasto Masalu SALUM Mwalimu Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), amesema kuanzia tarehe 30 Mei 2025, jijini Mwanza watazindua rasmi Oparesheni ya ‘C4C’ itakayozunguka nchi nzima kwa siku 16.…