BUNGE limeelezwa kuwa, polisi hatakiwi hatakiwi kumpiga au kumtesa mtuhumiwa wa makosa mbalimbali, wakati akiwa mikononi mwake au kwenye Kituo cha Polisi. Anaripoti Danson...
By Danson KaijageMay 10, 2019SERIKALI ya Ujerumani imeongeza muda wa mkataba wa ushirikiano wake na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika masuala mbalimbali ya...
By Regina MkondeMay 10, 2019WAKATI zaidi ya 16, 000 wa vijiji vya Nyansenga, Kawekamo na Nyampande, Sengerema mkoani Mwanza wamesema wamekuwa wakiamka usiku wa manane kwenda kutafuta...
By Moses MsetiMay 9, 2019CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeeleza maendeleo ya afya ya mwanachama wake Mdude Nyagali, amejeruhiwa kichwani. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Kwa...
By Faki SosiMay 9, 2019KAULI ya Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kwamba, hakuwahi kutegemea kuona Mchaga angeweza kutoa msaada kwa walemavu na kwamba,...
By Kelvin MwaipunguMay 9, 2019MKUU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania (KKKT), Askofu Dk. Fredrick Shoo, amekemea tabia ya baadhi ya viongozi, kupandikiza chuki za ubaguzi...
By Kelvin MwaipunguMay 9, 2019KAULI ya Ummy Mwalimu, Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwamba, ni marufuku madaktari, wakunga na wauguzi nchini kufukuzwa...
By Danson KaijageMay 9, 2019MWANAHARAKATI na Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mdude Nyagali amepatikana akiwa hoi baada ya kutupwa kwenye Kijiji cha Mkwenje, Kata...
By Mwandishi WetuMay 9, 2019MAELFU ya wananchi kutoka maeneo mbalimbali ya mkoa wa Kilimanjaro na mkoa jirani wa Arusha, wamejitokeza kuupokea mwili wa aliyekuwa mwenyekiti wa makampuni...
By Masalu ErastoMay 8, 2019BENKI ya Maendeleo ya Kilimo (TADB), imedaiwa kutoa mikopo kwa kupendelea zaidi wake wa vigogo. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Akiuliza swali bungeni...
By Danson KaijageMay 8, 2019MAALIM Seif Shariff Hamad, mwanachama namba moja wa Chama cha ACT-Wazalendo amedai kwamba, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Jeshi la Polisi wamepanga kumkamata...
By Jabir IdrissaMay 8, 2019ASKOFU Josephat Gwajima, Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima nchini amesema, kusambazwa kwa video ya ngono inayodaiwa kuwa yake, ni vita kwake na...
By Regina MkondeMay 8, 2019JESHI la Polisi, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limeanza uchunguzi wa video ya ngono, inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii inayodaiwa kuwa ni...
By Regina MkondeMay 8, 2019MBUNGE wa Iringa Mjini, Peter Msigwa (Chadema) amemshitaki Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Ally Hapi kwa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,...
By Danson KaijageMay 8, 2019MWILI wa Dk. Reginald Mengi, aliyekuwa mwenyekiti wa kampuni zilizo chini ya IPP Group, tayari umewasili kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA). Anaripoti...
By Hamisi MgutaMay 8, 2019RAIS John Magufuli ameongoza mamia ya Watanzania ikiwemo viongozi wa serikali, wanasiasa na wafanyabiashara kuuaga mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni zilizo...
By Regina MkondeMay 7, 2019MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea amesema, hatosahau msaada wa hali na mali aliopata kutoka kwa Marehemu Dk. Reginald Abraham Mengi, alipomwagiwa tindikali mwaka...
By Regina MkondeMay 7, 2019WILLIAM Lukuvi, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi amewateua wenyeviti 20 wa Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya kwa kipindi...
By Danson KaijageMay 7, 2019HUMPHREY Polepole, Katibu wa Itikati na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) amesema, watu wengi mashuhuri wanaokufa huwa wanachama wa chama hicho. Anaripoti...
By Regina MkondeMay 7, 2019VIONGOZI mbalimbali wa dini nchini, wametoa ujumbe maalum wa amani, upendo na umoja wakati wa ibada ya kuagwa Dk. Reginald Abraham Mengi katika viwanja...
By Regina MkondeMay 7, 2019MAELFU ya watu jijini Dar es Salaam, wamejitokeza kuupokea mwili wa aliyekuwa mwenyekiti wa kampuni ya Industrial Projects Promotion (IPP Limited), Dk. Reginald...
By Hamisi MgutaMay 6, 2019SAKATA la kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mdude Nyagawa limetua bungeni ambapo sasa, Bunge limetaka maelezo kujua alipo. Anaripoti Faki Sosi … (endelea)....
By Faki SosiMay 6, 2019CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimedai kushtukia ujanga unaotaka kufanywa na Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao. Anaripoti...
By Danson KaijageMay 6, 2019NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amesema, mbinu ya askari wa usalama barabarani (Trafiki) kujificha kwa ajili ya...
By Regina MkondeMay 6, 2019ZITTO Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini na Humphrey Polepole, Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM, wamekutana nyumbani kwa Marehemu Dk. Reginald Abraham Mengi...
By Regina MkondeMay 6, 2019MWILI wa Dk. Reginald Abraham Mengi, aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni zilizo chini ya IPP Group, unatarajiwa kuletwa leo saa 8:30 mchana. Anaripoti...
By Bupe MwakitelekoMay 6, 2019RAIS Mstaafu, Dk. Jakaya Kikwete, amestaajabu uzushi unaosambazwa mitandaoni kuhusu kifo cha Dk. Reginald Mengi. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Dk. Kikwete ambaye aliongoza nchi hii...
By Regina MkondeMay 4, 2019SERIKALI ya Tanzania imepewa msaada wa zaidi ya Sh. 330 bilioni na Serikali ya Ujerumani. Ni kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa...
By Regina MkondeMay 4, 2019BARAZA la Waislamu Tanzania (BAKWATA), limetoa pole kwa familia ya Dk. Reginald Abraham Mengi kutokana na kifo cha Mzee Mengi, kilichotokea Dubai, Falme...
By Mwandishi WetuMay 4, 2019STAILI ya kutishia kuvua nguo iwapo jambo fulani lisipotendwa ama kuthibiti, imeanza kupata umaarufu ndani ya Bunge la Jamhuri. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea)....
By Danson KaijageMay 4, 2019PENDEKEZO la wabunge kutaka kuwabebesha mzigo wananchi kwa kuongeza Sh. 50 kwa kila lita ya mafuta ya petroli na dizeli, limesababisha wabunge wa...
By Mwandishi WetuMay 4, 2019MAMIA ya waombelezaji wameendelea kumiminika nyumbani kwa Dk. Reginald Mengi Hananasif, Kinondoni, jijini Dar es Salaam kutoa salamu za pole huku wakimuelezea marehemu...
By Faki SosiMay 3, 2019JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF), limeishauri serikali kuunda chombo maalumu, kitakachofanya kazi ya kutoa mwongozo kwa wanahabari na vyombo vya dola, juu ya...
By Bupe MwakitelekoMay 3, 2019RAIS John Magufuli ameeleza kusikitishwa na wasomi anaowateua kwenye nafasi mbalimbali kwamba, wengi wao wanamwangusha. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Rais Magufuli ametoa...
By Regina MkondeMay 3, 2019VITENDO vinavyoashiria ngono katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST), vimemchefua Rais John Magufuli. Anaripoti Kelvin Mwaipungu … (endelea). Akizungumza katika hafla...
By Kelvin MwaipunguMay 3, 2019MWILI wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni za IPP, Dk. Reginald Mengi, unatarajiwa kuwasili nchini Jumatatu wiki ijayo, kutoka Dubai, Umoja wa Falme...
By Faki SosiMay 3, 2019SERIKALI imewataka wanaume wanaonyanyaswa kijinsia na wake zao, kutoa taarifa kwenye madawati ya kijinsia. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Kauli hiyo imetolewa...
By Danson KaijageMay 3, 2019KILIO kimeibuka kwenye familia ya Wakili Maneno Mbunda, Mwanasheria wa Hifadhi ya Wanyama ya Arusha kwa kudaiwa kukamatwa na watu wasiojulikana. Anaripoti Faki...
By Faki SosiMay 3, 2019HATUA ya serikali kuahidi miradi mikubwa na kisha kuitekeleza, imemkera Gimbi Masaba, Mbunge wa Viti Maalum (Chadema). Anaripoti Dandoson Kaijage, Dodoma … (endelea). Masaba ameitaka...
By Danson KaijageMay 3, 2019KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu Tanzania (LHRC) kimezindua mfumo wa kidigitali wa kukusanya taarifa za matukio ya uvunjifu wa haki za...
By Regina MkondeMay 3, 2019BAADHI ya mambo yaliyofanywa na Marehemu Dk. Reginald Abraham Mengi ambayo hayajulikani kwa ukubwa wake, yameelezwa na Job Ndugai, Spika wa Bunge. Anaripoti...
By Regina MkondeMay 3, 2019RAIS John Magufuli amesema kuwa, hakustahili kuwa Rais wa Tanzania bali Watanzania wenyewe ndio waliomchagua. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Amesema, wananchi wa...
By Mwandishi WetuMay 3, 2019RATIBA ya Msiba wa Reginald Mengi, Mkurugenzi wa Kampuni za IPP zitafahamika kesho saa saba mchana. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Akizungumza na...
By Faki SosiMay 2, 2019WAKALA wa Barabara za Mijini na Vijijini (TARURA) Mkoa wa Mwanza, umewataka wakusanya ushuru wa maegesho ya magari waliokosa nafasi za kazi kujiunga...
By Moses MsetiMay 2, 2019FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)-Taifa amesema kuwa, msiba wa Dk. Reginald Abraham Mengi ni msiba kwa taifa. Anaripoti Faki Sosi...
By Faki SosiMay 2, 2019KANISA Katoliki nchini Sri Lanka limesitisha ibada zake kwa maelezo ya kujihami na shambulio la kigaidi. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Hatua hiyo...
By Mwandishi WetuMay 2, 2019NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamadi Masauni amesema, hakuna utaratibu wa askari polisi kutoa fedha zao mfukoni kwa ajili ya...
By Danson KaijageMay 2, 2019KIFO cha Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Media, Dk. Reginald Mengi klilichotokea usiku wa kuamkia leo tarehe 2 Mei 2019, kimeshtua wengi ikiwemo...
By Mwandishi WetuMay 2, 2019REGINALD Mengi, Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP na mfanyabiashara mkubwa nchini, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo tarehe 2 Mei 2019. Anaripoti Bupe...
By Bupe MwakitelekoMay 2, 2019ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo amepinga sababu zilizotolewa na Rais John Magufuli za kutopandisha mishahara ya Watumishi wa Umma kwa miaka...
By Regina MkondeMay 1, 2019