February 25, 2021

Uhuru hauna Mipaka

Mkapa kushuhudia Jubilei ya Mapadri Dodoma

Benjamin Mkapa, Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu

Spread the love

RAIS mstaafu, Benjamin Mkapa anatarajia kuungana na Mapadri  pamoja na Maaskofu katika kusherea Jubilei ya miaka 100 ya upadri kwenye kituo cha Hija kilichopo eneo la Mbwanga kata ya Miyuji mjini Dodoma, anaandika Dany Tibason.

Sherehe hizo zinatarajia kushirikisha zaidi ya Mapadri na Maaskofu  520 na kuongozwa na Rais wa Mashirika ya Kipapa nchini Vatican, Mhashamu Askofu Protas Rugambwa ambaye anamuakilisha Papa Benedict 16.

Katika ibada hiyo, Askofu Kiongozi wa Jimbo Katholiki Kigoma, Joseph Mlola, amewaasa waumini wa kanisa hilo nchini kuwaombea Mapadri na Maaskofu.

error: Content is protected !!