BUNGE limeridhia na kupitisha muswada wa sheria ya madaktari, madaktari wa meno na wataalam wa afya shirikishi wa mwaka 2016, ambao utasimamia taaluma...
By Danson KaijageSeptember 15, 2017SPIKA wa Bunge, Job Ndugai amewataka wabunge kuwa makini pindi wawapo majimboni kwao au nje ya jimbo kutokana na hali ya usalama kutokuwa...
By Danson KaijageSeptember 15, 2017WANAUME wameshauriwa kuacha kununua wanawake Makahaba ili kuua biashara hiyo haramu katika maeneo mbalimbali hapa nchini, anandika Dany Tibason. Imeelezwa bungeni kuwa kama...
By Danson KaijageSeptember 15, 2017MBUNGE wa Siha Dk. Godwin Mollel (Chadema) ameihoji serikali na kutaka ieleze ni kwa nini hospitali zake nyingi zinakosa dawa muhimu za binadamu...
By Danson KaijageSeptember 14, 2017WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk.Husein Mwinyi ameliambia Bunge kuwa kwa sasa kimeundwa kikosi kazi kwa ajili ya kusaka silaha...
By Danson KaijageSeptember 14, 2017MBUNGE wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye (CCM), ametaka ubadilishwe utaratibu wa kupata viongozi wa vyama vya ushirika katika maeneo mbalimbali hapa nchini,...
By Danson KaijageSeptember 14, 2017WAKAZI Mlimba wanatembea zaidi ya kilometa 321 kuelekea Ifaakara wilaya ya Kilombelo kwa aajili ya kufuata huduma za matibabu, mahakama na huduma za...
By Danson KaijageSeptember 14, 2017MBUNGE wa Rufiji Mohammed Mchengerwa(CCM) amehoji ni lini serikali itawaunganisha wananchi wa Rufiji,Kibiti na Kilwa kwenye grid ya taifa, anaandika Dany Tibason. Akiuliza...
By Danson KaijageSeptember 13, 2017SERIKALI imesema kutokana na changamoto ya upungufu wa maji katika Hifadhi ya Mkomazi inaendelea kuchimba mabwawa sita ili kukidhi mahitaji, anaandika Dany Tibason....
By Danson KaijageSeptember 13, 2017MBUNGE wa Ukonga Mwita Waitara (Chadema) amembana Naibu Spika, Dk.Tulia Akson na kumtaka atangaze kuwa anautambua uongozi wa gani wa wabunge wa CUF...
By Danson KaijageSeptember 13, 2017SPIKA wa Bunge Job Ndugai ameagiza Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ulinzi na Usalama, kuhakikisha inamsaka mbunge wa Ubungo Saed Kubenea (Chadema)...
By Danson KaijageSeptember 12, 2017HOFU ya wabunge kuvuliwa uanachama na kusababisha wapoteze nyadhifa zao za ubunge sasa imeanza kutanda ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), anaandika Dany...
By Danson KaijageSeptember 12, 2017CHAMA cha Wananchi (CUF) kinachomuunga mkono Prof. Ibrahim Lipumba wametangaza kuunda kambi yao Bungeni tofauti na Kambi Rasmi Bungeni inayoundwa na UKAWA, anaandika...
By Danson KaijageSeptember 11, 2017KAMATI teule za Bunge za kuchunguza madini ya Almasi na Tanzanati leo zimewasilisha ripoti hiyo kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai huku baadhi...
By Danson KaijageSeptember 6, 2017IMEELEZWA kuwa tatizo la kushuka kwa kina cha maji ya Ziwa Tanganyika limesababishwa na kubomoka kwa banio la maji kwenye mto Lukuga (DRC),...
By Danson KaijageSeptember 6, 2017SERIKALI imesema imeifanya tathmini ya miradi ya maji yote nchini na kwa sasa inawekewa mipango sahihi ya kutekelezwa ili wananchi waweze kupata huduma...
By Danson KaijageSeptember 6, 2017BODI ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB), imesema haitatoa nafasi ya wanafunzi waliokosea kuomba mikopo kurekebisha makosa yao, kama ilivyoombwa na wanafunzi...
By Danson KaijageSeptember 6, 2017BUNGE limeelezwa kuwa watu wenye ulemavu wanabaguliwa katika kupata ajira hapa nchini kwa madai kwamba hawawezi kufanya baadhi ya kazi, anaandika Dany Tibason....
By Danson KaijageSeptember 6, 2017IMEELEZWA kuwa mimea ya mchai chai pamoja na Mdalasini inasaidia kutibu magonjwa mbalimbali ya binadamu, anaandika Dany Tibason. Hayo yameelezwa leo bungeni na...
By Danson KaijageSeptember 6, 2017SERIKALI imesema kuwa haina takwimu za watoto waliokeketwa nchini kwa kuwa vitendo vya ukeketaji kufanyika kwa siri, anaandika Dany Tibason. Mbali na kutokuwa...
By Danson KaijageSeptember 6, 2017MBUNGE wa Konde,Khatibu Haji (CUF) amedai kuwa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume limekuwa likiwasumbua Watanzania wengi na kuihoji serikali kama kuna...
By Danson KaijageSeptember 6, 2017SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tazania, Job Ndugai leo atapokea ripoti mbili za tume maalum alizounda kwa ajili ya ushauri...
By Danson KaijageSeptember 6, 2017MBUNGE wa Viti Maalum Jesca Kishoa (Chadema) ameibana serikali na kuitaka itangaze kama wabunge wa Viti Maalum bila kujali vyama vyao waondoe bendera...
By Danson KaijageSeptember 5, 2017SPIKA wa Bunge, Job Ndugai amewapiga vijemba wapinzani muda mfupi baada ya kumalizika kazi ya kuwaapisha wabunge 8 wa viti maalum walioteuliwa na...
By Danson KaijageSeptember 5, 2017HOFU imetanda kuhusu mkutano wa Bunge unaotarajia kuanza kesho kwamba unaweza kutekwa na sakata la kukamatwa ndege ya serikali aina ya Bombadier, anaandika ...
By Danson KaijageSeptember 4, 2017HATMA ya kesi ya mbunge wa Ubunge, Saed Kubenea (Chadema) inatarajiwa kujulikana kesho, anaandika Dany Tibason. Kesho Mahakama ya Wilaya ya Dodoma itaamua...
By Danson KaijageSeptember 4, 2017MWIMBAJI wa nyimbo za injili, John Lisu anatarajia kutikisa katika tamasha la uamsho lililoanza ambalo litashirikisha watui wote bila kujali itikadi za dini...
By Danson KaijageAugust 31, 2017WAJUMBE wa Baraza la Wadau wa Maziwa Tanzania wamelalamikia bodi ya maziwa kuendeshwa bila wajumbe wake kwa miaka miaka mitatu sasa, anaandika Dany...
By Danson KaijageAugust 31, 2017KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali imemwagiza Mkaguzi na Mthibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kufanya ukaguzi...
By Danson KaijageAugust 30, 2017MKURUNGEZI wa halmashauri ya manispaa ya Dodoma Godwin Kunambi ametangaza vita kwa wamiliki wa viwanja vikubwa ambao wameshindwa kuviendeleza kwa zaidi ya miaka...
By Danson KaijageAugust 28, 2017UONGOZI wa wafanyabiashara wa Tanzania bara na Zanzibar wametoa siku 30 Rais John Magufuli kuhakikisha anatatua changamoto zinazowakabili katika shughuli zao vinginevyo maduka...
By Danson KaijageAugust 26, 2017WATANZANIA wametakiwa kuachana na tabia ya kulalamika na badala yake wafanye kazi huku wakiwa mstari wa mbele kupinga unyanyasaji na ukandamizwaji, anandika Dany...
By Danson KaijageAugust 26, 2017WAUNINI wa dini ya Kiislamu nchini wametakiwa kuisaidia jamii yenye uhitaji bila kujali itikadi za kidini, ananadika Dany Tibason. Hayo yamebainishwa na Sheikh...
By Danson KaijageAugust 26, 2017WATANZANIA wameshauriwa kutumia bidhaa zenye nembo ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS), ili kuepukana na utitiri wa vyakula vinavyozalishwa bila viwango kwa matumizi...
By Danson KaijageAugust 23, 2017MAHAKAMA ya Wilaya ya Dodoma imepiga kalenda kesi ya Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea (Chadema) hadi Septemba 4 mwaka huu kutokana na uchunguzi...
By Danson KaijageAugust 23, 2017CHAMA Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kanda ya kati kimelaani kitendo cha jeshi la polisi nchini kumkamata mara kwa mara, mbunge wa Singida Mashariki,...
By Danson KaijageAugust 23, 2017CHAMA cha Maendeleo ya Kilimo kwa Viziwi Tanzania (CHAMAKIVITA) kimejipanga kutoa elimu kwa viziwi ili kuwawezesha kulima kilimo cha kisasa, anaandika Dany Tibason....
By Danson KaijageAugust 21, 2017IDARA ya uhamiaji mkoa wa Dodoma imeandaa mpango maalum wa kuwafikia wananchi kuanzia ngazi ya kitongoji hadi wilaya kwa lengo la kutoa elimu...
By Danson KaijageAugust 19, 2017IMEELEZWA kuwa jumla ya watoto wa kiume wapatao 40 wanaosoma kati ya darasa la kwanza na la tatu kutoka visiwani Zanzibar wamefanyiwa ukatili...
By Danson KaijageAugust 16, 2017RAIS mstaafu, Benjamin Mkapa anatarajia kuungana na Mapadri pamoja na Maaskofu katika kusherea Jubilei ya miaka 100 ya upadri kwenye kituo cha Hija...
By Danson KaijageAugust 14, 2017VIJANA nchini wametakiwa kuwa mabalozi waaminifu katika kulinda amani ya nchi, anaandika Dany Tibason Ushauri huo umetolewa na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi...
By Danson KaijageAugust 11, 2017NAIBU Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, (TAMISEMI), Selemani Jafo amewashukia, Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Wakurugenzi wa mikoa ya Dodoma na Singida...
By Danson KaijageAugust 9, 2017WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenister Mhagama amesema wakurugenzi wote wa Halmashauri nchini watakaoshindwa kutenga asilimia tano ya mapato kwa ajili...
By Danson KaijageAugust 9, 2017WALIMU wanawake wamelalamikia hatua ya serikali kuwapangia kazi katika vituo vya mbali kwa kuwa kunahataraisha ndoa na waume zao, anaandika Dany Tibason. Kauli...
By Danson KaijageAugust 5, 2017MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyama Pori (TAWA), imesema kwamba tatizo la ujangili katika mbuga mbalimbali umepungua hatua iliyosababisha Tembo kuongezeka, anaandika Dany Tibason....
By Danson KaijageAugust 4, 2017MAONESHO ya Wakulima ya nane nane mwaka huu yanayofanyika mkoani Dodoma yamedorora, anaandika Dany Tibason. Baadhi ya washiriki waliozungumza na MwanaHALISI online katika...
By Danson KaijageAugust 3, 2017SERIKALI imeombwa kuwatambua wafugaji wa Ngamia na kusaidia kuwapunguzia gharama za kuwafuga kwa kuwa wana faida zaidi kuliko wanyama wengine, anaandika Dany Tibason....
By Danson KaijageAugust 2, 2017MFANYABIASHARA maarufu katika mtaa wa Swaswa kata ya Ipagala Manispaa ya Dodoma, Charles Kalinga mwenye umri wa miaka 43 amenusurika kifo baada ya...
By Danson KaijageJuly 26, 2017MAHAKAMA ya Wilaya ya Dodoma imepiga kalenda kesi ya Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea hadi Agosti 23 Mwaka huu kutokana na uchunguzi wa...
By Danson KaijageJuly 26, 2017BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma, limemuomba Rais John Magufuli kujenga reli ya treni ya abiria ya mwendo...
By Danson KaijageJuly 24, 2017