RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemwagiza Waziri wa Madini, Doto Biteko kukaa na wawekezaji ili kuangalia njia bora ya kuyalinda madini...
By Mwandishi WetuJune 13, 2021TAASISI ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), nchini Tanzania, imefanikiwa kuokoa Sh. 250.7 bilioni, kwa kuwafanyia upasuaji kwa njia ya tundu ndogo,...
By Mwandishi WetuJune 12, 2021WAKATI mkuu wa wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya, akifikishwa mahakamani na kutupwa katika mahabusu ya gereza la Kisongo, mkoani...
By Mwandishi WetuJune 12, 2021WAFUGAJI wanadaiwa kutishia usalama wa maafisa uhifadhi wa Shamba la Miti la Mtibwa, kufuatia vitendo vyao vya kuvamia kambi zao, kwa ajili...
By Mwandishi WetuJune 11, 2021DAMIEN Tarel, amehukumiwa kifungo cha miezi minne jela, kwa kosa la kumpiga kofi Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, hadharani. Inaripoti Mitandao ya...
By Mwandishi WetuJune 11, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Ijumaa tarehe 11 Juni 2021, amefanya mabadiliko madogo ya wakuu wa mikoa ya Mara, Mwanza...
By Mwandishi WetuJune 11, 2021BUNGE la Tanzania, limeiagiza Serikali, ifanye uchunguzi wa mifumo inayoratibu shughuli za kitabibu na hesabu za Taasisi ya Mifupa ya Muhimbili (MOI)....
By Mwandishi WetuJune 10, 2021JOB Ndugai, Spika wa Bunge, amesema akifanya vibaya katika kuungoza mhimili huo, wa kulaumiwa ni Spika Mstaafu, Mama Anna Makinda, aliyekuwa mwalimu...
By Mwandishi WetuJune 10, 2021KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema hatua ya Serikali kufanya uhakiki wa madeni ya wastaafu katika mifuko ya hifadhi ya...
By Mwandishi WetuJune 10, 2021SHIRIKA la Fedha Duniani (IMF), limesema liko tayari kuipatia mkopo wa dharura wa Dola za Marekani 574 milioni (Sh. 1.3 trilioni), Serikali...
By Mwandishi WetuJune 10, 2021DENI la Taifa la Tanzania, limeongezeka kwa Sh. 5.4 trilioni, kutoka Sh. 55.5 Aprili 2020, hadi kufikia Sh. 60.9 trilioni, Aprili 2021....
By Mwandishi WetuJune 10, 2021LEO Alhamisi, tarehe 10 Juni 2021, nchini za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), zitawasilisha Bajeti za nchi zao, ikiwemo Tanzania. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJune 10, 2021ALIYEKUWA Rais wa Marekani, Donald Trump, ameunga mkono hatua ya Serikali ya Nigeria, kuufunga mtandao wa kijamii wa Twitter, nchini humo, huku...
By Mwandishi WetuJune 9, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameshiriki Ibada ya kumwombea mwanasiasa mkongwe nchini humo, Chrisant Majiyatanga Mzindakaya (80), aliyefariki dunia, Jumatatu ya...
By Mwandishi WetuJune 9, 2021RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni, ametangaza barabara lake jipya la mawaziri, lenye mawaziri 32, akiwemo mke wake, Janet Museveni, aliyemteuwa kuwa Waziri...
By Mwandishi WetuJune 9, 2021Maraba baada ya mapumziko siku tano kikosi cha mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara kimeanza tena mazoezi kwa ajili ya ungwe...
By Mwandishi WetuJune 9, 2021MASHITAKA sita yanayomkabili Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mkoani Kilimanjaro, nchini Tanzania, aliyesimamisha kazi, Lengai ole Sabaya, yaweza kumuweka kwenye kifungo cha...
By Mwandishi WetuJune 9, 2021MBUNGE Viti Maalum (CCM), Fakharia Shomar Khamis, ameihoji Serikali kama inafahamu watumiaji wa dawa za kulevya ‘Mateja’, wanaongoza kwa vitendo vya wizi...
By Mwandishi WetuJune 9, 2021TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara, nchini Tanzania, amefanyiwa upasuaji wa 25. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuJune 9, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi wawili akiwemo, Profesa Eleuther Alphonce Mwageni kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo...
By Mwandishi WetuJune 8, 2021RAIS wa Ufaransa, Emmanuel Macron, amejikuta katika wakati mgumu, baada ya kupigwa kofi la uso na mwananchi, katika ziara yake ya kikazi,...
By Mwandishi WetuJune 8, 2021SERIKALI ya Tanzania, imesisitiza miongozo yote iliyotolewa kwa umma kujikinga dhidi ya maambukizi ya Virusi vya corona (COVID – 19), izingatiwe. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJune 8, 2021MWILI wa mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania, Hayati Dk. Chrisant Mzindakaya (79), unatarajiwa kuzikwa Alhamisi tarehe 10 Juni 2021, nyumbani kwake Sumbawanga mkoani...
By Mwandishi WetuJune 8, 2021TAASISI ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika (MISA), imefanya uchaguzi wa viongozi wake, pamoja na kuhamishia makao makuu ya kanda nchini...
By Mwandishi WetuJune 8, 2021BAADHI ya wadau wa haki za binadamu nchini Tanzania, wametaka serikali kukunjua makucha yake kwa kuanzisha uchunguzi maalum kwa watumishi wa umma,...
By Mwandishi WetuJune 8, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Jumanne, tarehe 8 Juni 2021, anazungumza na wanawake wa Mkoa wa Dodoma. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuJune 8, 2021SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), kwa kushirikiana na Shirika linaloshughulika na masuala ya kisheria ‘Legal Services Facility (LSF)’, imezindua wiki ya msaada...
By Mwandishi WetuJune 7, 2021MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe ametamka bayana kuwa anatamani kung’atuka mwaka 2023 na kupisha wengine. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJune 7, 2021RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni, ametangaza kufungwa kwa shule na taasisi za elimu ya juu na kusitisha mikusanyiko ya watu nchini humo...
By Mwandishi WetuJune 7, 2021WAZIRI wa Fedha na Mipango nchini Tanzania, Dk. Mwigulu Nchemba amesema, hadi kufikia Aprili 2021, malipo ya mafao na pensheni kwa wastani...
By Mwandishi WetuJune 7, 2021WAKATI Ligi Kuu Tanzania Bara inaelekea ukingoni huku kukiwa na vita tatu tofauti katika maeneo mablimabli kwenye msimu huu wa 2020/21, huku vita...
By Mwandishi WetuJune 7, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kesho Jumanne, tarehe 8 Juni 2021, kuanzia saa 3:00 asubuhi, atazungumza na wanawake wa mkoa wa...
By Mwandishi WetuJune 7, 2021WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari (Tehama), Dk. Faustine Ndugulile ameitaka, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kuboresha mifumo mbalimbali ya usimamizi wa...
By Mwandishi WetuJune 7, 2021BODI ya Wakurugenzi ya Benki ya Dunia (WB), imetoa mkopo wa masharti nafuu kwa Serikali ya Tanzania wa dola za Kimarekani bilioni...
By Mwandishi WetuJune 6, 2021SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limetangaza Uchaguzi Mkuu wa shirikisho hilo, utafanyika tarehe 7 Agosti 2021. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Taarifa...
By Mwandishi WetuJune 6, 2021SERIKALI ya Tanzania, imeeleza hatua ilizofikia katika utekelezaji wa miradi ya kimkakati, iliyoachwa na aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati John...
By Mwandishi WetuJune 5, 2021WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dk. Damas Ndumbaro, amesema Askari wa Hifadhi za Wanyamapori 61 wamefukuzwa kazi, huku 40 wakisimamishwa kupisha uchunguzi...
By Mwandishi WetuJune 5, 2021NCHI ya Nigeria, imefungia mtandao wa kijamii wa Twitter kwa muda usiojulikana, ikijibu mapigo baada ya mtandao huo kufuta taarifa ya Rais...
By Mwandishi WetuJune 5, 2021MBUNGE wa Mtama mkoani Lindi (CCM), Nape Nnauye, ameonya anguko la sekta ya uwindaji wa kitalii, endapo Serikali haitachukua hatua madhubuti, kukabiliana...
By Mwandishi WetuJune 4, 2021LENGAI Ole Sabaya, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro na wenzake watano, wamesomewa mashtaka matano, katika Mahakama ya Hakimu...
By Mwandishi WetuJune 4, 2021MBUNGE wa Biharamulo (CCM), Ezra Chiwelesa, ameiomba Serikali ya Tanzania, ibadili jina la Hifadhi ya Taifa ya Burigi-Chato, ili kuzima mjadala ulioibuliwa...
By Mwandishi WetuJune 4, 2021ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mkoani Kilimajaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne, leo Ijumaa, tarehe 4 Juni 2021, wamefikishwa Mahakama...
By Mwandishi WetuJune 4, 2021KAMPUNI ya Kimataifa inayojihusisha na masuala ya Utalii ya Kilimanjaro International Tourism and Safaris (KITS), imeleta wawekezaji wakubwa wawili kutoka Marekani ili...
By Mwandishi WetuJune 3, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amepokea ujumbe kutoka kwa Rais wa Rwanda, Paul Kagame. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Ujumbe huo umewasilishwa leo...
By Mwandishi WetuJune 3, 2021MKURUGENZI mpya wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (Takukuru), Salum Hamduni, amemalizia kazi ya kuchunguza ubadhilifu wa mabilioni ya...
By Mwandishi WetuJune 3, 2021ALIYEKUWA mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, Tundu Lissu amejitosa kwenye mjadala wa kuundwa kwa mkoa mpya...
By Mwandishi WetuJune 3, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka waliogombea ubunge na kukosa na sasa wameteuliwa kuwa wakuu wa mikoa (RC), kutofikiria ubunge na...
By Mwandishi WetuJune 2, 2021SAMIA Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania, ametoa onyo kwa wakuu wa mikoa (RC) na makatibu tawala wa mikoa (RAS), kufanya kazi kwa...
By Mwandishi WetuJune 2, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewaapisha Makatibu Tawala wa Mikoa (RAS) 11 na George Mkuchika, kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya...
By Mwandishi WetuJune 2, 2021SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, ametoa maagizo kwa walinzi wa Bunge hilo, kutowaruhusu wabunge wanaovaa vibaya kuingia bungeni. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJune 1, 2021