Tuesday , 23 April 2024
Home mwandishi
8703 Articles1242 Comments
Habari za SiasaTangulizi

CCM yaanza safari kumpata mrithi wa Magufuli

  SAFARI ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kumpata mwenyekiti mpya wa chama hicho, imeanza rasmi jijini Dodoma. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea)....

Habari za Siasa

Mbunge Chadema aibana Serikali bungeni

  AIDA Khenani, Mbunge wa Nkasi Kaskazini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amehoji lini Serikali itapeleka fedha jimboni humo, kwa ajili...

Habari Mchanganyiko

Selikali yaanza kutekeleza yaliyoachwa Hayati Magufuli

  SERIKALI ya Tanzania, chini ya Rais Samia Suluhu Hassani, imeanza kutekeleza ahadi zote zilizoachwa na mtangulizi wake, Hayati John Pombe Magufuli. Anaripoti...

Habari za Siasa

Mbunge CCM ahoji ahadi ya Hayati Magufuli, ajibiwa

  SERIKALI imepanga kuendeleza ujenzi na matengenezo ya barabara nchini ikiwemo Moshi Vijijini, mkoani Kilimanjaro, kadri ya upatikanaji wa fedha. anaripoti Jemima Samwel...

Habari Mchanganyiko

Tanzania inavyotatua matatizo ya wakimbizi

  SERIKALI ya Tanzania imesema, jitihada zinaendelea kufanyika ili kumaliza tatizo la wakimbizi nchini humo kwa kuwarejesha makwao kwa kushirikiana na Jumuiya za...

Habari Mchanganyiko

Askofu TAG akerwa na mila za kudharau wanawake

  ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Tanzania Asembless Of God (TAG), Dk. Barnabas Mtokambali, amekemea tabia ya mila za kudharau wanawake na kudhani...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Lipumba: Tunapima uvumilivu wa Rais Samia

  CHAMA cha Wananchi (CUF), kimesema kitampima Rais Samia Suluhu Hassan, kuhusu ustahimilivu wake katika masuala ya kisiasa, kwa kufanya mikutano ya hadhara....

Habari za Siasa

Wizara Maliasili yabanwa bungeni

  WIZARA ya Maliasili na Utalii, imejikuta katika wakati mgumu baada ya kuhojiwa kwa nini wananchi wanaoingiza mifugo katika hifadhi za wanyama pori,...

Michezo

Bilionea atenga mabilioni kuinunua Arsenal

  PRESHA ya mashabiki wa Klabu ya Arsenal, inayoshiriki Ligi Kuu ya Uingereza kwamba timu hiyo iuzwe, imetiwa ndimu na mfanyabiashara bilionea Daniel...

Kimataifa

Ujumbe wa Amnest kwa Rais Samia huu hapa

  SHIRIKA la Kimataifa la Kutetea Haki za Binaadamu (Amnesty International), limeshauri Serikali ya Tanzania kutumia kamati ya corona iliyoteuliwa na Rais Samia...

Habari Mchanganyiko

Fidia kwa wananchi: Serikali yaibana Tembo Nickel

  SERIKALI ya Tanzania, imeagiza kampuni ya uchimbaji madini ya Tembo Nickel Corporation Ltd, kufanya upya tathimini ya fidia kwa wananchi wanaozunguka Mgodi...

Habari za Siasa

Rais Samia asamehe wafungwa 5,001

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametoa msamaha kwa wafungwa 5,001 waliokuwa wakikabiliwa na adhabu ya vifungo mbalimbali. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...

Michezo

Mtibwa, Kagera hali tete ligi kuu

  TIMU za Mtibwa na Kagera Sugar zimeendelea kujiweka katika mazingira magumu ya kusalia Ligi Kuu Tanzania Bara, baada ya kukubali kipigo katika...

Elimu

Serikali kuanzisha mashindano Insha za Muungano

  SERIKALI ya Tanzania imesema, itaanzisha mashindano ya uandishi wa Insha kuhusu masuala ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, ili kuwawezesha vijana kufahamu...

Habari za Siasa

Shibuda: Kuna ombwe la siasa za utaifa, uzalendo

  MWENYEKITI wa Baraza la Vyama vya Siasa nchini Tanzania, John Shibuda, amesema, kuna ombwe la makada wa kuendeleza siasa za utaifa na...

Kimataifa

COVID-19: Idadi ya vifo yatisha India

  IDADI kubwa ya watu wanaoripotiwa kuambukizwa virusi vya corona (COVID-19) na kufariki dunia kwa siku nchini India, inatisha. Inaripoti mitandao ya kimataifa...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Mpango: Sitovumilia atayebeza Muungano

  MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Dk. Phillip Mpango, amewaonya watu wanaobeza muungano wa Tanganyika na Zanzibar, ulioasisiwa tarehe 26 Aprili 1964. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Tundu Lissu kurejea nchini muda si mrefu

  ALIYEKUWA mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, ametaka kuhakikishiwa usalama wake na serikali, ili aweze kurejea nchini....

Habari Mchanganyiko

Mshindi mashindano ya Qur’an Tanzania atoka Niger

  JIBRIL Omar Hassan kutoka nchini Niger, ndio mshindi wa kwanza mashindano makubwa ya Qur’an Afrika 2021, yaliyoandaliwa na Taasisi ya Al – Hikma Foundation, Tanzania. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Mwendesha mashtaka akamatwa tuhuma za rushwa milioni 5

  TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Mkoa wa Manyara, inamshikilia Mwendesha Mashtaka wa mkoa huo, Wakili Mtalemwa Kishenyi kwa tuhuma...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu aichambua hotuba ya Rais Samia, aibua hoja

TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara, amesema alitarajia kuona Rais Samia Suluhu Hassan, anatumia muda mrefu kuzungumzia...

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge CCM ataka sheria kandamizi zirejeshwe bungeni kufanyiwa marekebisho

MBUNGE wa Mahonda, Unguja, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdullah Mwinyi, ameshauri sheria zinazokandamizi misingi ya demokrasia na utawala bora, zirudishwe bungeni kwa...

Habari za Siasa

Rais Samia ateua viongozi wawili

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemteua Dk. Hedwiga Swai kuwa Mwenyekiti wa Kamisheni ya Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania. Anaripoti Mwandishi...

Habari Mchanganyiko

Bosi SADC kustaafu, Rais Samia amkaribisha nyumbani

  DAKTARI Stergomena Tax, Agosti 2021, atamaliza muda wake wa utumishi wa miaka nane wa Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa...

Habari za Siasa

Nape awapigania walimu bungeni, ataka tume iundwe

  MBUNGE wa Mtama kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye, ameitaka Serikali ya Tanzania, iunde tume maalum ya kuchunguza madai na stahiki...

Habari za Siasa

Viongozi 150 kuchukuliwa hatua

  TAKRIBANI viongozi 150 hatarini kuchukuliwa hatua kali kwa tuhuma za ukiukwaji wa maadili. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Viongozi hao wanadaiwa kushindwa kurejesha fomu...

Habari za Siasa

Rais Samia anahutubia Bunge

  SAMIA Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania, leo Alhamisi kuanzia saa 10:00 jioni, atalihutubia Bunge la nchi hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Rais...

Habari za Siasa

Bunge latengua kanuni

  BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, limetengua kanuni kanuni ya 160 (1) ili kuruhusu wasio wabunge kuingia ukumbini. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari za Siasa

Wabunge wapigwa ‘stop’ kuvaa tai nyekundu

  SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amewataka wabunge kutovaa tai nyekundu, bungeni jijini Dodoma. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Ni...

Habari Mchanganyiko

THRDC, MISA-TAN yalaani kupigwa mwanahabari

  MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) na Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika Tawi la Tanzania (MISA-TAN),...

Habari za SiasaTangulizi

‘Kikwete, Kinana, Ndugai wamewakosea nini?’

  TABIA ya kusemwa vibaya Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete; Spika wa Bunge, Job Ndugai; Abdulrahman Kinana na Nape Nnauye, Mbunge wa Mtama kumemkera...

Habari za Siasa

Takukuru yamkamata kigogo bandari akiwa mafichoni

  TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Mwanza, imemkamata aliyekuwa Mhasibu wa Mamlaka ya Bandari Kigoma, Madaraka Robert Madaraka...

Kimataifa

Rais wa Chad auawa

  IDRIS Deby (68), Rais wa Chad ameuawa siku moja baada ya kutangazwa kushinda uchaguzi mkuu wa nchi hiyo. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa...

Habari Mchanganyiko

Kajala, Paulina wahojiwa polisi

  JESHI la Polisi Tanzania, limeeleza kwamba lilimkamata mwigizaji Kajala na mwanaye Paulina kwa tuhuma za kusambaza picha za utupu za msanii wa...

Habari za SiasaTangulizi

Natamani kurudi nyumbani – Lema

  GODBLESS Lema, aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema) ambaye kwa sasa anaishi uhamishoni Canada amesema, anatamani kurejea nyumbani. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...

Elimu

Serikali yatenga Mil 605 ukarabati Chuo Tango

  SERIKALI ya Tanzania inaendelea na ukarabati wa Chuo cha Maendeleo ya Wananchi, unaogharimu Sh. 605.2 milioni. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea)....

Habari za Siasa

Natamani kurudi nyumbani – Lema

  GODBLESS Lema, aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema) ambaye kwa sasa anaishi uhamishoni Canada amesema, anatamani kurejea nyumbani. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...

Habari za Siasa

Rais Samia ateua viongozi nane

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali nane. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi...

Habari Mchanganyiko

Majaliwa awaweka njiapanga vigogo mwendokasi, amsimamisha mmoja

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Fedha wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), Suzana Chaula baada ya...

Habari za Siasa

Rais Samia aiomba benki ya dunia…

  SAMIA Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania, ameiomba Benki ya Dunia (WB), kuendelea kushirikiana katika kujenga uchumi utakaogusa makundi yote ya jamii ili...

Habari Mchanganyiko

Chalamila amkingia kifua Hayati Magufuli

  ALBERT Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, amesema wanaojadili kwamba Hayati John Magufuli alikuwa dikteta, wanachosha akili. Anaripoti Mwandishi Wetu, Mbeya …...

Kimataifa

Fedha za corona zamng’oa waziri

  KEN Kandodo, Waziri wa Kazi wa Malawi na maofisa wengine wanne wa serikali ya nchi hiyo, wametimuliwa kazi kwa kukwapua fedha zilizotengwa...

Michezo

Jose Mourinho atimliwa Tottenham

  TIMU ya Tottenham Hotspur ya Uingereza, imemfukuza kocha wake mkuu, Jose Mourinho kutokana na mwenendo usioridhisha. Anaripoti Matrida Peter … (endelea). Mourinho...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia kuhutubia Bunge Alhamisi

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan atahutubia Bunge la nchi hiyo, Alhamisi jioni ya tarehe 22 Aprili 2021. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma...

Habari za Siasa

Rais Samia amwapisha Mdolwa kuwa Balozi

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Yusuf Tindi Mndolwa kuwa Balozi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Mdolwa, ameapishwa leo Jumatatu, tarehe...

Habari za Siasa

Bilioni 42 kulipa fidia wananchi Chalinze

  SERIKALI ya Tanzania imesema, Sh.42.3 bilioni zimetengwa ili kulipa fidia kwa wananchi waliopisha miradi wa kusafirisha umeme kutoka Kinyerezi na Bwawa la...

Habari Mchanganyiko

Mvua kubwa kunyesha mikoa 7 Dar ikiwemo

  MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imetangaza kunyesha mvua kubwa kwa siku tano kuanzia leo Jumapili, tarehe 18 Aprili 2021, katika...

Michezo

Simba yaipiga Mwadui, yaipumlia Yanga kileleni

  GOLI pekee lililofungwa dakika ya 66 na Nahodha John Bocco wa Simba ya Dar es Salaam dhidi ya Mwadui FC, limewafanya kufikisha...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia aonya wabunge “jadilini bajeti”

  SAMIA Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania, amewaonya wabunge wanaojikita kumlinganisha yeye na aliyekuwa Rais John Pombe Magufuli, akiwataka kufanya kazi ya kibunge...

Habari Mchanganyiko

Askofu awaonya wanaojipendekeza kwa Rais Samia

  PETER Konki, Askofu wa Umoja wa Makanisa ya Kipentekoste Tanzania (CPCT), amewataka wanasiasa nchini humo, kuacha kujipendekea kwa Rais Samia Suluhu Hassan,...

error: Content is protected !!