DAKTARI Abdullah Hasnuu Makame, leo tarehe 6 Desemba 2019, amefikisha azimio la kubadilisha jina la Ziwa Victoria, katika Bunge la Afrika Mashariki (EALA)....
By Regina MkondeDecember 6, 2019FAHMI Nassoro Dovutwa, mwenyekiti wa taifa wa chama cha United People’s Democratic Party (UPDP), anayedaiwa kufukuzwa uongozi wa chama hicho, amegoma kuachia ngazi....
By Regina MkondeDecember 5, 2019EDWARD Lowassa, Waziri Mkuu Mstaafu, amekwepa kuzungumzia hatua ya Frederick Sumaye, kujitenga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti Regina Mkonde …...
By Regina MkondeDecember 5, 2019ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo pamoja na Humphrey Polepole, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamezungumzia hatua...
By Regina MkondeDecember 4, 2019FREDERICK Sumaye, aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, amelalamika kutoelezwa ‘ukweli,’ kwamba uchaguzi wa ngazi ya uenyekiti kwenye chama hicho, haufuati Katiba...
By Regina MkondeDecember 4, 2019CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimewatangaza viongozi wake 29 wa kanda, waliochaguliwa katika chaguzi zilizofanyika kuanzia tarehe 28 Novemba hadi Desemba Mosi...
By Regina MkondeDecember 3, 2019FREDERICK Sumaye na Cecil Mwambe, wanasubiri hukumu yao itayotolewa tarehe 16 Desemba 2019, baada ya kujitosa kugombea nafasi ya uenyekiti-Taifa kupitia Chadema. Anaripoti...
By Regina MkondeDecember 3, 2019TUNDU Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Saed Kubenea, Mbunge wa Ubungo, wamejitosa katika kinyang’anyiro cha kuwania umakamu...
By Regina MkondeNovember 30, 2019WAKURUGENZI wa halmashauri nchini, wameagiza kurejesha fedha walizokopa kwenye taasisi za fedha kwa ajili ya utekelezaji wa miradi. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Agizo hilo limetolewa...
By Regina MkondeNovember 28, 2019PATRICK Ole Sosopi, Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anayemaliza muda wake, amesema hana mpango wa kugombea...
By Regina MkondeNovember 28, 2019CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimemuonya Benard Membe, kutokuwa juu ya katiba ya chama hicho. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Onyo hilo limetolewa leo...
By Regina MkondeNovember 27, 2019JAJI Mstaafu, Joseph Sinde Warioba ameingiwa na hofu kutoa maoni yake kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa, uliofanyika tarehe 24 Novemba 2019. Anaripoti...
By Regina MkondeNovember 27, 2019ALIYEKUWA Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk. Helen Kijo-Bisimba, ameibuka na kusema, uchaguzi wa Serikali za Mitaa,...
By Regina MkondeNovember 26, 2019MBUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika jimbo la Ndanda, mkoani Mtwara, Cecil Mwambe, amejitosa kwenye kinyang’anyiro cha uenyekiti ndani ya...
By Regina MkondeNovember 26, 2019SERIKALI ya China imepanga kutoa Yuan RMB 300 Milioni (Tsh. 98,084,910,435.8), kwa ajili ya kuimarisha ulinzi nchini ikiwemo, ujenzi wa Makao Makuu ya...
By Regina MkondeNovember 25, 2019UHASAMA na siasa za makundi vimeanza kushika kasi ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kufuatia baadhi ya viongozi wandamizi wa chama...
By Regina MkondeNovember 24, 2019VIONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Songwe, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi katika Kituo cha Vwawa, kwa tuhuma za kumjeruhi...
By Regina MkondeNovember 23, 2019NDEGE aina ya Bomberdier Q 400 iliyonunuliwa na Serikali ya Tanzania, inashikiliwa nchini Canada, kwa amri ya mahakama. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea)....
By Regina MkondeNovember 23, 2019JULIUS Mtatiro, Mkuu wa Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, amewaonya watendaji watakaokwamisha minada ya korosho. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Mtatiro ametoa onyo...
By Regina MkondeNovember 23, 2019RAIS John Magufuli amewataka watu wanaolalamika bei ya mahindi kupanda, wakalime ya kwao, ili yawe ya bei ya chini. Anaripoti Regina Mkonde … (endela)....
By Regina MkondeNovember 20, 2019MKUU wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro amemweka kiporo Tundu Lissu, na kwamba anamsubiri atokeo alipo ili kutoa ushahidi wa kupigwa...
By Regina MkondeNovember 18, 2019MCHUNGAJI Peter Msigwa, Mbunge wa Iringa Mjini yuko njiani kujisalimisha katika Kituo cha Polisi cha Oysterbay, jijini Dar es Salaam. Ni baada ya...
By Regina MkondeNovember 18, 2019VYAMA saba vilivyojitoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, vimewataka wanachama wake kukaa mkao wa kujibu mapigo, ikiwa mapendezo yao kuhusu uchaguzi huo,...
By Regina MkondeNovember 16, 2019WIZARA ya Ofisi ya Rais-TAMISEMI imewataka wagombea wa vyama vya upinzani, vilivyojitoa katika uchaguzi wa serikali za mitaa, kuandika barua za kujitoa katika...
By Regina MkondeNovember 16, 2019VYAMA visivyokuwa na uwakilishi bungeni, TLP, UMD na DP, kesho tarehe 17 Novemba 2019 vitaanza kufanya kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa....
By Regina MkondeNovember 16, 2019WATU waliokuwa karibu na Rais Aboud Jumbe wakati huo, ndio walioiba waraka na kutoa nakala, kisha ule asili ‘original’ wakaurudishwa, nakala nyingine waliipeleka...
By Regina MkondeNovember 15, 2019MAALIM Seif Shariff Hamad, Mshauri Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, hana kinyongo na Prof. Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF). Anaripoti Regina...
By Regina MkondeNovember 15, 2019CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimezitaka Jumuiya za Kimataifa kupuuza malalamiko ya vyama vya wapinzani nchini, kwamba vinahujumiwa. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Akizungumza na...
By Regina MkondeNovember 14, 2019CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeungana na kauli ya serikali kwamba ‘hakuna kuweka mpira kwapani.’ Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Kauli hiyo, ilianza kutumiwa na...
By Regina MkondeNovember 13, 2019SERIKALI imesema, hakuna Mtanzania amabaye laini yake ya simu itafungwa kwasababu ya kutosajiliwa kwa alama za vidole. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Kauli hiyo...
By Regina MkondeNovember 13, 2019CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimetoa masharti manne kwa serikali, ili kishiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Masharti hayo yametolewa...
By Regina MkondeNovember 11, 2019CHAMA cha Wananchi (CUF) kimesema kitafanya kikao, kwa ajili ya kujadili ushiriki wake katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, unaotarajia kufanyika tarehe 24...
By Regina MkondeNovember 9, 2019VYAMA 11 visivyo na uwakilishi bungeni, vimeeleza mahali viliposimamisha wagombea wake, wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Maelezo...
By Regina MkondeNovember 9, 2019RAIS John Magufuli, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) amesema, uhuru wa kisiasa hauna maana kama nchi za Afrika zitaendelea...
By Regina MkondeNovember 8, 2019MIKASA katika uchukuaji na urejeshaji fomu imetamalaki katika maeneo mbalimbali nchini, viongozi wa upinzani sasa wanaelekeza kilio cha kwa serikali. Anaripoti Regina Mkonde …...
By Regina MkondeNovember 6, 2019MWINYI Zahera, aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga, ametoa hadharani siku moja baada ya kufutwa kazi katika klabu hiyo, na kudai kuwa Mwenyekiti wa...
By Regina MkondeNovember 6, 2019SERIKALI imesema, imeajiri watu 184141, kuanzia mwaka 2015 hadi 2019. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Takwimu hizo zimetolewa leo tarehe 5 Novemba 2019,...
By Regina MkondeNovember 5, 2019OFISI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ni chafu, hivyo Charles Kichere nenda kaisafishe. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea)....
By Regina MkondeNovember 4, 2019UTEUZI wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), umefanyika huku, Prof. Mussa Assad akiwa hajui lolote. Anaripoti Regina Mkonde …...
By Regina MkondeNovember 4, 2019WAKALA wa Usalama na Afya Mahala Pa Kazi (OSHA) umesema uko katika mkakati wa kuwafikia wajasiriamali, wanaofanya kazi katika mazingira hatarishi. Anaripoti Regina...
By Regina MkondeNovember 2, 2019JOB Ndugai, Spika wa Bunge ameipongeza Kenya kwa kuzindua Kanuni za Kudumu za Bunge lake, kwa lugha ya Kiswahili. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea)....
By Regina MkondeOctober 31, 2019MAZINGIRA mabovu, vitimbi na hujuma katika siku ya kwanza ya kuchukua fomu za kugombea nafasi mbalimbali, kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, yameitibua...
By Regina MkondeOctober 30, 2019SERIKALI ya Rais John Magufuli, imeshauriwa kubadili mwelekeo wake, ikiwa ina dhamira ya kweli katika kuimarisha uhuru na demokrasia nchini. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Pia,...
By Regina MkondeOctober 28, 2019RAIS John Magufuli amesema Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) limekusanya mapato, kiasi cha Dola 14 milioni (sawa na TSh. 32.7 bilioni). Anaripoti...
By Regina MkondeOctober 26, 2019WATU nane wamefariki dunia wilayani Handeni mkoani Tanga, baada ya gari walilokuwa wanasafiria, kutumbukia mtoni. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Akizungumza na MwanaHALISI...
By Regina MkondeOctober 26, 2019JAJI Joseph Warioba, Waziri Mkuu Mstaafu amezitaka nchi za Afrika kuwa na msimamo dhidi ya ukoloni mamboleo. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Ametoa kauli...
By Regina MkondeOctober 25, 2019PROFESA Palamagamba Kabudi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, amewataka wananchi kutotikiswa na vitisho vya kunyimwa misaada ya fedheha kutoka mataifa...
By Regina MkondeOctober 25, 2019SIKU moja baada ya Chama cha Wananchi (CUF), kusisitiza kwamba hakitashirikiana na vyama vingine kutokana na kusalitiwa, Saed Kubenea amesema ‘CUF ndio wasaliti’. Anaripoti...
By Regina MkondeOctober 24, 2019SALIM Bimani, Mwenyekiti wa Kamati ya Itikadi, Uenezi, Mawasiliano na Umma wa Chama cha ACT Wazalendo, amesema kitendo cha vyama vya siasa, kuzuiwa...
By Regina MkondeOctober 24, 2019KAMPUNI ya Kwanza, inayoendesha Televisheni ya mtandaoni (Kwanza TV), inatarajia kukata rufaa dhidi ya hukumu ya kufungiwa chaneli yake, kwa muda miezi sita....
By Regina MkondeOctober 24, 2019