CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesisitiza kwamba maandamano ya amani ambayo yalipangwa kufanyika kesho nchi nzima yatafanyika, anaandika Hellen Sisya. Akizungumza na...
By Masalu ErastoAugust 30, 2017LAZARO Mambosasa Kamanda wa Kanda Maalumu Dar es salaam amewataka wananchi wote pamoja na waandishi wa habari kumpa ushirikiano ili jamii iweze kuishi katika hali ya...
By Masalu ErastoAugust 29, 2017KOREA Kaskazini imerusha makombora kuelekea mashariki mwa kisiwa cha Hokkaido kwa umbali wa kilomita 1000, anaandika Irene David. Waziri Mkuu wa Japani Shinzo...
By Masalu ErastoAugust 29, 2017MAMLAKA ya Maji Safi na Taka Jijini Dar es Salaam (DAWASA), imetangaza mkakati mpya wa kukarabati miundombinu yake ikiwamo mabomba yaliyotoboka, anaandika Irene...
By Masalu ErastoAugust 29, 2017WATU saba wamefariki nchini Marekani na wengine zaidi ya 1000 hawana makaazi ya kuishi kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha katikati ya mji wa Texas...
By Masalu ErastoAugust 29, 2017IDADI ya watu waliofariki dunia kutokana na maporomoko ya udongo yaliyoambata na mafuriko katika mji wa milimani wa Regent nje kidogo ya Freetown...
By Masalu ErastoAugust 28, 2017WAKILI wa kujitegemea ambaye pia ni mwanachama wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), Leonard Manyama, amekataa agizo la Rais wa TLS, Tundu Lissu...
By Masalu ErastoAugust 28, 2017WATU 40 wameuawa na kujeruhiwa katika mapigano mapya yaliyotokea katika jimbo la Yei nchini Sudan Kusini, anaandika Hellen Sisya. Mapigano hayo ambayo yanatokana...
By Masalu ErastoAugust 28, 2017MAHAKAMA Kuu nchini Kenya imekubali ombi la Muungano wa Upinzani (NASA), nchini humo kukagua mitambo iliyotumiwa na Tume ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC),...
By Masalu ErastoAugust 28, 2017ALIYEKUWA Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu Dar es Salaam, Lucas Mkondya, amesema anaondoka katika mkoa huo, huku akisema moja ya...
By Masalu ErastoAugust 25, 2017CHAMA cha People’s Movement for the Liberation of Angola (MPLA) nchini Angola kimeshinda uchaguzi mkuu uliofanyika jumatano ya wiki hii kwa zaidi ya...
By Masalu ErastoAugust 25, 2017MRITHI aliyetarajia kurithi kampuni ya Samsung, Lee Jae-yong amehukumiwa kifungo cha miaka mitano na mahakama ya nchini Korea Kusini kwa kosa la rushwa,...
By Masalu ErastoAugust 25, 2017MKUU wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Simon Sirro amemteu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma (SACP), Lazaro Mambosasa kuwa Kamanda wa Kanda...
By Masalu ErastoAugust 24, 2017JESHI la polisi limeendelea kumshikilia Mwanasheria mkuu wa Chama cha Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu aliyekamatwa juzi jijini Dar es Salaam na kushikiliwa katika...
By Masalu ErastoAugust 24, 2017GABRIELLA Engels, mwanamitindo nchini Afrika Kusini aliyeshambuliwa na Grace Mugabe, mke wa Rais wa Zimbabwe, amepinga kinga ya kidiplomasia inayotolewa na serikali ya...
By Masalu ErastoAugust 24, 2017MAHAKAMA ya juu nchini Kenya imewaonya wanahabari, mawakili na wahusika wengine wa kesi ya kupinga ushindi wa Rais Uhuru Kenyatta dhidi ya mpinzani...
By Masalu ErastoAugust 24, 2017MSEMAJI wa serikali ambaye pia ni mkurugenzi mkuu wa Idara ya Habari (Maelezo, Hassan Abbas ametangaza kibano kwa tasnia ya habari kinachohusu usajili...
By Masalu ErastoAugust 23, 2017MAKACHERO wa jeshi la polisi ambao walienda nyumbani kwa mwanasheria mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Lissu kumpekua tayari wameondoka...
By Masalu ErastoAugust 23, 2017MAOFISA wa jeshi la polisi wamekwenda nyumbani kwa mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), eneo la Tegeta jijini Dar es Salaam kwa ajili ya...
By Masalu ErastoAugust 23, 2017ASKARI 17 wa Jeshi la Polisi wametumika kumkamata Tundu Lissu, Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika TLS, eneo la Kisutu, Dar es...
By Masalu ErastoAugust 22, 2017ESTHER Bulaya, Mbunge wa Bunda Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anaendelea na matibabu katika hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya...
By Masalu ErastoAugust 22, 2017WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye ametoa tuhuma nzito kwa serikali ya awamu ya tano huku akisema kuwa haizingatii misingi ya sheria pamoja na...
By Masalu ErastoAugust 22, 2017WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye amevunja ukimya na kutamka bayana kwamba watawala wanaendesha nchi kwa visasi ndiyo maana tangu ahame Chama Cha Mapinduzi...
By Masalu ErastoAugust 22, 2017ALIYEKUWA mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaa, Alphonce Lusako, amemburuza mahakamani, Makamu Mkuu wa chuo hicho, Profesa Rwekaza Mukandala akimtuhumu kumkatisha...
By Masalu ErastoAugust 21, 2017Madereva wa Daladala kituo cha Simu 2000, Manispaa ya Ubungo jijini Dar es salaam, wamekubali kumaliza mgomo waliouanza mapema leo asubuhi kutokana watendaji...
By Masalu ErastoAugust 21, 2017FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amewataka watanzania kutokuogopa kumkosoa Rais John Magufuli pale anapokosea, anaandika Hellen Sisya. Mbowe ameyasema...
By Masalu ErastoAugust 18, 2017MIILI ya watu takribani 400 nchini Sierra Leone katika eneo la Regent na maeneo ya jirani mjini Freetown inatarajiwa kuzikwa leo katika mazishi...
By Masalu ErastoAugust 16, 2017WAKALA wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) umeanza maboresho ya Mkakati wa Usajili wa Matukio Muhimu ya Binadamu na Takwimu (CRVS) ambao utatatua...
By Masalu ErastoAugust 15, 2017IKULU ya Tanzania imesema kuwa majadiliano baina ya Kamati maalumu ya Tanzania na wawakilishi kutoka kampuni ya Barrick Gold Corporation unaendelea hadi sasa...
By Masalu ErastoAugust 15, 2017WAFUASI wa aliyekuwa mgombea urais nchini Kenya, Raila Odinga wamepuuza kauli yake iliyowataka leo kutoenda kazini, anaandika Victoria Chance. Odinga aliwataka wafuasi wake...
By Masalu ErastoAugust 14, 2017JESHI la Polisi Kanda maalum ya jijini Dar es Salaam limeahidi kupambana na wapiga debe katika vituo mbalimbali vya mabasi na kuwakamata, anaandika Irene...
By Masalu ErastoAugust 14, 2017WAHARIRI wa vyombo mbalimbali vya habari wametoa onyo kali kwa uongozi wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), kwa kudhalilisha jukwaa hilo pamoja na...
By Masalu ErastoAugust 14, 2017WATU 5 wamepigwa risasi katika ghasia zilizotokea nchini Kenya baada ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika juzi nchini Kenya, anaandika Hellen Sisya. Ghasia hizo zimetokea...
By Masalu ErastoAugust 10, 2017WAANGALIZI wa uchaguzi wa nje ya nchi ya Kenya wakiongozwa na Rais mstaafu wa Afrika Kusini, Thabo Mbeki, wamepinga yaliyosemwa na mgombea urais...
By Masalu ErastoAugust 10, 2017MAHAKAMA ya Rufani ya Tanzania muda mfupi uliopita imefuta rufaa dhidi ya Bilago Kasuku, Mbunge wa Jimbo la Buyungu (Chadema), anaandika Mwandishi Wetu....
By Masalu ErastoAugust 10, 2017NEVILE Meena, Katibu Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), amewaomba radhi waandishi wa habari na Wahariri, anaandika Hellen Sisya. Msamaha huo unafuatia Meena kutoa...
By Masalu ErastoAugust 9, 2017WAFULA Chebukati, Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi na Mipaka Nchini Kenya (IBEC), ameahidi kushughulikia malalamiko yaliyotolewa na mgombea urais kupitia Muungano wa NASA,...
By Masalu ErastoAugust 9, 2017NCHI ya Korea Kaskazini inapanga kurusha makombora karibu na kisiwa kimoja nchini Marekani Korea imesema kwamba inatafakari uwezekano wa kurusha makombora karibu na...
By Masalu ErastoAugust 9, 2017KAMPUNI ya mafuta ya GBP imepanga kutumia zaidi ya 60 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa bohari ya kuhifadhia mafuta na kiwanda cha...
By Masalu ErastoAugust 9, 2017MUUUNGANO wa NASA, umetangaza kukataa matokeo huku ukisema matokeo yanayotolewa na Tume ya Uchaguzi ya Kenya, hayana ushahidi wa fomu namba 34 A...
By Masalu ErastoAugust 9, 2017SAED Kubenea, Mbunge wa Ubungo (Chadema), ameahidi kutoa Sh. 20 milioni, kwa ajili ya ujenzi wa Zahanati ya mitaa ya Kilungule A na...
By Masalu ErastoAugust 7, 2017CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kinatarajia kuandaa mkutano na waandishi wa habari ili kuchambua hali ya sasa ya elimu ya juu nchini,...
By Masalu ErastoAugust 7, 2017WILLIAM Lukuvi, Waziri wa Ardhi Nchini, amekemea vitendo vya uonevu vinavyofanywa na viongozi wa serikali za mitaa kwa kushirikiana na matapeli kuwanyonya wananchi,...
By Masalu ErastoAugust 7, 2017CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeandika barua kwa ofisi ya Jaji Mkuu wa Tanzania, kikiomba wafuasi wao wanapokamatwa kwa makosa yanayodhaminika waweze...
By Masalu ErastoAugust 7, 2017Halima Mdee, Mbunge wa jimbo la kawe (Chadema) ameituhumu Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu nchini (HESLB) kwa kufanya ubaguzi...
By Masalu ErastoAugust 7, 2017JOHN Mnyika, Naibu katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Kibamba amesema kuwa rais...
By Masalu ErastoAugust 7, 2017ASILIMIA 1.3 ya wananchi wa Rwanda wamemkataa, Rais Paul Kagame kuwaongoza kupitia sanduku la kura katika uchaguzi mkuu uliofanyika jana, huku asilimia 98.66...
By Masalu ErastoAugust 5, 2017SAED Kubenea, Mbunge wa Jimbo la Ubungo jijini Dar es Salaam, amesema Watanzania wanakuwa maskini kwa sababu ya ubaguzi unaofanywa na serikali, anaandika...
By Masalu ErastoAugust 4, 2017BONIPHACE Jacob, Meya wa Manispaa ya Ubungo amewalalamikia watendaji wa Rais John Magufuli kwa kuwa wanakwamisha miradi ya maendeleo katika maeneo ambayo yanaongozwa...
By Masalu ErastoAugust 4, 2017BARAZA la usalama la Umoja wa Mataifa (UN), limetoa taarifa juu ya hali ya kisiasa nchini Burundi , ikiwa ni moja kati ya...
By Masalu ErastoAugust 3, 2017