Tuesday , 30 April 2024

Month: January 2019

Habari za SiasaTangulizi

Muswaada wa Vyama vya Siasa, unavunja Katiba            

MUSWAADA wa Vyama vya Sisasa uliowasilishwa bungeni na serikali kwenye mkutano uliyopita wa Bunge na ambao umeanza kujadiliwa kwenye ngazi ya Kamati, umebeba...

Habari za SiasaTangulizi

JPM ajibu kombora la Mchungaji KKKT

RAIS John Magufuli amejibu hoja iliyoibuliwa na Amani Lyimo, Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) kwamba, ‘amebana’ demokrasia nchini. Anaripoti Faki...

Habari Mchanganyiko

Viongozi wa dini waonywa

BAADHI ya viongozi wa Dini ambao wamekuwa wakiwaaminisha na kuwataka waumini wao kupokea Baraka zitokanazo na miujiza ya Mungu bila kufanya kazi wameonywa...

Habari za SiasaTangulizi

Askofu ampa ‘live’ JPM kuhusu demokrasia

RAIS John Magufuli ameshauriwa ‘kulegeza’ kidogo demokrasia ili Watanzania wapate afueni kutokana na sasa kujaa hofu. Anaripoti Yusuph Katimba … (endelea). Akizungumza kwenye...

Habari za Siasa

Viongozi wa dini wavutana mbele ya Rais Magufuli

ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Mchungaji Amani Lyimo amevutana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat...

Habari za Siasa

Askofu: Mivutano ya dini na serikali iangaliwe

KUMEKUWEPO na mifutano baridi kati ya taasisi za dini na serikali hasa katika utoaji wa huduma za kijamii jambo ambalo linasababisha kuwepo kwa...

Habari za Siasa

Kilio uvunjwaji msikiti UDOM chafikishwa JPM

KILIO kinachotokana na uongozi wa Chuo Kikuu cha Dodoma kuamuru kuvunjwa kwa msikiti uliokuwa ukijengwa kwa ajili ya ibada ya waumini wa Dini...

Habari MchanganyikoTangulizi

IGP Sirro amnyoosha Waziri Lugola  

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini (IJP), Simon Sirro, amefanya mabadiliko madogo kwa makamanda watatu wa mikoa wa polisi. Miongoni mwa waliobadilishwa, ni...

Habari za Siasa

Askofu Gwajima amfananisha Rais Magufuli na Nabii

ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Dk. Josephat Gwajima amemfananisha Rais John Magufuli na Nabii. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Akichangia...

Habari Mchanganyiko

Watoto waishio mazingira magumu waiangukia Serikali

WATOTO wanaolelewa kwenye vituo jijini Dodoma wameiomba serikali kudhibiti taasisi,mashirika na watu binafsi wanaojihusisha na utapeli wa kivuli cha watoto yatima na kujipatia...

Afya

CCM waichimha mkwara MSD

KAMATI ya Siasa ya CCM mkoa wa Dodoma imeiagiza Bohari Kuu ya Dawa (MSD), kuhakikisha inapeleka vifaa tiba na dawa katika vituo vya...

Habari za Siasa

Halima Mdee ajieleza mbele ya Kamati ya Bunge

MBUNGE wa Kawe, Halima Mdee amefika mbele ya Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kwa ajili ya kuhojiwa kufuatia...

Habari Mchanganyiko

Vijana waruka ukuta wa Mirerani kuchimba Tanzanite’

FATUMA Kikuyu, mchimbaji mdogo wa madini kutoka mgodi wa Tanzanite ulioko Mirerani mkoani Manyara amesema kuna baadhi ya vijana wanalazimika kuruka ukuta wa...

Habari za SiasaTangulizi

Imevuja; CAG ‘aliilewesha’ kamati iliyomuhoji

TAARIFA kutoka ndani ya kamati iliyomuhoji Prof. Mussa Assad, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) jana Jumatatu, ‘ilibaki mdomo wazi’....

Habari za SiasaTangulizi

Bunge lamhoji Prof. Assad kwa saa nne 

PROF. Mussa Assad, mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali (CAG), amemaliza kuhojiwa na Kamati ya Haki, Kinga, Maadili na Madaraka ya...

Michezo

Hasira za Simba, Yanga zahamia SportPesa

BAADA ya timu zote mbili kupoteza michezo yao siku ya Jumamosi wakiwa ugenini, zote zimerudi jijini Dar es Salaam kujiandaa na michuano ya...

Afya

KCMC yapiga ‘stop’ wanufaika wa Bima ya Afya

HOSPITALI ya Rufaa ya KCMC imesitisha kutoa huduma za afya kwa wanufaika wa mashirika takribani saba kutokana na kudaiwa madeni yenye thamani ya...

Habari za SiasaTangulizi

CAG awasili bungeni, mfumo wa kumhoji ni huu

PROFESA Mussa Assad, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) amewasili bungeni kuitikia wito uliotolewa na Job Ndugai, Spika wa Bunge...

Kimataifa

Serikali ya Umoja wa Kitaifa yanukunia DRC

RAIS mteule wa DRC- Kongo, Felix Tshisekedi Tshilombo, mtoto wa mwanasiasa mkongwe  nchini Ettiene Tshisekedi, ameridhia uundwaji wa serikali ya umoja wa kitaifa...

Habari za Siasa

Yametimia; Prof. Assad atua bungeni na ushahidi wake

MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof. Mussa Assad, tayari yupo Dodoma “kukabiliana” na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya...

Habari za SiasaTangulizi

John Shibuda: Muswada wa vyama unamchafua Rais Magufuli 

KATIBU Mkuu wa chama cha ADA-TADEA, John Magale Shibuda, amedai kuwa muswada mpya wa vyama vya siasa uliowasilishwa bungeni na serikali, umelenga “kuichafua...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Lipumba amgeuka Jaji Mutungi

MTAFARUKU mkubwa umeibuka ndani ya Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria, kufuatia mwenyekiti wa kamati hiyo, Mohammed Nchengerwa, kuamuru pande mbili zinazopingana...

Habari Mchanganyiko

Viongozi wa Dini wapewa somo

ASKOFU wa Jimbo la Dodoma kanisa la Mlima wa Moto,Silvanusi Komba amewataka viongozi wadini kuhakikisha wanawafundisha waumini wao juu ya kufanya  kazi kwa...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo yabariki CCM kumsulubu Zitto

WAKATI Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakipanga kumsulibu Zitto Kabwe, Chama cha ACT Wazalendo kimebariki mkakati huo. Anaripoti Faki Sosi … (endelea)....

Habari Mchanganyiko

Bilionea wa Uingereza abambikiwa watoto watatu

MFANYABIASHARA mashuhuri nchini Uingereza na ambaye anaogelea kwenye utajili wa mamilioni ya dola, Richard Mason (54), “ameingizwa chaka” na mkewe, baada ya kusingiziwa...

Habari za Siasa

‘Muswada vyama vya siasa una vionjo vya ugaidi’

MUUNDO wa Muswada wa Sheria ya Vyama vya Siasa, uliowasilishwa bungeni na Serikali ya Jamhuri, unatajwa kusheheni vimelea vya sheria ya ugaidi. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Tundu Lissu ashitukia njama za kumvua ubunge

MBUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), katika jimbo la Singida Mashariki, Tundu Lissu, amefichua mpango wa siri wa kutaka kumvua ubunge...

Habari za Siasa

Msajili wa Vyama vya Siasa ‘akaangwa’ bungeni

JAJI Francis Katabazi Mutungi, ameonywa kutojilimbikizia madaraka na kutaka kujiwekea kinga ya kutoshitakiwa mahakamani wakati yeye amebeba roho ya umma. Anaripoti Mwandishi Wetu …...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto azidi kuwavuruga CCM, Wabunge wake waazimia kumkabili

WABUNGE wote wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wameazimia kwa pamoja kuhakikisha wanakabiliana na mbunge wa Kigoma Mjini, Zito Kabwe (ACT-Wazalendo) kwa madai kuwa...

Habari za SiasaTangulizi

Kigogo CUF asota rumande

MJUMBE wa Baraza Kuu la Uongozi la CUF Taifa, Abdallah Khatau leo amefikisha siku ya tano akiwa rumande huku polisi wakigoma kumpa dhamana....

Kimataifa

Kabila awagomea marais wenzake

RAIS Joseph Kamembe Kabila, amegomea wito wa Muungano wa Afrika (AU), wanaotaka kucheleweshwa kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi wa rais nchini mwake. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto atishiwa kuuwawa

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo amedai kuwa, anatishiwa kuuwawa. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Zitto amesambaza taarifa huyo kwenye mtandao...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto Kabwe ‘afukuzwa Bungeni’

MBUNGE wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Zuberi Kabwe, amefurushwa bungeni. Ni baada ya kuamriwa kutoka nje ya Kamati ya Bunge ya Katiba na...

Habari za Siasa

Meya Mwanza atimua waandishi

JAMES Bwire, Meya wa Jiji la Mwanza hana urafiki na waandishi wa habari kwa madai wanabagua. Anaripoti Moses Mseti…(endelea). Pia Bwire ametoa sababu nyingine kuwa,...

Afya

Magonjwa 10 yaliyochangia vifo vingi 2018

SERIKALI imetaja magonjwa kumi yaliyochangia vifo kwa mwaka 2018 huku ugonjwa wa shinikizo la damu ukijitokeza katika magonjwa hayo na kuchangia vifo kwa...

Habari za Siasa

JPM akabidhiwa mfumo wa kusimamia mawasiliano, atoa maagizo

RAIS John Magufuli leo tarehe 18 Januari 2019 amekabidhiwa rasmi Mfumo wa Usimamizi wa Mawasiliano ya Simu (TTMS) unaosimamiwa na Mamlaka ya Mawasiliano...

Habari za SiasaTangulizi

Mgogoro wa Spika Ndugai, Prof. Assad watua kwa JPM  

JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Tanzania amefikisha kiaina mgogoro unaovuma kwa sasa kati yake na Prof. Mussa Assad, Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu...

Kimataifa

AU waitaka DR Congo kusitisha kutangaza matokeo

JAMHURI ya Kidemokrasia ya Congo imetakiwa kuahirisha utangazaji wa matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika hivi karibuni. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Wito...

Habari za SiasaTangulizi

CAG amng’ang’ania Spika Ndugai

PROF. Mussa Assad, Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), apigilia msumali kauli yake kuwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...

Kimataifa

Marekani yampa heshima mpya Mohammed Ali

UWANJA wa Ndege wa Kimataifa wa Louisville uliopo Kentucky, Marekani sasa utabadilishwa jina na kuwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mohammed Ali....

Habari za SiasaTangulizi

Afya ya Mbowe kizungumkuti Segerea

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetuma mawakili wake kwenda kufuatilia ukweli kuhusu taarifa za ugonjwa wa Freeman Mbowe, mwenyekiti wa chama hicho...

Habari za Siasa

Wateule wa JPM watwangana Makonde

SIO jambo la kawaida kwa viongozi wa serikali kutwangana Makonde hadharani lakini hii imetokea katika Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Waziri Mkuu awaombea ajira vijana kwa waandisi

WAZIRI Mkuu Kasim Majaliwa amewataka waandisi wanaosimamia majengo kuhakikisha wanatoa ajira kwa vijana ili waweze kunufaika na mradi wa ujenzi unaoendelea  mji wa...

Habari za Siasa

Serikali yamvaa Lissu

SERIKALI ya Tanzania imedai kuwa, Tundu Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki ni muongo. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Imeeleza, wakati Lissu akihojiwa na...

Habari Mchanganyiko

Herbinder Seth, Rugemarila waiangukia mahakama

TANGU Julai 2017, mpaka leo bado upelelezi haujakamilika, tunaomba upelelezi ukamilike ili tujue mwisho wake ni nini. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Hayo...

Habari za Siasa

Spika Ndugai alia na Zitto

ZITTO Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini ni mwanasiasa anayemsumbua Spika wa Bunge la Jamhuri, Job Ndugai. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Kauli hiyo imetolewa na...

Habari za Siasa

Wadau waanza kutoa maoni Muswada wa Vyama vya Siasa

KAMATI ya Katiba na Sheria ya Bunge la Jamhuri, leo imeanza rasmi kupokea maoni ya wadau juu ya muswada wa sheria vya vyama...

Habari Mchanganyiko

Mpakistani kizimbani kwa rushwa  

MUHAMMEDI Hasnain Hyderi, Raia wa Pakistan amepandishwa kizimbani kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Slaam kwa tuhuma za rushwa. Anaripoti Faki Sosi…(endelea). ...

Habari za Siasa

Mbowe mgonjwa, ashindwa kufika mahakamani

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, ni mgonjwa, hali iliyopelekea kushindwa kufika mahakamani. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Hayo...

Habari za SiasaTangulizi

Sera za Lissu Ulaya hizi hapa

TUNDU Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki yupo ziarani Ulaya na sasa ameanza kueleza sera zake pale atakapochaguliwa na Watanzania kuwa rais wao. Anaripoti...

error: Content is protected !!