SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano inamuandalia Mansour Yussuf Himid mashitaka ambayo akishasomewa mbele ya mahakama atapelekwa gerezani. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Mansour...
By Masalu ErastoJanuary 5, 2019MBUNGE wa Ukonga (CCM), Mwita Mwaikabe Waitara, ameanza kampeni za “kumdhoofisha” na hatimaye kumng’oa, hasimu wake mkuu kisiasa, mbunge wa Chadema katika jimbo...
By Yusuph KatimbaJanuary 5, 2019MBUNGE wa Jimbo la Ndanda (Chadema), Cecil Mwambe amevunja ukimya juu ya manyanyaso wanayopata wananchi wa mikoa ya kusini katika mchakato wa Serikali...
By Mwandishi WetuJanuary 4, 2019MSHAMBULIAJI wa timu ya Yanga ya Dar es Salaam, Heritier Makambo amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Desemba wa Ligi Kuu Tanzania Bara...
By Kelvin MwaipunguJanuary 4, 2019KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amemvua unahodha, Kelvin Yondani kutokana na mchezaji huyo kutofika mazoezini bila taarifa yoyote, nafasi yake kuchukuliwa na ...
By Kelvin MwaipunguJanuary 4, 2019MWANASHERIA Mkuu wa Serikali (AG), amegonga mwamba mahakamani. Ni baada ya jopo la majaji watatu wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam,...
By Faki SosiJanuary 4, 2019CHUO Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimemrudishia hadhi ya uanafunzi Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi (TSNP), Abdul Nondo baada ya kuondolewa chuoni...
By Regina MkondeJanuary 4, 2019WAJASIRIAMALI wilaya ya Temeke mkoa wa Dar es Salaam, wameeleza sababu zinazopelekea vikundi vya kuweka akiba na kukopa mikopo kufa na kuacha maumivu...
By Mwandishi WetuJanuary 4, 2019KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe na wenzake wawili, Joran Bashange na Salim Bimani wamefungua kesi Mahakama Kuu ya Tanzania kupinga Muswada...
By Faki SosiJanuary 4, 2019MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tanzania Bara, Prof. Abdallah Safari, sasa atakuwa amejitosa rasmi kuokoa chama chake. Anaripoti Regina...
By Regina MkondeJanuary 3, 2019KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo ameeleza kuwa wingi wa wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) bungeni kuna kwamisha maslahi ya wananchi kutokana kutumia...
By Faki SosiJanuary 3, 2019MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo inatarajia kusikiliza kesi ya vigogo tisa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)....
By Faki SosiJanuary 3, 2019WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imelaani na kukemea vikali vitendo vya ukatili dhidi ya watoto vinavyoendelea kujitokeza nchini....
By Mwandishi WetuJanuary 2, 2019CHAMA cha Ushirika wa Wakulima wa Kahawa Karagwe na Kyerwa (KDCU) kinadaiwa kuwatangazia wakulima kwamba watapata malipo ya nyongeza mwezi huu wa Januari...
By Mwandishi WetuJanuary 2, 2019SERIKALI ya Somalia imemfukuza Mwakilishi Maalum wa Umoja wa Mataifa (U.N) nchini humo, Nicholas Haysom kwa sababu ya kuingilia mambo ya ndani ya...
By Mwandishi WetuJanuary 2, 2019BAADA Ya Rais John Magufuli kufuta kanuni mpya ya kikokotoo cha mafao ya watumishi wa umma iliyotokana na Sheria ya Mifuko ya Hifadhi...
By Regina MkondeJanuary 2, 2019MBUNGE wa Bunda Mjini, Ester Bulaya amemtaka Rais John Magufuli kumfukuza kazi Waziri wa Sera, Bunge, Ajira, Vijana, na Walemavu, Jenista Mhagama, kwa...
By Regina MkondeJanuary 2, 2019ZIMEBAKI siku mbili kwa Abdul Nondo, Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP) kurejea chuoni (Chuo Kikuu cha Dar es Salaam-UDSM) baada ya...
By Faki SosiJanuary 2, 2019MCHUNGAJI Kiongozi wa kamisa la Evangelisim Assembless Of God Tanzania (EAGT) Ipagala, Evanci Chande amewaonya wakristo wafanyabiashara ambao wamekuwa wakikwepa kulipa kodi ya...
By Danson KaijageJanuary 2, 2019