SERIKALI imesitisha safari za Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) kwenda Afrika Kusini, kufuatia vurugu zinazoendelea nchini humo. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Raia...
By Regina MkondeSeptember 5, 2019RAIS John Magufuli amewasamehe January Makamba, aliyekuwa Waziri wa Mazingira na Muungano na Willium Ngeleja, Mbunge wa Sengerema baada ya kumwomba radhi. Anaripoti Regina...
By Regina MkondeSeptember 4, 2019UKATILI wa kijinsia dhidi ya watoto, umeongezeka kwa asilimia 7.7 kutoka matukio 13,457 mwaka 2017 hadi 14,419 mwaka 2018 huku mikoa mitano ikiongoza. Anaripoti...
By Regina MkondeSeptember 4, 2019NDEGE ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL), aina ya Air Bus A220-300 iliyoshikiliwa nchini Afrika Kusini kwa amri ya mahakama, imeachwa huru. Anaripoti...
By Regina MkondeSeptember 4, 2019KITUO cha Runinga cha EATV, Global TV na Le Mutuzi Online, vimepewa onyo na Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA),...
By Regina MkondeSeptember 3, 2019MIRAJI Mtaturu ameapishwa rasmi kuwa Mbunge wa Singida Mashariki, akirithi mikoba ya Tundu Lissu aliyevuliwa ubunge wa Jimbo hilo. Anaripoti Regina Mkonde …...
By Regina MkondeSeptember 3, 2019RAIS John Magufuli amesema, yeye ni mpangaji wa muda pale Ikulu, na kwamba watendaji kata na Watanzania ndio wanaoamua nani awe mpangaji wa jengo...
By Regina MkondeSeptember 2, 2019SHAHIDI namba 7 katika kesi Namba 112 ya mwaka 2018, inayowakabili viongozi wa Chadema katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, amedai kwamba ni...
By Regina MkondeAugust 29, 2019KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ally, ameahidi kuwapitisha kwenye ‘tanuri’ wagombea wa chama hicho kuelekea uchaguzi wa Serikali za...
By Regina MkondeAugust 28, 2019SAKATA la kushikiliwa ndege ya Shirika la Ndege Tanzania Limited (ATCL) nchini Afrika Kusini kwa amri ya mahakama, limechochea mvutano baina ya wabunge...
By Regina MkondeAugust 27, 2019MHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkuu, jijini Dar es Salaam imetoa ukomo wa kesi inayomkabili Halima Mdee, Mbunge wa Kawe (Chadema) ya kumtolea lugha...
By Regina MkondeAugust 26, 2019MWANDISHI Joseph Gandye, Mhariri wa Maudhui wa Watetezi TV ameachiwa kwa dhamana na Jeshi la Polisi mkoani Iringa, alikokuwa anashikiliwa kwa kosa la...
By Regina MkondeAugust 24, 2019MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeiomba serikali iunde tume huru kwa ajili ya kuchunguza madai ya baadhi ya polisi...
By Regina MkondeAugust 24, 2019CHAMA cha ACT-Wazalendo kimezuiwa kufanya mkutano wake wa ndani na Jeshi la Polisi mkoa wa Kipolisi Temeke kutokana na kukosa kibali. Anaripoti Regina...
By Regina MkondeAugust 24, 2019KITENDAWILI kuhusu tarehe rasmi ya kufanyika kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa nchini, sasa kimeteguliwa. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Seleman Jafo, Waziri...
By Regina MkondeAugust 23, 2019MWANDISHI wa Habari za Uchunguzi nchini Tanzania, Joseph Gandye alfajiri la leo tarehe 23 Agosti 2019, amesafirishwa kwenda mkoani Iringa. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea)....
By Regina MkondeAugust 23, 2019WANAFUNZI wa Kidato cha Nne wa mchepuo wa sayansi katika Shule ya Sekondari ya Kiislamu ya Mivumoni – Kindondoni, Mtambani jijini Dar es...
By Regina MkondeAugust 22, 2019MAGDALENA Uhwello na Halima Nsubuga leo tarehe 21 Agosti 2019, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam na...
By Regina MkondeAugust 21, 2019WAENDESHA Bajaji ambao ni walemavu katika Kituo cha Feri, jijini Dar es Salaam wamelalamikia kitendo cha Jeshi la Polisi kukamatwa wenzao. Anaripoti Regina Mkonde...
By Regina MkondeAugust 21, 2019SHAHIDI namba sita wa Jamhuri, Koplo Charles katika kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi waandamizi wa Chadema, ameeleza kutoona wafuasi wa chama hicho wakiwa...
By Regina MkondeAugust 21, 2019OFISI ya Mkemia Mkuu wa Serikali imefanikiwa kutambua miili 50 kati ya 69 ya watu waliopoteza maisha katika ajali ya moto wa lori...
By Regina MkondeAugust 21, 2019RAIS John Magufuli ameagiza vyombo vya dola kulinda watumishi wa Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali wanaochunguza masuala mazito, ili wasiingiliwe katika utekelezaji...
By Regina MkondeAugust 20, 2019MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeamua kutazama upya ushahidi wa video iliowasilishwa na shahidi namba sita wa Jamhuri (koplo Charles), katika kesi ya...
By Regina MkondeAugust 20, 2019SERIKALI ya Tanzania imepewa mkopo wenye masharti nafuu wa zaidi ya Sh. 414 bilioni kutoka Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), kwa ajili...
By Regina MkondeAugust 20, 2019WAKILI wa upande wa utetezi katika kesi ya jinai inayomkabili mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na baadhi ya viongozi wenzake, Peter Kibatara, amehoji...
By Regina MkondeAugust 19, 2019VIDEO ya Freeman Mbowe na wenzake, iliyoibua mvutano katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam hatimaye imeoneshwa leo tarehe 19...
By Regina MkondeAugust 19, 2019RAIS John Magufuli leo tarehe 17 Agosti 2019 amekabidhiwa rasmi uenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika SADC. Anaripoti Regina Mkonde...
By Regina MkondeAugust 17, 2019WATU wanne wamepoteza maisha huku 26 wakijeruhiwa katika ajali ya basi la abiria la Safari Njema likitokea Dar es Salaam lilipogongana na Lori...
By Regina MkondeAugust 16, 2019DEO Mapunda, mkazi wa Ruvuma anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa madai ya kutapeli wananchi kwa kujifanya mganga wa kienyeji. Anaripoti Regina Mkonde...
By Regina MkondeAugust 15, 2019MAJERUHI saba kati ya 32 waliokuwa wakiendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), wamefariki dunia usiku wa kumkia leo tarehe...
By Regina MkondeAugust 15, 2019SERIKALI na vyama vya siasa nchini vimetuma salamu za pole kufuatia vifo vya watu 60 na majeruhi 70 vilivyotokea kwenye mlipuko wa lori...
By Regina MkondeAugust 10, 2019BALOZI za Marekani na Uingereza nchini Tanzania wameingilia kati sakata la kukamatwa mwandishi wa habari za uchunguzi, Erick Kabendera. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Leo...
By Regina MkondeAugust 9, 2019WAKATI serikali ikieleza kufuta umiliki wa kitalu cha uwindaji wa kitalii cha Lake Natron (East), kilichokuwa kinamilikiwa na Kampuni ya Uwindaji wa Kampuni...
By Regina MkondeAugust 8, 2019JESHI la Polisi mkoani Tanga, linawashikilia wafanyabaishara 12 wanaodaiwa kufanya biashara ya ubadilishaji fedha za kigeni bila leseni ya biashara hiyo kutoka Benki...
By Regina MkondeAugust 8, 2019JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limepiga marufuku usafiri wa pikipiki ‘Bodaboda’ kuingia maeneo ya mjini kuanzia tarehe 6 hadi...
By Regina MkondeAugust 5, 2019NCHI za Afrika hazina nguvu katika soko la kimataifa hasa kwenye malighafi, hupangiwa bei ya kuuza kwa wenye viwanda. Anaripoti Regia Mkonde … (endelea)....
By Regina MkondeAugust 5, 2019MOHAMMED Dewji ‘Mo’, Mkurugenzi wa Makampuni ya Mohammed Enterprises Tanzania Ltd (METL), amempongeza Rais John Magufuli kwa jitihada zake za kuleta mageuzi katika...
By Regina MkondeAugust 1, 2019MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imekusanya kiasi cha Sh. 15.9 Trilioni katika kipindi cha nusu mwaka wa 2018/19. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Taarifa...
By Regina MkondeAugust 1, 2019RAIS Mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi amewataka Watanzania kuvumiliana katika tofauti zao za kiimani. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Alhaj Mwinyi...
By Regina MkondeJuly 31, 2019TUNDU Lissu, aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki amesema, yupo ‘fiti’ na kwamba sasa hatumii magongo hivyo hanasababu ya kuendelea kukaa Ulaya. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea)....
By Regina MkondeJuly 31, 2019MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THDRC), umetuma wawakilishi wake kupeleka maombi ya dhamana kwa mwandishi Erick Kabendera. Anaripoti Regina Mkonde...
By Regina MkondeJuly 30, 2019RAIS John Magufuli leo tarehe 30 Julai 2019 ametoa salamu za pole kwa familia ya marehemu Meja Jenerali Mstaafu, Alfred Mbowe, aliyefariki dunia...
By Regina MkondeJuly 30, 2019MWENYEKITI wa NCCR- Mageuzi, James Francis Mbatia (55), ameonya kuwa hakuna maendeleo yanayoweza kufikiwa nchini, ikiwa umoja wa kitaifa uliosisiwa na Mwalimu Julius...
By Regina MkondeJuly 27, 2019CHAMA cha NCCR Mageuzi kimeiomba serikali kuweka meza ya maridhiano na vyama vya upinzani, ili kuzungumzia changamoto zinazoikabili demokrasia hapa nchini. Anaripoti Mwandishi...
By Regina MkondeJuly 27, 2019RAIS John Magufuli ameiagiza Wizara ya Fedha na Mipango kuchunguza matumizi ya Sh. 15.3 bilioni zilizotolewa na serikali kwa ajili ya kugharamia matumizi...
By Regina MkondeJuly 27, 2019RAIS John Magufuli leo tarehe 26 Julai 2019 amezindua ujenzi wa Mradi wa Uzalishaji Umeme katika Mto Rufiji ‘Stigler’s Gorge, unaogharimu kiasi cha...
By Regina MkondeJuly 26, 2019HEKARI za misitu zaidi ya 2.8 Milioni ziko hatarini kupotea ifikapo mwaka 2030, kutokana na ongezeko la matumizi ya nishati mbadala. Anaripoti Regina...
By Regina MkondeJuly 26, 2019WATU saba wanashikiliwa na Jeshi la Polisi jijini Mwanza kwa tuhuma za mauaji ya watu watano akiwemo Ibrahim Njalali, aliyekuwa Ofisa Mfawidhi wa...
By Regina MkondeJuly 26, 2019TUHUMA zilizoelekezwa kwa mteule wa Rais John Magufuli, Lengai Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai (DC) kumwomba rushwa mfanyabiashara Curthebert Swai, limejibiwa....
By Regina MkondeJuly 25, 2019RAIS John Magufuli ameagiza mchakato wa urekebishaji Sheria ya Reli inayounganisha nchi za Tanzania na Zambia (TAZARA), kufanyika haraka ili kuboresha shughuli za...
By Regina MkondeJuly 25, 2019