HABARI MCHANGANYIKO Mvunde aongoza kikao cha kimkakati wa kiuchumi kupitia STAMICO May 21, 2025 Erasto Masalu SHIRIKA la Madini la Taifa (STAMICO) limekaa Mguu Sawa kuhamia kwenye Uwekezaji Mkubwa wa Madini Muhimu na Madini Mkakati huku tayari likiwa na mafanikio kadhaa ikiwemo kuachana na utegemezi kwa…
ELIMU HABARI MCHANGANYIKO CBE yajivunia mchango wa wahitimu wake May 20, 2025 Erasto Masalu CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kinatarajia kujenga maabara za kisasa zitakazoidhinishwa na mashirika ya kimataifa ya viwango ambazo zitakuwa kitovu cha mafunzo, utafiti, na ushauri wa vipimo katika Afrika…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO MERIDIANBET yagusa mioyo ya watu, yafika Makumbusho, M’nyamala kutoa msaada familia zenye mahitaji May 20, 2025 Erasto Masalu KATIKA dunia ambayo changamoto za maisha zimekuwa kubwa kwa familia nyingi, kuna matumaini mapya yanayozaliwa kupitia vitendo vya huruma. Leo, Meridianbet imeandika ukurasa mwingine wa upendo na mshikamano kwa jamii…
HABARI MCHANGANYIKO Brigedia Mwakamyanda kuzikwa kesho Mbeya May 20, 2025 Erasto Masalu ALLAN Jesaya Mwakamyanda, Brigedia Mstaafu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), anatarajiwa kuzikwa kesho tarahe 21 Mei katika Kijiji cha Ruiwa Motomoto, mkoani Mbeya. Anaripoti Joyce Ndeki, Dar es Salaam…
HABARI MCHANGANYIKO KIMATAIFA Tanzania yang’ara wakaguzi wa majitaka migodini kimataifa May 20, 2025 Erasto Masalu TANZANIA imeendelea kung’ara katika majukwaa ya kimataifa baada ya kuwa kivutio kikubwa katika mkutano wa Tathmini ya Mafunzo ya Ukaguzi wa Majitaka ya Migodini unaofanyika katika Chuo Kikuu cha Sayansi…
HABARI MCHANGANYIKO KIMATAIFA Thabo Mbeki atua Tanzania kushiriki maadhimisho ya Siku ya Afrika May 20, 2025 Erasto Masalu THABO Mbeki Rais Mstaafu wa Afrika ya Kusini amewasili nchini Tanzania Mei 20, 2025, kushiriki Mhadhara wa Siku ya Afrika (Africa Day Lecture) ulioandaliwa na Taasisi ya Thabo Mbeki kwa…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA Salum Mwalimu Katibu Mkuu mpya Chauma May 19, 2025 Erasto Masalu HATIMAYE yametimia, Gazeti la MwanaHALISI toleo Na.507 la tarehe 8 -14 Mei 2025 lilifichua kuwa kundi la G55 litajiunga na Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) hatimaye leo tarehe 19…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Serikali kufikisha mashahidi 15 kumkabili Lissu kizimbani May 19, 2025 Erasto Masalu UPANDE wa mashtaka katika kesi ya uchochezi na kutoa taarifa za uongo inayomkabili Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), umepanga kupeleka mashahidi 15 na vielelezo tisa…
HABARI MCHANGANYIKO DC Arusha aongoza matembezi ya Rotary Walk & Run kuchagia damu May 19, 2025 Erasto Masalu JOSEPH Mkude, Mkuu wa Wilaya ya Arusha, kwa niaba ya Paul Makonda Mkuu wa Mkoa wa Arusha ameongoza mamia ya wananchi na wadau mbalimbali katika matembezi ya hisani ya Rotary…
HABARI MCHANGANYIKO Biashara ya mazao ya misitu na nyuki yapaa May 19, 2025 Erasto Masalu SERIKALI imebainisha mafanikio makubwa katika biashara ya mazao ya misitu na nyuki nchini, ikiwemo ongezeko la uzalishaji, viwanda na mauzo nje ya nchi, ikiwa ni matokeo ya uwekezaji wa kimkakati…