Friday , 19 April 2024
Home upendo
1866 Articles238 Comments
Habari za Siasa

Tulisalitiwa, tunapambana wenyewe – CUF

CHAMA cha Wananchi (CUF), kimeeleza dhamira yake ya kuking’oa Chama Cha Mapinduzi (CCM), bila kushirikiana na chama chochote. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Kimeeleza, tayari...

Habari za Siasa

Zitto: CCM ipo hoi, wanachama 90 wamfuata

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo amesema Chama cha Mapinduzi (CCM) kiko hoi. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Zitto ametoa kauli hiyo wakati akiwapokea...

Habari za Siasa

Rais Magufuli: Uongozi unahitaji uvumilivu

RAIS John Magufuli amesema, kazi ya uongozi inahitaji uvumilivu pamoja na kumtanguliza Mungu katika kila jambo. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Rais Magufuli ametoa kauli...

Habari za Siasa

Rais Magufuli afanya uteuzi, atengua

RAIS John Magufuli leo tarehe 19 Oktoba 2019 amefanya uteuzi na utenguzi wa viongozi mbalimbali. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea).  Kwa mujibu wa...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali yatoa jipya wizi wa kompyuta za DPP

SERIKALI imekanusha madai ya Kompyuta za Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka Tanzania (DPP), zenye taarifa za watuhumiwa wa uhujumu uchumi, kuibiwa na watu...

Habari Mchanganyiko

RC Mbeya sasa kuchapa viboko wasiofunga ndoa

ALBERT Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya ametangaza kuwachapa bakora wanaume na wanawake wasiofunga ndoa. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Chalamila ametangaza kampeni hiyo kufuatia mijadala...

Habari za Siasa

Uma, puliza uandikishaji serikali za mitaa

UANDIKISHAJI wa daftari la wapiga kura kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa tarehe 24 Novemba 2019, umegubikwa na mitazamo mbalimba. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe: Hatususi, haibiwi kura mtu

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameapa wagombea wake kutoibiwa kura katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika...

Habari Mchanganyiko

Tunaathirika wote –  Olengurumwa 

VIWANGO vikubwa vya kodi vimelalamikiwa katika mkutano wa Wakurugenzi wa Asasi za Kiraia (AZAKI). Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Wakizungumza katika nyakati tofauti kwenye...

Habari za Siasa

Serikali yaongeza siku 3, uandikishaji wapiga kura

SERIKALI yaongeza siku tatu katika zoezi la uandikishaji wapiga kura kwenye Daftari la Orodha ya Wapiga Kura. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Zoezi hilo lililoanza...

Habari za Siasa

Rais Magufuli ahamia rasmi Dodoma

RAIS John Magufuli ametangaza kuhamia rasmi kwenye Ikulu ya Chamwino, jijini Dodoma. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Taarifa hiyo imetolewa na Gerson Msigwa,...

Habari za Siasa

Askofu Kakobe aombea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

ZACHARY Kakobe, Askofu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF) ameongoza sala ya kuombea uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2019...

Habari za Siasa

Seth asalim amri kwa DPP

MFANYABIASHARA bilionea na Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya PAP, Habinder Seth amesalimu amri kwa Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP). Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Seth...

Habari za Siasa

Maalim Seif ajitosa Serikali za Mitaa

MABADILIKO kamili katika siasa, uchumi na kijamii hayawezi kufikia iwapo wananchi watasita kwenda kujiandikisha ili kupiga kura. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Kauli...

Habari za Siasa

Waitara ‘ahaha’ Ukonga, alia rafu

KUELEKEA Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020, Mwita Waitara ambaye ni Mbunge wa Ukonga pia Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais Tamisemi, ameanza kupiga...

Habari za Siasa

Chadema: Tumemjibu msajili

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Vincent Mashinji amesema, ‘tayari tumemjibu msajili.’ Anaandika Regina Mkonde…(endelea). Amesema, chama hicho kimejibu...

Habari Mchanganyiko

Taasisi za dini kufanyiwa uhakiki

OFISI ya Msajili wa Jumuiya za Kijamii na Taasisi za Kidini, kufanya uhakiki wa taasisi na jumuiya hizo, zilizopo katika mikoa ya Kanda...

Habari za Siasa

Mama Samia: Kazi ipo

MAKAMU wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan amewapongeza viongozi mbalimbali walioteuliwa na Rais John Magufuli, na kuwatahadharisha kwamba kazi ipo. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea)....

Habari Mchanganyiko

Serikali za Mitaa: Polisi waonya

HATUTAFUMBIA macho watu, taasisi na vyama vya siasa vitakavyokiuka sheria. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Kauli hiyo imetolewa leo tarehe 1 Oktoba 2019 na...

Habari za SiasaTangulizi

JPM asaini sheria nne mpya

RAIS John Magufuli amesaini sheria nne zilizopitishwa katika mkutano wa 16 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Watuhumiwa 467 uhujumu uchumi waomba toba, kulipa Bil. 107.1

WATUHUMIWA 467 wa uhujumu wameomba toba, na kukubali kurejesha serikalini fedha walizotafuna zaidi ya Sh. 107.1 bilioni. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Hayo...

Habari za Siasa

AZAKI zang’ata na kupuliza utendaji wa JPM

ASASI za Kiraia nchini (AZAKI) zimeipongeza Serikali ya Awamu ya Tano, chini ya Rais John Pombe Magufuli kwa kuboresha huduma za kijamii na...

Habari za SiasaTangulizi

Madai ya Katiba Mpya, yaibuka upya

ASASI za Kiraia nchini, zimeikumbusha serikali kutimiza ahadi yake ya upatikanaji wa Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano, kabla ya mwaka 2021. Anaripoti Regina...

Habari za Siasa

Chadema wamweka kwenye kona IGP Sirro

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimempa mtihani mzito Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea)....

Habari za Siasa

Alhaj Mwinyi mwenyekiti mpya MUHAS

RAIS John Magufuli amemteua Alhaji Ali Hassan Mwinyi,  Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi...

Habari za Siasa

Kauli ya JPM, LHRC yatoa tahadhari

KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu nchini (LHRC), kimetoa wito kwa mamlaka husika kuhakikisha dhana ya makubaliano ya kukiri kosa, inatumika kwa...

Habari za Siasa

Rais Magufuli ateua Mwenyekiti NBS

RAIS John Magufuli amemteua Dk. Amina Msengwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS). Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Taarifa ya...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto ‘afukua makaburi’ Chadema

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, amezungumzia tukio la kutimuliwa kwake ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kwamba lilimpa...

Habari za SiasaTangulizi

JPM ‘aingia’ jimboni kwa Lissu

IMECHUKUA siku saba tu kutekelezwa kauli ya Rais John Magufuli, ya kushughulikia tatizo la maji kwenye jimbo la Singida Mashariki lililokuwa likiongozwa na...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli agusa maisha ya Rugemarila, Seth

RAIS John Magufuli ameshauri wafungwa walioko mahabusu kwa tuhuma za uhujumu uchumi, kama wako tayari kuomba radhi na kuzirudisha fedha walizotafuna, watolewe. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Serikali yatoa majibu sintofahamu zao la korosho

SERIKALI yatoa majibu kuhusu sintofahamu ya zao la korosho, iliyojitokeza kufuatia hatua yake ya kuingilia kati uuzaji wa korosho ghafi za msimu wa...

Habari za Siasa

Aliyetumbuliwa, ateuliwa ubalozi

DAKTARI Modestus Kipilimba, aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS), ameteuliwa kuwa balozi. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Rais Magufuli alimfuta kazi Dk....

Habari za Siasa

Wakulima korosho wanatudai Bil 50 tu – Serikali

SERIKALI imeeleza, bado inadaiwa kiasi cha Sh. 50 bilioni na wakulima wa zao za korosho. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea).  Akizungumza na wanahabari leo...

Habari Mchanganyiko

Kumwaga Dilunga: Polepole asema ‘nampenda Zitto’

HUMPHREY Polepole, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) amesema, anampenda Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Jengo Old Tanga Sekondari lateketea

JENGO moja la Shule ya Sekondari ya Old Tanga, iliyoko jijini Tanga limeteketea kwa moto mchana wa leo tarehe 18 Septemba 2019. Anaripoti Regina...

Habari Mchanganyiko

Kifo cha Dilunga chashtua tasnia ya habari, serikali

KIFO cha Godfrey Dilunga, mwandishi wa habari za mtafiti, mhariri na mchokonozi, kimeumiza tasnia nzima ya habari na kada zingine nchini. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea)....

Habari za Siasa

JPM: Hizo ni kelele za chura, hazinizuii

RAIS John Mgaufuli amesema, kelele zilizoibuka baada ya ndege ya Shirika la ndege la Tanzania (ATCL), kushikiliwa nchini Afrika Kusini kwa amri ya...

Habari za SiasaTangulizi

Viongozi ACT-Wazalendo mbaroni kwa kufungua matawi bila kibali

ADO Shaibu, Katibu wa Itikadi na Uenezi   wa Chama cha ACT Wazalendo, na viongozi wa chama hicho Mkoa wa Dar es Salaam,...

AfyaHabari Mchanganyiko

Serikali yakanusha uwepo ugonjwa wa Ebola

SERIKALI imekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni kwamba kuna mlipuko wa virusi vya ugonjwa wa Ebola hapa nchini. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Hivi karibuni...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe, wenzake wabanwa, wakutwa na kesi ya kujibu

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema Taifa na wenzake, wamekutwa na kesi ya kujibu katika kesi ya jinai namba 112/2018, inayowakabili kwenye Mahakama ya...

Habari za SiasaTangulizi

Wakili wa Kabendera ‘aipigia magoti’ mahakama 

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam leo tarehe 12 Septemba 2019, imeombwa kulielekeza Jeshi la Magereza kuruhusu Mwandishi wa Habari...

Habari Mchanganyiko

Waziri wa JK afariki dunia

OMARY Nundu, aliyewahi kuwa Mbunge wa Tanga Mjini na Waziri wa Uchukuzi katika Serikali ya Awamu ya Nne chini ya Rais Jakaya Kikwete,...

Habari Mchanganyiko

Ujerumani yaipa Tanzania Bil 32

SERIKALI ya Tanzania imepatiwa msaada wa Sh. 32.74 bilioni kutoka Ujerumani kwa ajili ya kutokomeza vifo vitokanavyo na uzazi, pamoja na kudhibiti maambukizi...

Habari Mchanganyiko

Mmoja afariki dunia, nane waokolewa baada ya kufunikwa machimboni

MTU mmoja amefariki duniani wakati nane wakinusurika kifo baada ya kufukiwa na kifusi katika machimbo ya madini wilayani Misungwi mkoa wa Mwanza. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Balozi Ndobho afariki dunia

BALOZI Paul Ndobho, aliyewahi kuwa Mbunge wa Musoma vijijini kupitia NCCR-Mageuzi, amefariki dunia katika Hospitali ya Bugando, jijini Mwanza. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea)....

Habari za Siasa

Mtatiro atuliza polisi Tunduru

JULUS Mtatiro, Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, mkoani Ruvuma amelitaka Jeshi la Polisi wilayani humo kutotumia nguvu katika kushughulikia madereva wa pikipiki ‘Bodaboda’ wanaovunja...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto azungumzia kumbukumbu ya miaka 2, kushambuliwa Lissu

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo amezungumzia miaka miwili tangu Tundu Lissu, aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki ashambuliwe na risasi jijini...

Habari MchanganyikoKimataifa

Mashambulizi Afrika Kusini: Tanzania yasitisha safari zake 

SERIKALI imesitisha safari za Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) kwenda Afrika Kusini, kufuatia vurugu zinazoendelea nchini humo. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Raia...

Habari za Siasa

JPM: Nimewasamehe Makamba, Ngeleja

RAIS John Magufuli amewasamehe January Makamba, aliyekuwa Waziri wa Mazingira na Muungano na Willium Ngeleja, Mbunge wa Sengerema baada ya kumwomba radhi. Anaripoti Regina...

Habari Mchanganyiko

Mikoa inayoongozwa kwa ukatili hii hapa

UKATILI wa kijinsia dhidi ya watoto, umeongezeka kwa asilimia 7.7 kutoka matukio 13,457 mwaka 2017 hadi 14,419 mwaka 2018 huku mikoa mitano ikiongoza. Anaripoti...

error: Content is protected !!