Friday , 3 May 2024

Habari Mchanganyiko

Habari Mchanganyiko

Tanzania, China zajidili ushirikiano mifumo utoaji haki nchini

  WAZIRI wa Katiba na Sheria Dk. Damas Ndumbaro amekutana na Balozi wa China nchini Tanzania na kujadili kwa pamoja namna ya ushirikiano...

Habari Mchanganyiko

Rais Samia ashiriki kumbukizi ya Karume Zanzibar

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, pamoja na Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi, wameshiriki kumbukizi ya miaka 50 ya kifo cha...

Habari Mchanganyiko

IGP Sirro apangua makamanda wa Polisi

  INSPEKTA Jenerali wa Polisi Tanzania (IGP), Simon Sirro leo Jumatano tarehe 6 Aprili 2022, ametangaza mabadiliko na uhamisho wa makamanda wa Polisi...

Habari Mchanganyiko

Mwalimu Benki yazindua ‘Ada Chap Chap’ kwa wanafunzi

KATIKA jitihada za kuboresha elimu Benki ya Mwalimu imeingia mikataba na wamiliki wa shule na vyuo mbalimbali nchini ili kutoa mikopo ya masharti...

Habari Mchanganyiko

Watanzania kupata mikopo kupitia wingi wa miamala

  WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, amesema kutokana na kukua kwa huduma za kifedha kupitia simu za mkononi,...

Habari Mchanganyiko

Wajawazito 1,000,0000 kunufaika mfumo M-Mama mikoa 14

  ZAIDI ya wajawazito milioni moja wanatarajiwa kunufaika na mfumo wa usafirishaji wa dharura wa wajawazito na watoto wachanga (M-Mama) katika mikoa 14...

Habari Mchanganyiko

ACT Wazalendo wakosoa Agenda ya Kilimo 10/30, watoa mapendekezo 4

CHAMA cha ACT Wazalendo kimetoa mapendekezo manne kwa Serikali ili kuimarisha sekta ya kilimo nchini na kuwakomboa wakulima katika wingu la umasikini. Pia...

Habari Mchanganyiko

Simulizi mama lishe alivyopanga kununua kiwanja kwa ujenzi Kituo cha Afya Narung’ombe

WAKATI Serikali ikiendelea kuboresha huduma za elimu na afya maeneo mbalimbali nchini, ujenzi wa kituo cha Afya Narung’ombe wilayani Ruangwa mkoani Lindi umetajwa...

Habari Mchanganyiko

Bei petroli yafika 3,105 kwa lita

BEI za nishati ya mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa nchini imeongezeka kwa asilimia 11 hadi 21 kuanzia leo Jumatano tarehe...

Habari Mchanganyiko

Waliosambaza video Profesa Jay akiwa ICU, wapandishwa kizimbani, wasomewa mashtaka 3

HATIMAYE mtuhumiwa Allen Mhina (31) aliyedaiwa kusambaza kipande cha video inayomuonesha Msanii wa Bongofleva, Joseph Haule ‘Profesa Jay’ akiwa amelazwa katika Hospitali ya...

Habari Mchanganyiko

Wafanyakazi Yacht Club wambwaga mwajiri wao mahakamani

HATIMAYE mgogoro uliodumu kwa zaidi ya miaka mitano kati ya wafanyakazi wa Kampuni ya Dar es Salaam Yacht Club na mwajiri wao, Brian...

Habari Mchanganyiko

Wakazi Ngorongoro waunda kamati, wamkaribisha Waziri mpya kwa mambo matano

  WANANCHI wa Wilaya ya Ngorongoro, mkoani Arusha, wameunda kamati ya watu 60, kwa ajili ya kushughulikia mgogoro wa ardhi katika Hifadhi ya...

Habari Mchanganyiko

Prof. Mkenda awafunda vijana wanaotaka siasa

WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolph Mkenda, amewataka vijana wasiingie katika siasa kwa ajili ya kutafuta maslahi yao binafsi, bali waingie...

Habari Mchanganyiko

Wawili mbaroni tuhuma za kuiba vyuma daraja la Tanzanite

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kujaribu, kukata baadhi ya vyuma vya ngazi ya...

Habari Mchanganyiko

Maofisa Ughani kumilikishwa pikipiki baada ya miaka miwili

MAOFISA Ughani nchini watamilikishwa pikipiki zinazotolewa na Serikali baada ya kuzitumia kwa miaka miwili katika kutoa huduma kwa wakulima. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Hatua...

Habari Mchanganyiko

RAIS Samia Suluhu Hassan ametaja mafanikio kadhaa yaliyopatikana katika sekta ya kilimo baada ya Serikali kuweka mikakati mbalimbali na kusema sekta hiyo sasa...

Habari Mchanganyiko

Rais Samia ataka mfuko wa pembejeo kukabili mfumuko wa bei

RAIS Samia Suluhu Hassan ameiagiza Wizara ya Kilimo ianzishe mfuko wa pembejeo na wa maendeleo ya kilimo, kwa ajili ya kukabiliana na changamoto...

Habari Mchanganyiko

Kilimo kuwa uti wa mgongo wa uchumi

  Rais Samia Suluhu Hassan, ametaja mafanikio kadhaa yaliyopatikana katika sekta ya kilimo baada ya Serikali kuweka mikakati mbalimbali na kusema sekta hiyo...

Habari Mchanganyiko

Bashe amuomba Rais Samia bil. 150 kutoa ruzuku ya mbolea

WAZIRI wa Kilimo, Hussein Bashe, amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, atoe Sh 150 bilioni, kwa ajili ya kutoa ruzuku kwa wakulima kwa ajili...

Habari Mchanganyiko

GGML yatoa Sh milioni 50 kwa Hospitali ya CCBRT

KAMPUNI ya AngloGold Ashati kupitia Mgodi wake wa dhahabu Geita (GGML) imetoa kiasi cha Sh milioni 50 kwa Hospitali ya CCBRT ili kusaidia...

Habari Mchanganyiko

Dk. Mpango awaomba viongozi wa dini kuliombea Taifa

  MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Philip Mpango amewaomba viongozi wa dini na waumini kwa ujumla kuendelea kuliombea...

Habari Mchanganyiko

Watoa huduma msaada wa kisheria waomba ruzuku Serikalini

WADAU wanaotoa msaada wa kisheria kwa wananchi, wameiomba Serikali itenge ruzuku kwa ajili ya kuwezesha shughuli hizo ili ziwe endelevu. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari Mchanganyiko

Viwanja 600,000 vyatambuliwa Dar

ZAIDI ya viwanja 600,000 katika Mkoa wa Dar es Salaam vimetambuliwa na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi huku viwanja vilivyolipiwa...

Habari Mchanganyiko

Wakazi Keko Akida wamlilia Rais Samia

  WAKAZI 106 wa mtaa wa Akida, Keko Machungwa wilayani Temeke, Dar es Salaam nchini Tanzania, wamemwomba Rais Samia Suluhu Hassan aingilie kati...

Habari Mchanganyiko

Bandarini kwapanguliwa, vigogo wahamishiwa wizarani

  MAGEUZI makubwa ya kimfumo na kiutawala yameanza kufanyika ndani ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa vigogo kadhaa kuondolewa kwenye...

Habari Mchanganyiko

Serikali yaombwa kuingiza tafiti za Prof. Ngowi kwenye mitaala

SERIKALI ya Tanzania, imeshauriwa kuingiza katika mitaala ya elimu ya juu, ripoti za tafiti zilizofanywa na aliyekuwa Profesa Mshiriki wa Chuo Kikuu cha...

Habari Mchanganyiko

Vilio vyakwamisha wasemaji msiba wa Prof. Ngowi

VILIO vya uchungu vimesababisha baadhi ya wasemaji katika ibada ya kuuaga mwili wa aliyekuwa Profesa Mshiriki wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Prosper Honest...

Habari Mchanganyiko

DC Korogwe anuia kumaliza kero ya maji Mashewa

Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Basila Mwanukuzi ameahidi kuhakikisha maji yanafika kwenye shule ya Sekondari Mashewa ili kuwapunguzia kero ya maji wanafunzi wawapo...

Habari Mchanganyiko

Rais Tunisia avunja Bunge

RAIS wa Tunisia, Kais Saied amevunja Bunge alilokuwa amelisimamisha miezi nane iliyopita kutokana na maandamano makubwa nchini humo. Anaripoti Rhoda Kanuti kwa msaada...

Habari Mchanganyiko

Kindamba: Tujitokeze kuchanja, karibuni Njombe

MKUU wa Mkoa wa Njombe (RC) nchini Tanzania, Waziri Kindamba amewaomba wananchi kujitokeza kupata chanjo ya virusi vya korona (UVIKO-19) kwani haina tatizo...

Habari MchanganyikoTangulizi

Prof. Mkumbo aiomba Serikali ipanue Barabara ya Dar-Dodoma

MBUNGE wa Ubungo, jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, Profesa Kitila Mkumbo, ameiomba Serikali ifanye upanuzi wa Barabara ya kutoka Dar es Salaam...

Habari Mchanganyiko

Simbachawene azindua kongamano msaada wa kisheria

WAZIRI wa Katiba na Sheria, George Simbachawene amezindua kongamano la msaada wa kisheria la 2022, pamoja na Ripoti ya Wadau wa Upatikanaji wa...

Habari Mchanganyiko

Fedha tozo miamala ya simu zatimiza ndoto wananchi Madaba

WANANCHI wa Materereka katika Halmashauri ya Wilaya ya Madaba, mkoani Ruvuma wamesema ujenzi wa kituo cha afya kilichojengwa kwa fedha za tozo za...

Habari Mchanganyiko

Ujenzi Kituo cha Afya waneemesha mafundi ujenzi Mtama

UJENZI wa Kituo cha Afya Mtama mkoani Lindi umetajwa kuwa kichocheo cha maendeleo kwa wakazi wa eneo hilo hususani mafundi ujenzi ambao wameshukuru...

Habari Mchanganyiko

Katibu Mkuu Madini atembelea GGML, aipongeza kwa kuzingatia sheria

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Madini, Adolph Ndunguru ameipongeza Kampuni ya (GGML) kwa kuzingatia sheria zinazosimamia sekta ya madini na kutekeleza majukumu yake...

Habari Mchanganyiko

Serikali yaweka mapingamizi maombi ya Kubenea kumshtaki Makonda

  SERIKALI ya Tanzania imeweka mapingamizi katika maombi yaliyofunguliwa na Mwanahabari nchini humo, Saed Kubenea Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni, kuomba kibali cha...

Habari Mchanganyiko

PIC yaipongeza DAWASA utekelezaji wa miradi

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji (PIC) imeridhishwa na usimamizi na utekelezaji wa miradi ya Maji ya Kibamba-Kisarawe na Pugu-Gongo la mboto...

Habari Mchanganyiko

DC Kilosa awasimamisha kazi wenyeviti 3 wa vitongoji

MKUU wa Wilaya ya Kilosa, Alahj Majid Mwanga amewasimamisha kazi wenyeviti wa vitongoji vitatu kwa makosa mbalimbali ikiwemo matumizi mabaya ya madarakani. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Prof. Kikula atoa maagizo 3 kwa maofisa madini

MWENYEKITI wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula amewataka Maofisa Madini Wakazi wa mikoa nchini kuweka utaratibu wa kukutana na wachimbaji wa madini...

Habari Mchanganyiko

Mrema anafunga ndoa na Doreen

  HAYAWI HAYAWI hatimaye yamekuwa. Ndivyo unaweza kuelezea kinachofanyika leo Alhamisi tarehe 24 Machi 2022 kwa Mwenyekiti wa Chama cha TLP, Augistino Mrema...

Habari Mchanganyiko

IGP Sirro awapa neno polisi “tuoneshe tuna uwezo wa kufanya kazi”

  INSPEKTA Jenerali wa Polisi nchini (IGP), Simon Sirro amewataka askari polisi nchini kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi, kwa ajili ya kuisaidia nchi,...

Habari Mchanganyiko

Tanzania yakubali mapendekezo 167 ya UN

SERIKALI ya Tanzania, imekubali kutekeleza mapendekezo 167, kati ya 252 yaliyowasilishwa na nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa (UN), yenye malengo ya kukuza...

Habari Mchanganyiko

Sakata la katiba, mgogoro ardhi Ngorongoro vyatinga UN

SAKATA la ukamilishwaji wa mchakato wa upatikanaji kati mpya, pamoja na mgogoro wa ardhi katika Hifadhi ya Ngorongoro, vimeibuliwa kwenye mkutano wa 49...

Habari Mchanganyiko

Watanzania watakiwa kutumia taarifa za hali ya hewa kwa maendeleo

SERIKALI imetoa wito kwa wananchi kufuatilia taarifa za hali ya hewa ili kuwa na mipango sahihi katika shughuli za maendeleo. Anaripoti Faki Sosi...

Habari MchanganyikoTangulizi

Dk. Shoo amaliza mgogoro Konde, uchaguzi wafanyika, aliyeng’olewa agoma

MKUTANO Mkuu wa dharura ulioitishwa na kiongozi Mkuu wa kanisa la Kiinjiri la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Fredrick Shoo umemuondoa kwenye nafasi yake...

Habari Mchanganyiko

EWURA yaanika mamlaka za maji zisizofanya vizuri, wizara yatoa maagizo

MAMLAKA ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA), imetaja Mamlaka za Majisafi na Usafi wa Mazingira, zisizofanya vizuri katika utekelezaji majukumu yake, hasa...

Habari Mchanganyiko

EWURA yazindua miongozo ya kudhibiti ‘bili’ hewa, upotevu wa maji

MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imezindua miongozo ya utendaji kazi wa mamlaka za maji safi na usafi wa...

Habari Mchanganyiko

Wanafunzi UDSM, UDOM Wang’ara mashindano ya TEHAMA ya Huawei Afrika

WANAFUNZI wa Kitanzania wa TEHAMA kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Chuo Kikuu cha Dodoma waliibuka miongoni mwa wanafunzi bora zaidi...

Habari Mchanganyiko

Kamishna Uhifadhi TANAPA awavisha vyeo makamishna wapya

  KAMISHNA wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) William Mwakilema leo Jumatano tarehe 23 Machi 2022 amewavisha vyeo Makamishna...

Habari Mchanganyiko

PAC yaridhishwa na uwekezaji Bandari Dar

  KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) nchini Tanzania, imesema uwekezaji wa zaidi ya Sh.1 trilioni uliofanywa na Mamlaka...

error: Content is protected !!