December 9, 2022

Uhuru hauna Mipaka

BREAKING NEWS: Reginald Mengi afariki dunia

Spread the love

REGINALD Mengi, Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP na mfanyabiashara mkubwa nchini, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo tarehe 2 Mei 2019. Anaripoti Bupe Mwakiteleko … (endelea).

Taarifa za awali zinaeleza kuwa, Mzee Mengi (75) amefariki dunia akiwa Dubai. Ameacha mke (Jacqueline Ntuabaliwe) na watoto watano ambao ni Regina, Rodnay, Abdiel, Jayde na Ryan.

Endelea kufuatilia, taarifa zaidi zitakujia.

error: Content is protected !!