NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi nchini Tanzania, Abdallah Ulega ameishukuru Benki ya NMB kwa kukubali kutoa mikopo yenye riba ndogo ya asilimia tisa kwa wakulima na wafugaji. Anaripoti Mwandishi Wetu, Katavi…(endelea).
Ulega alitoa shukuruna hizo mara baada ya kutembelea banda la NMB katika hafla ya kufunga Maonesho ya Bodi ya Maziwa nchini yaliyofanyika kitaifa mkoani Katavi.
Leave a comment