Friday , 10 May 2024
Home Habari Mchanganyiko Kamishna afunguka Kiwanda cha magodoro GSM kuteketea kwa moto
Habari MchanganyikoTangulizi

Kamishna afunguka Kiwanda cha magodoro GSM kuteketea kwa moto

Spread the love

KAMISHNA Msaidizi wa Zimamoto- Kinondoni (ACF) Christina Sunga amesema hakuna majeruhi wala madhara kwa binadamu katika ajali ya moto iliyotokea kwenye kiwanda cha magodoro cha GSM kilichopo Mikocheni jijini Dar es Salaam.

Amesema moto huo uliozuka ghafla leo tarehe 13 Machi, 2022 saa 12:50 asubuhi bado unaendelea kudhibitiwa na hadi saa 11:30 ulikuwa umezimwa kwa asilimia 80. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea).

Akizungumza na Mwanahalisi Online amesema kiwanda hicho cha magodoro ni mojawapo ya viwanda kadhaa kinachomilikiwa na makampuni ya GSM.

Pia ameongeza kuwa hadi sasa chanzo cha moto huo bado hakijafahamika hivyo amewaomba Watanzania wawe na subira wakati wanaendelea kuudhibiti moto huo.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Vijana UVCCM Kagera wataka mwenyekiti wao ajiuzulu

Spread the loveVIJANA wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kagera wamemtaka Mwenyekiti...

Habari za SiasaTangulizi

Mpina awavaa mawaziri wanaompelekea majungu Rais Samia

Spread the loveMBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina (CCM) amewataka baadhi ya mawaziri...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

THRDC, Wizara ya Katiba wajadili uanzishaji haki binadamu katika biashara

Spread the loveMTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umefanya...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Sitta ang’ang’ana wanafunzi watibiwe bure, Serikali yagoma

Spread the loveMBUNGE wa Urambo, Margaret Sitta, ameishauri Serikali iweke utaratibu wanafunzi...

error: Content is protected !!