Friday , 26 April 2024
Home upendo
1869 Articles238 Comments
Habari za SiasaTangulizi

JPM aumiza kichwa

RAIS John Magufuli, ameibua maswali yanayomuumiza kichwa kuhusu tukio la kukamatwa kwa dhahabu ya Tanzania nchini Kenya, bila watuhumiwa kukamatwa. Anaripoti Regina Mkonde...

Habari za Siasa

Mteule wa JPM atuhumiwa kuomba rushwa, ni DC wa Hai

LENGAI Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai (DC) anatuhumiwa na Carthbert Swai, mfanyabiashara na Mmiliki wa Hoteli ya Kitalii ya Weruweru River...

Habari za SiasaTangulizi

Kilichomkera JPM kwa Makamba hiki hapa

MIONGONI mwa sababu za January Makamba, aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira kung’olewa kwenye nafasi hiyo, zimetajwa....

Habari Mchanganyiko

Rais Magufuli ataja sababu kumteua Bashe

RAIS John Magufuli ametaja sababu za kumteua Hussein Bashe, Mbunge wa Nzega kuwa Naibu Waziri katika Wizara ya Kilimo. Anaandika Regina Mkonde…(endelea). Akizunguza baada...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli amtimua uwaziri January Makamba

RAIS John Magufuli ametengua uteuzi wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January Makamba. Anaripoti Regina Mkonde …...

Habari za SiasaTangulizi

SAKATA LA WARAKA: Lusinde amgwaya Membe 

MBUNGE wa Mtera (CCM), Livingstone Lusinde, maarufu kwa jina la Kibajaji, “ameshindwa” kufanya kazi aliyotumwa. Anadaiwa alipangwa kumshambulia kwa njia ya kumvunjia heshima,...

Habari za Siasa

Sakata la usaliti; Nape awatahadharisha CCM

NAPE Nnauye, Mbunge wa Mtama amewataka watu wanaojadili sauti iliyosambaa mitandaoni inayodaiwa kuwa ni yake na Abdulrahman Kinana, Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM,...

Habari za Siasa

Spika Ndugai ampigia kampeni Rais Magufuli

JOB Ndugai, Spika wa Bunge ameanza kumwombea kura Dk. John Magufuli, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano...

Habari Mchanganyiko

TCE yazindua kampeni ya malezi chanya

TAASISI inayoshughulika na masuala ya maendeleo na ustawi wa jamii (TCE), imezindua kampeni ya malezi chanya, kwa ajili ya kukabiliana na vitendo vya...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Rushwa, vitisho vyatawala malipo ya korosho 

MALALAMIKO ya rushwa na vitisho kwa wakulima na wafanyabiashara wa korosho, vimetawala kwenye madai ya malipo ya biashara hiyo, mkoani Mtwara. Anaripoti Regina Mkonde...

Afya

Wasambazaji, wauzaji dawa ya Gentrisone wakamatwa

MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba Tanzania (TMDA), imeondoa sokoni dawa bandia aina ya Gentrisone 10g Cream, zaidi ya tube 4,188. Anaripoti Regina Mkonde...

Habari Mchanganyiko

MISA Tanzania wamvaa Uwoya

TUKIO la Irene Uwoya, Msanii wa Filamu nchini kuwamwagia fedha waandishi wa habari, limelaaniwa na Taasisi ya Vyombo ya Habari Kusini mwa Afrika...

Michezo

Simba yamshitaki Mzee Kilomoni TFF

KLABU ya Simba imemfikisha Mzee Hamisi Kilomoni, aliyekuwa Mjumbe wa Bodi yake ya  Wadhamini katika Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa...

Habari Mchanganyiko

Tanzania yapata ‘dili’ uuzaji wa korosho

SHIRIKISHO la Korosho Barani Afrika (ACA), limeiteua Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano wa 13 wa wadau wa kimataifa wa korosho, unaotarajia kufanyika kuanzia...

Habari Mchanganyiko

Waliouwa Watanzania Msumbiji wanaswa, mmoja afariki

MKUU wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Simon Sirro amesema, watu watano wanaoshukiwa kuhusika katika tukio la mauaji ya Watanzania tisa nchini Msumbiji,...

Habari Mchanganyiko

Prof. Mbarawa afanya ‘mageuzi’

PROFESA Makame Mbarawa, Waziri wa Maji na Umwagiliaji, amefanya mabadiliko katika Mamlaka za Majisafi na Usafi wa Mazingira katika mikoa ya Tabora na...

Habari za Siasa

Zitto aja na mikakati ya kuiteka Dar

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo amewapa mbinu za ushindi viongozi wa majimbo wa chama hicho mkoa wa Dar es Salaam,...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Kabudi azidi kung’ang’aniwa

KAMPUNI ya Hali Halisi Publishers Limited (HHPL), wachapishaji wa magazeti ya MwanaHALISI, MSETO na MAWIO, imemshukia Prof. Palamagamba Kabudi, kufuatia kauli yake, kwamba...

Habari Mchanganyiko

BOT yailima DTB benki faini Bil. 1

BENKI ya Diamond Trust (DTB) imepigwa faini ya kiasi cha Sh. 1 Bilioni na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kwa kukaidi agizo la...

Habari Mchanganyiko

Viongozi wa Dini wazindua Kitabu cha Mwongozo wa Uchumi

KAMATI ya Viongozi wa Dini ya Masuala ya Haki za Kiuchumi na Uadilifu katika Uumbaji (ISCEJIC), imezindua Mfumo wa Soko Jamii unaotoa muongozo...

Habari MchanganyikoTangulizi

Prof. Kabudi: Wameninukuu vibaya, sijasema Azory amefariki

PROFESA Palamagamba Kabudi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, amekanusha kauli inayosambaa katika mitandao ya kijamii ya kwamba amethibitisha...

Habari MchanganyikoTangulizi

Afisa Madini mbaroni kwa wizi wa dhahabu ya Mil.507

DONALD  Njonjo, Meneja wa Maabara katika Tume ya Madini anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kwa tuhuma za...

Habari Mchanganyiko

Rais Magufuli amtumia salamu za rambirambi Bakhresa, Azam Media

RAIS John Magufuli ameungana na Watanzania kutoa salamu za rambirambi kwa uongozi wa Kampuni zilizo chini ya Azam Media zinazoongozwa na mwenyekti wake...

Habari MchanganyikoTangulizi

Wafanyakazi Azam wafariki ajalini

WAFANYAKAZI watano wa Azam Televishen kati ya saba leo tarehe 8 Julai 2019, wamepoteza maisha kwenye ajali iliyotokea katika eneo la Malendi, Wilaya...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mali za Mbowe zapigwa mnada kufidia deni la Bil. 1

BAADHI ya vifaa vya Kampuni ya Mbowe Limited (Bilicanas) vimepigwa mnada leo tarehe 6 Julai 2019 na Kampuni ya Udalali ya Fosters Auctioneers...

Habari Mchanganyiko

Tanzania, Interpol kuchunguza kutekwa msaidizi wa Zitto

JESHI la Polisi, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limesema, litashirikiana na Shirika la Polisi la Kimataifa (INTERPOL) kuchunguza tukio la kupotea na...

Michezo

JWTZ kushiriki mashindano ya majeshi duniani

JESHI la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), linatarajia kushiriki michezo ya majeshi ya dunia itakayofanyika nchini China kuanzia tarehe 18 hadi 27 Oktoba mwaka...

Habari Mchanganyiko

Msaidizi wa Zitto ‘aokotwa’ Kenya

RAPHAEL Ongangi, aliyekuwa Msaidizi wa Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo amepatikana akiwa hai asubuhi ya leo tarehe 2 Julai 2019, eneo...

Habari Mchanganyiko

Serikali yatenga Bil 114.5 kumaliza changamoto ya maji Dar, Pwani

SERIKALI imepanga kutumia kiasi cha Sh. 114.5 Bilioni katika kutekeleza miradi sita ya maji kwenye mikoa ya Dar es Salaam na Pwani. Anaripoti Regina...

Habari za Siasa

Rais Magufuli arudi nyumbani Chato, afurahia maendeleo

RAIS John Magufuli ameeleza kufurahishwa kwake na maendeleo yaliyofikiwa na wananchi wa Wilaya ya Chato mkoani Geita. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Akizungumza...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto amsaka Ongangi, ataka Kenya iingilie

ZITTO Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini ameitaka serikali ya Tanzania kulipa uzito suala la kutekwa kwa Raphael Ongangi, Rais wa Kenya ambaye ni...

Habari Mchanganyiko

Rais Magufuli ampa kazi Rostam Aziz

RAIS John Magufuli amempa kazi Rostam Aziz, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Taifa Gas Tanzania Limited, kutafuta wawekezaji. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Amempa...

Michezo

Rais Magufuli awapa moyo Taifa Stars, akubali mziki wa Senegal

RAIS John Magufuli amewapa moyo wachezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kufuatia kupoteza mchezo wao wa kwanza katika Michuano ya...

Habari za Siasa

Waraka mpya vitambulisho ujasiriamali kutolewa

SERIKALI imesema, ifikapo Julai Mosi mwaka huu itatoa waraka mahsusi utakaoainisha wajasiriamali wanaopaswa kupatiwa vitambulisho. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Kauli hiyo imetolewa leo...

Habari za Siasa

Ngono yataabisha mabinti-Mbunge

MGENI Jadi Kadika, Mbunge Viti Maalumu (CUF) ameiomba serikali iunde kamati maalumu ya kufuatilia mtandao wa watu wanaofanyisha watoto wa kike baishara ya...

Habari Mchanganyiko

‘Mamba wanatafuna watu Mto Rufiji’

MOHAMMED Mchengelwa, Mbunge wa Rufiji amesema, changamoto ya uhaba wa maji inahatarisha maisha ya wananchi wake, kufuatia baadhi yao kuliwa na mamba wanakichota...

Habari MchanganyikoTangulizi

Tanzania yaita wawekezaji zao la Korosho

KITUO cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimetoa wito kwa wawekezaji wa ndani na wa nje ya nchi wenye nia ya kuwekeza katika zao la...

Habari Mchanganyiko

Mauaji ya mwanachuo KIU: Mtuhumiwa akiri kuhusika

ERNEST Joseph (19), anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam kwa tuhuma za kuhusika katika tukio la mauaji ya Anifa...

Habari za Siasa

Ndugai awapa ‘makavu’ wabunge viti maalum

JOB Ndugai, Spika wa Bunge amehoji wabunge wanawake wa viti maalum kwamba, katika uwakilishi wao bungeni, wamefanya kitu gani muhimu kusaidia wanawake wanaodhulumiwa? Anaripoti...

Habari za Siasa

JPM amtumbua mwingine

WAKILI Julius Kalolo, ameteuliwa na Rais John Magufuli kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Wakala wa Umeme Vijijini (REA). Anaripoti Regina Mkonde...

Afya

Serikali yatoa tahadhari kuhusu Ebola

SERIKALI imetoa tahadhari kwa umma kuhusu uwepo wa tishio la ugonjwa wa Ebola kufuatia ugonjwa huo kulipuka nchi ya jirani ya Uganda. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Fuvu la Zinjanthropus kutowekwa hadharani

DAKTARI Hamis Kigwangalla, Waziri wa Maliasili na Utalii amesitisha mpango wake wa kupeleka fuvu la mtu wa kale katika Makumbusho ya Olduvai, Ngorongoro...

Habari za Siasa

Dk. Mpango: Pato la mtu mmoja mmoja limeongezeka

SERIKALI imeeleza kuwa, pato la wastani la kila mtu kwa mwaka 2018 lilifikia Sh. 2.4 Milioni (2,458,496), kutoka Sh. 2.3 (2, 327,395) mwaka...

Habari za Siasa

Kuelekea Bajeti Kuu 2019/20: Kubenea amtuhumu Dk. Mpango

SAED Kubenea, Mbunge wa Ubungo (Chadema) amemtuhumu Dk. Phillip Mpango, Waziri wa Fedha na Mipango kwamba, ameshindwa kumsaidia Rais John Magufuli kuimarisha uchumi...

Habari za Siasa

JPM ateuwa wenyeviti wapya wa bodi TTCL, Airtel Tanzania

DAKTARI John Magufuli ameteua wenyeviti wa Bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) na Bodi ya Kampuni ya Simu za Mkononi ya Airtel...

Habari za Siasa

Dk. Shein afuata nyayo za Rais Magufuli

DAKTARI Ali Mohamed Shein, Rais wa Zanzibar leo tarehe 11 Juni 2019 amefanya uteuzi wa viongozi katika idara mbalimbali zilizoko chini ya wizara...

Habari za Siasa

Zitto aikaba koo NEC, ZEC

SAKATA la Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kutaka wakurugenzi wa halmshauri na manispaa kusimamia uchaguzi, linachukua sura mpya. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea)....

Habari za Siasa

Rais Magufuli: Mungu amewaumbua

RAIS John Magufuli amesema, Mungu amewaumbua watu waliodhihaki hatua ya serikali kufanya mazungumzo na Kampuni ya Bharti Airtel International mwaka mmoja uliopita. Anaripoti Regina...

Habari za SiasaTangulizi

Pangua pangua ya Rais Magufuli, ilianzia siku ya kwanza ya kuingia Ikulu 

RAIS John Magufuli, amebakiza mwaka mmoja na ushei kukamilisha ngwe yake ya kwanza ya miaka mitano. Akibahatika aweza kuendelea kuhudumu katika kipindi kingine...

Habari za Siasa

Spika Ndugai awananga wapinzani

JOB Ndugai, Spika wa Bunge ametumia ujio wa Mukabalisa Donatile, Spika wa Bunge la Rwanda kuwanaga wapinzani nchini. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Spika Ndugai...

error: Content is protected !!