August 9, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Rais Kagame aibuka kidedea Rwanda

Paul Kagame, Rais Mteule wa Rwanda

Spread the love

ASILIMIA 1.3 ya wananchi wa Rwanda wamemkataa, Rais Paul Kagame kuwaongoza kupitia sanduku la kura katika uchaguzi mkuu uliofanyika jana, huku asilimia 98.66 ya wapigakura milioni 6.9 wakimpa kura za ndiyo, anaadika Catherine Kayombo.

Habari zaidi juu ya matokeo hayo na namna uchaguzi ulivyoendeshwa zitawajia punde.

error: Content is protected !!