Saturday , 27 April 2024

Habari Mchanganyiko

Habari Mchanganyiko

NGO’s kanda Magharibi zalia ukata, vitisho

  MASHIRIKA yasiyo ya Kiserikali (NGO’s), yanayojishughulisha na masuala ya utetezi wa haki za binadamu, yameomba msaada wa kifedha kwa ajili ya kutekeleza...

Habari Mchanganyiko

Serikali yaahidi kushirikiana na TNCPG kudhibiti migogoro

SERIKALI imesema itashirikiana na Kamati ya Kitaifa ya Udhibiti na Kuzuia Mauji ya Kimbari (TNCPG), ili kuhakikisha migogoro na matukio yoyote ambayo yanaweza...

Habari Mchanganyiko

Askofu Bagonza ajitosa mgogoro Konde

ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe Dk. Benson Bagonza ametaka tofauti zilizopo baina ya Askofu wa Doyosisi...

Habari Mchanganyiko

Maneno ya mjane wa Magufuli kwa Rais Samia

JANETH Magufuli, mjane wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati John Magufuli, amesema Rais Samia Suluhu Hassan, amemheshimu kwa kukubali wito wake...

Habari Mchanganyiko

Waliosambaza video za Prof. Jay akiwa ICU mbaroni

  JESHI la Polisi, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, linamshikilia Mkurugenzi wa Mtandao wa U-Turn, Allen Samwel Mhina na wenzake 13, kwa...

Habari Mchanganyiko

Walemavu watinga kwa RC Dar, watulizwa

MADEREVA wa bajaji wenye ulemavu, wamefika katika Ofisi ya Mkuu wa Dar es Salaam, Amos Makalla, kufikisha kilio chao kinachodai wanafanyiwa vurugu na...

Habari Mchanganyiko

Watumishi 190,781 wapandishwa vyeo, madaraja

SERIKALI imesema ndani ya mwaka mmoja wa Rais Samia Suluhu jumla ya watumishi wa umma 190,781 wamepandishwa vyeo baada ya kusubiri kwa muda...

Habari MchanganyikoTangulizi

Maswali tata mauaji yaliyofanywa na askari Kigoma

  MAUAJI ya raia mmoja yaliyofanywa na askari wa jeshi la polisi nchini, pamoja na kujeruhiwa kwa raia wawili, katika uwanja wa michezo...

Habari Mchanganyiko

ACT Wazalendo yatoa mapendekezo bei ya mbolea

CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimeomba Serikali itoe ruzuku kwa ajili ya ununuzi wa mbolea ili kushusha bei yake iliyopanda maradufu hivi karibuni. Anaripoti Mwandishi...

Habari Mchanganyiko

Wasanii watakiwa kwenda kuchukua mirahaba yao

WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa, amewataka wasanii ambao bado hawajachukua fedha za mirabaha yao, wakamilishe taratibu katika Chama cha Hakimili...

Habari Mchanganyiko

Watanzania 300 waondolewa Ukraine, waziri awapa maagizo waishio ughaibuni

  WATANZANIA takribani 300, wamefanikiwa kuondoka salama nchini Ukraine, kufuatia vita iliyoibuka nchini humo baada ya kuvamiwa na Urusi, tarehe 24 Februari 2022....

Habari Mchanganyiko

Kundi la Thelathini kwa Thelathini laanzishwa Kagera

  KIKUNDI cha Thelathini kwa Thelathini/ Gashatu Omu Gashatu wamejipanga kubadili maisha ya wananchi wa Kagera kwa kumwezesha kitaalam kuujua mparachichi. Anaripoti Mwandishi...

Habari MchanganyikoTangulizi

RC Arusha ataka ushahidi ‘majina feki’ waliokubali kuhama Ngorongoro

  MKUU wa Mkoa wa Arusha, John Mongella amewataka watu wanaodai kuna majina ya kughushi katika orodha ya wananchi waliokubali kuhama kwenye Hifadhi...

Habari Mchanganyiko

Vichanga pacha vyatupwa jalalani, mtupaji asakwa

JESHI la Polisi Mkoani wa Shinyanga nchini Tanzania, linachunguza ili kumkamata mwanamke anayetuhumiwa kujifungua watoto pacha kisha kuwatupa jalalani eneo la Kambarage mjini...

Habari Mchanganyiko

Polisi wafunguka aliyeuawa na askari, ACT-Wazalendo wataka uchunguzi huru

JESHI la Polisi Mkoa wa Kigoma, limesema linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za kuanzisha vurugu zilizopelekea raia, Juma Ramadhani kupigwa risasi na Polisi...

Habari Mchanganyiko

Muarobani uuzwaji mafuta kwenye vidumu vijijini waja

NAIBU Waziri wa Nishati, Stephen Byabato amesema marekebisho ya kanuni za utengenezaji na uwekaji vituo vya mafuta katika maeneo ya vijijini, yanatarajiwa kukamilika...

Habari Mchanganyiko

THRDC yawanoa watetezi wa haki za binadamu Zanzibar

MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umewapa mafunzo ya namna kufuatilia na kuripoti matukio ya ukiukwaji wa haki za binadamu,...

Habari Mchanganyiko

GFA Vehicle yaiangukia Serikali, Dk. Kijaji awajibu

  KIWANDA cha kuunganisha na kutengeneza magari cha GFA Vehicle Assemblers, kimeiomba Serikali ya Tanzania kurekebisha sheria na kupunguza ushuru ili kuwalinda wawekezaji...

Habari Mchanganyiko

Wanawake TPA walipia bima ya afya watoto 400

  WAFANYAKAZI wanawake wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), wamewalipia bima ya afya watoto 400 kutoka wilaya za Temeke, Ilala na Kigamboni jijini...

Habari Mchanganyiko

Majaliwa awatega ma-RC matumizi mashine za ukusanyaji mapato

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wakuu wa mikoa wahakikishe halmashauri zote nchini zinatumia vizuri mashine na mifumo iliyowekwa katika ukusanyaji wa mapato. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Hizi hapa sheria, kanuni za habari zilizorekebishwa mwaka mmoja wa Rais Samia

  WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, amesema katika kipindi cha mwaka mmoja wa Serikali ya Awamu ya Sita,...

Habari Mchanganyiko

Huawei TECH4ALL Afrika yashinda tuzo GSMA

MRADI wa mafunzo ya kidigitali unaofahamika kama TECH4ALL DigiTruck wa unaodhaminiwa na kampuni ya Huawei nchini Kenya umetambuliwa kimataifa kwa kuongeza idadi ya...

Habari Mchanganyiko

Mkakati wa Kitaifa kubidhaaisha Kiswahili kuzinduliwa mwaka huu

MAKAMU wa Rais, Dk. Philip Mpango, amesema Serikali inandaa Mkakati wa Kitaifa wa kukifanya Kiswahili kuwa bidhaa utakaozinduliwa rasmi kwenye kilele cha siku...

Habari Mchanganyiko

Nape: Rais Samia ameirudisha Tanzania kwenye heshima yake duniani

  WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, amesema katika kipindi cha mwaka mmoja wa uongozi wake, Rais Samia Suluhu...

Habari Mchanganyiko

Dk. Mpango: Kiswanglish kiishe bungeni

MAKAMU wa Rais Dk. Philip Mpango amewataka wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuachana na tabia ya kuchanganya lugha ya...

Habari MchanganyikoMichezo

Serikali yafuta ada leseni za Youtube kwa wasanii, wanamichezo, wanahabari, kicheko

  SERIKALI imetoa ahueni kwa vyombo vya habari vya mtandaoni kwa kupunguza malipo ya ada ya leseni ya mwaka na kuwaondolea ada watoa...

Habari Mchanganyiko

Polisi yapiga marufuku ving’ora, vimulimuli

  JESHI la Polisi Tanzania, kupitia Kikosi cha Usalama Barabarani limepiga marufuku matumizi ya ving’ora na vimulimuli, kwa watumiaji wa magari binafsi. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Maneno mapya 150 yaongezwa kamusi kiswahili likiwemo ‘demka’

  KAMUSI Kuu ya Kiswahili, imeboreshwa kwa mara ya tatu, kwa kuongezewa maneno mapya 150, yakiwemo ya kiutamaduni, sayansi, teknolojia, siasa na ya...

Habari MchanganyikoTangulizi

Basi la abiria lapata ajali Songwe

  BASI la Kampuni ya Kilimanjaro linalofanya safari kutoka Tunduma kwenda Dar es Salaam asubuhi ya leo Jumatatu tarehe 14 Machi 2022, limepata...

Habari Mchanganyiko

Askofu aonya wazazi chanzo mmomonyoko wa maadili kwa watoto

ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Mlima wa Bwana, Slivanus Komba amesema wazazi na walezi wanachangia kuwepo kwa mmomonyoko wa maadili kwa watoto. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Mbogwe wajipanga kudhibiti upotevu mapato ya madini

SERIKALI Wilayani Mbogwe Mkoani Geita imesema imejipanga kudhibiti na kukomesha wimbi la wizi wa kaboni na utoroshaji wa madini ya dhahabu kufuatia matukio...

Habari MchanganyikoTangulizi

Kamishna afunguka Kiwanda cha magodoro GSM kuteketea kwa moto

KAMISHNA Msaidizi wa Zimamoto- Kinondoni (ACF) Christina Sunga amesema hakuna majeruhi wala madhara kwa binadamu katika ajali ya moto iliyotokea kwenye kiwanda cha...

Habari Mchanganyiko

GSM atoa vielelezo umiliki eneo Makonda analodai lake

MFANYABISHARA Ghalib Said Mohamed maarufu GSM, ametoa vielelezo kadhaa vinavyoonesha kuhusika katika umiliki wa eneo lenye mgogoro baina yake na aliyekuwa Mkuu wa...

Habari Mchanganyiko

Wachimbaji watakiwa kuondoa dhana kafara ndani ya migodi

KATIBU Tawala wa Wilaya ya Shinyanga, Boniface Chambi amewataka wachimbaji wadogo wa madini katika eneo la Mwakitolyo mkoani Shinyanga kuachana na dhana potofu...

Habari Mchanganyiko

CCM yaagiza Serikali iangalie upya mwenendo Jeshi la Polisi

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), imeielekeza Serikali iangalie upya mwenendo wa Jeshi la Polisi, kwa kuwa hauridhishi kutokana na matendo yanayofanywa na baadhi ya...

Habari Mchanganyiko

Meja Jenerali Urusi adaiwa kuuawa, Ukraine washangilia

MAOFISA wa nchi za Magharibi pamoja Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ukraine, Anton Gerashchenko wamedai kuwa jenerali mwingine mwandamizi wa tatu ndani...

Habari Mchanganyiko

Vijana 300 wapigwa msasa anuani za makazi Dodoma

VIJANA zaidi ya 300 walioajiriwa kwa ajili ya kubandika vibao vya namba za anuani za makazi katika jiji la Dodoma wamepatiwa mafunzo juu...

Habari Mchanganyiko

North Mara yaeleza inavyodhibiti uchafuzi mazingira

  Mgodi wa Dhahabu wa North Mara, umeeleza mikakati mbalimbali iliyofanyika katika kuhakikisha hausababishi uchafuzi wa mazingira ikiwemo vyanzo vya maji. Anaripoti Mwandishi...

Habari Mchanganyiko

Serikali yaitaja vita Ukreinia-Urusi vihatarishi bajeti 2022/23

VITA inayoendelea baina ya Ukreinia na Urusi, imetajwa miongoni mwa vihatarishi kwa utekelezaji wa bajeti ya Serikali 2022/23. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea)....

Habari Mchanganyiko

Waziri Ndumbaro ateta na klabu tatu Hispania kuitangaza Tanzania

  WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dk. Damas Ndumbaro amefanya mazungumzo na Uongozi wa vilabu vya Atletico Madrid na Getafe vinavyoshiriki ligi kuu...

Habari Mchanganyiko

Serikali yataja sababu nne kuongezeka mfumuko wa bei

SERIKALI imetaja sababu nne za kuongezeka mfumuko wa bei hadi wastani wa asilimia 4 katika kipindi cha Julai 2021 hadi Januari 2022. Anaripoti...

Habari MchanganyikoTangulizi

453 wajitokeza kuhama Ngorongoro

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amepokea orodha ya majina ya awali ya kaya 86 zenye watu 453 ambao wamekubali kuondoka kwenye hifadhi...

Habari Mchanganyiko

Simbachawene aagiza vyuo vya sheria kutoa msaada wa kisheria

WAZIRI wa Katiba na Sheria George Simbachawane ametoa wito kwa vyuo vinavyofundisha taaluma ya sheria nchini kutoa huduma za msaada wa kisheria kwa...

Habari Mchanganyiko

Wanawake wafanyabiashara 35 wapatiwa tuzo za umahiri

WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Wanawake na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima, amekabidhi jumla ya tuzo 35 za umahiri kwa wanawake wafanyabiashara zilizotolewa na...

Habari Mchanganyiko

Miradi ya 18.75 trilioni yasajiliwa kwa mwaka mmoja

MIRADI ya uwekezaji 294 yenye thamani ya Dola za Marekani 8.12 bilioni (Sh. 18.75 trilioni), imesajiliwa na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), kuanzia...

Habari MchanganyikoMazingira

Wanasayansi wanawake waja na suluhu mabadiliko tabia ya nchi

WANAWAKE nchini wameshauriwa kutumia teknolojia mbalimbali za kisayansi katika shughuli zao za kila siku ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi. Anaripoti Faki...

Habari Mchanganyiko

Waziri aeleza sababu BoT kukwama kununua dhahabu

WAZIRI wa Madini, Dk. Doto Biteko, amesema Benki Kuu ya Tanzania (BoT), imekwama kununua dhahabu kutokana na viwanda vya uchenjuaji madini nchini kutoanza...

AfyaHabari Mchanganyiko

Muhimbili wakana kusambaza video Profesa Jay akiwa ICU

HOSPITALI ya Taifa Muhimbili imekana kurekodi na kusambaza video ya Msanii wa Bongo fleva, Joseph Haule maarufu kama Profesa Jay anayeendelea kupatiwa matibabu...

Habari Mchanganyiko

Rais Mwinyi atahadharisha matumizi rasilimali za uchumi buluu

RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameshauri matumizi ya rasilimali za bahari katika utekelezaji wa sera ya uchumi wa buluu, yawe endelevu....

Habari MchanganyikoTangulizi

Video ya mahojiano Mke wa Bilionea Msuya, Polisi zakataliwa

  MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imekataa kupokea kielelezo cha Tape iliyofikishwa mahakamani hapo na shahidi wa sita wa Jamhuri, Inspekta...

error: Content is protected !!