Monday , 20 May 2024
Home 2017

Year: 2017

Habari za Siasa

Vijana wa CUF wamuonya Shaka Hamdu

JUMUIYA Vijana ya Chama cha Wananchi CUF (JUVI-CUF), imemuonya Shaka Hamidu Shaka, Kaimu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi...

Habari Mchanganyiko

Watakiwa kutotumia nafaka kutengeneza pombe

MUSTAFA Rajabu Sheikh wa Mkoa wa Dodoma na Kadhi wa Mkoa huo amewaasa Watanzania kutotumia nafaka kama mahindi na mtama kwaajili ya kutengeneza...

Elimu

Serikali yakosa walimu wa kuwaajiri

SERIKALI imesema licha ya malalamiko ya kuchelewa kwa ajira za walimu lakini hakuna wahitimu wa kutosha wa taaluma hiyo waliopeleka vyeti vyao ili...

Kimataifa

Marekani yakoleza vita umiliki wa silaha

BUNGE la Wawakilishi nchini Marekani limeafiki kupigwa marufuku kwa Wamarekani wenye matatizo ya akili kumiliki silaha ikiwa ni jitahada za kukabiliana na uhalifu...

Habari MchanganyikoTangulizi

Washukiwa wa dawa za kulevya waanza kujisalimisha

TAMKO la Paul Makonda Mkuu Mkoa wa Dar es Salaam kuwataka watu mbalimbali wanaotuhumiwa kujihusisha biashara au matumizi ya dawa za kulevya kujisalimisha...

Habari za Siasa

CCM Vyuo Vikuu walia na rushwa ya ngono

NEEMA Mfugale, Katibu wa Shirikisho la Vyuo Vikuu la Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dodoma amesema, rushwa ya ngono ni changamoto kubwa inayokwamisha...

Michezo

Lampard astaafu soka

KIUNGO wa zamani wa klabu ya Chelsea, New York City FC na timu ya taifa ya England, Frank Lampard (38) leo ametangaza kustaafu...

Habari MchanganyikoTangulizi

Makonda ‘aubeep’ mtandao wa ‘wauza unga’

PAUL Makonda Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ameutaja mtandao wa wauzaji wa dawa za kulevya hapa jijini huku miongoni mwao, yakiwemo...

Michezo

Okwi rasmi SC Villa

BAADA ya kuvunja mkataba na klabu yake ya SønderjyskE inayoshiriki ligi kuu nchini Denmark, hatimaye mshambuliaji wa kimataifa wa Uganda Emmanuel Okwi amerudi...

Habari za Siasa

Tulia achafua ‘hali ya hewa’ Bungeni

KWA mara nyingine Dk. Tulia Ackson, Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameingia katika mvutano na wabunge wa vyama...

Habari za SiasaKimataifa

Upinzani wapata pigo DRC

KIFO cha Etienne Tshisekedi kiongozi wa chama cha upinzani cha (UDPS) katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kimeacha simanzi na pigo kwa wapenda...

Habari Mchanganyiko

Serikali yazidi kuikaba koo MwanaHALISI

SERIKALI imeendelea ‘kulibana mbavu’ gazeti la kila wiki la habari za kiuchunguzi – MwanaHALISI kwa kuliagiza kuchapisha taarifa ya kumuomba radhi Rais John...

Habari za Siasa

Meya Ilala ‘kazi kazi’

CHARLES Kuyeko, Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala amefanya ziara ya kikazi katika kata ya Tabata mtaa wa tabata Kisiwani na matumbi, anaandika...

Kimataifa

Silaha za Jammeh zafichuliwa

JESHI la Muungano wa Kiuchumi wan chi za Magharibi mwa Afrika (ECOWAS) limezinasa silaha mbalimbali za kivita nyumbani kwa Yahya Jammeh Rais aliyelazimishwa...

Habari za Siasa

Manispaa yabanwa matumizi ya fedha za vijana

MADIWANI wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro wameitaka kuwekwa wazi kwa asilimia 5 ya mapato ya halmashauri hiyo ambayo yanapaswa kutolewa kama mikopo kwa...

Habari za Siasa

Mbunge Ilemela atishwa

ANGELINA Mabula, Mbunge wa Jimbo la Ilemela, Mwanza amemtishwa na wapiga kura wake kwa madai ya kushindwa kutatua kero ya mgogoro wa ardhi,...

Habari za SiasaTangulizi

Watu wanaishi na wauaji wao

NINAPOKUMBUKA tukio la mauaji ya wananchi walioandamana katika kudai haki ya kuongozwa na kiongozi wanayemtaka, haraka inanijia sura ya mmoja wa watekelezaji wa...

Michezo

Azam FC kuivaa Mamelodi leo

KLABU ya Azam FC leo itashuka dimbani dhidi ya mabingwa Klabu Bingwa Afrika, Mamelodi Sundown katika mchezo wa kirafiki utakaopigwa  majira ya saa...

Habari MchanganyikoTangulizi

MwanaHALISI yamalizana na JPM

UONGOZI wa kampuni ya Hali Halisi Publishers Limited (HHPL), inayochapisha gazeti la MwanaHALISI, umemuomba radhi Rais Dk. John Magufuli, anaandika Faki Sosi. Hatua...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali yanena kuhusu viwanda, uvamizi Zanzibar

SERIKALI ya awamu ya tano imetoa taarifa kuhusu mipango ya utekelezaji wa mambo mbalimbali yanayohusu utendaji wa serikali pamoja na utekelezaji wa Bajeti...

Michezo

Charles Boniface Mkwasa Katibu Mkuu Yanga

ALIYEKUA kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Charles Boniface Mkwasa ametangazwa kuwa katibu mkuu wa klabu ya Yanga, baada...

ElimuTangulizi

Matokeo kidato cha nne, Shule za serikali hoi

MATOKEO ya mitihani ya kidato cha nne iliyofanyika mwaka jana (2016) yametolewa leo ambapo shule za serikali zimeendelea kufanya vibaya huku zile za...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif amfungulia mlango Dk. Shein

MAALIM Seif Sharif Hamad, Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) amempa nafasi tena Dk. Ali Mohamed Shein ili kumaliza mgogoro wa kisiasa...

Habari MchanganyikoKimataifa

Mauaji ndani ya msikiti Canada

WAUMINI sita wa Dini ya Kiislam nchini Canada, wamefariki dunia na wanane kujeruhiwa baada ya kupigwa risasi katika msikiti wa Quebec usiku wa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Simulizi msisimko waliofukiwa mgodini 

MATOPE, magome ya miti pia maji machafu ndivyo vilikuwa vyakula vikuu katika siku tano tulizoishi chini ya kifusi huku hofu ya kupoteza maisha...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Lipumba aomba ‘talaka rejea’ CUF

CHAMA cha Wananchi (CUF) kinaelekea kugota. Hofu na mashaka vimeanza kummeza Prof. Ibrahim Lipumba ambapo sasa anahitaji suluhu na Maalim Seif Shariff Hamad,...

ElimuHabari MchanganyikoTangulizi

JPM njia panda kuhusu ‘ugaidi Shule za Feza’

TUHUMA kuwa Shule za Feza zilizopo hapa nchini zinamilikiwa na watu wanaojihusisha na vitendo vya ugaidi nchini Uturuki na kwamba zinapaswa kufutwa, zinaweza...

Michezo

Simba, Yanga warudishwa Uwanja wa Taifa

HATIMAYE Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye, ameruhusu klabu za Simba na Yanga kuendelea kutumia uwanja wa Taifa, katika michezo...

SiasaTangulizi

Mabilioni yaibwa kwa Jaji Mutungi

MAMILIONI ya shilingi ndani ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa yaliyotengwa kwa ajili ya kuwajengea uwezo wanawake ndani ya vyama vya...

Kimataifa

Trump ampongeza Kigogo wa FBI

DONALD Trump, Rais wa Marekani amemwagia sifa James Comey, Mkurugenzi wa Shirika la Upelelezi (FBI) akidai ni mtu mahiri na amejipatia umaarufu kiasi...

Habari Mchanganyiko

Sangara wazidi kuwa ‘adimu’ Mwanza

UZALISHAJI wa Samaki katika Kiwanda cha Tanzania Fish Processors Limited (TFP), jijini Mwanza, kinachojihusisha na uchakataji wa minofu ya samaki aina ya Sangara umeshuka...

KimataifaTangulizi

Jammeh akomba fedha, atokomea Guinea

YAYHA Jammeh aliyekuwa rais wa Gambia ameliacha taifa hilo kwenye machungu, baada ya kukomba fedha katika hazina na kwenda uhamishoni nchini Guinea ya...

Habari za SiasaTangulizi

Jecha: Maalim Seif alidanganya

MIEZI 15 tangu alipofuta uchaguzi mkuu wa Zanzibar na kushutumiwa kuwa amekibeba Chama Cha Mapinduzi (CCM), mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC),...

Habari za Siasa

Mbowe: Tuna hofu kubwa

TUNA hofu kubwa ya kutotendewa haki ndani ya nchi. Ni kauli ya Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anaandika...

Habari Mchanganyiko

Mo Dewji ‘apiga bao’

MOHAMMED Dewji, Rais na Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL Group), ametangazwa na Jarida la African Leadership kuwa mshindi...

Habari za SiasaTangulizi

CUF, Chadema wagawa kura

ATHARI ya mtifuano ndani ya Chama cha Wananchi (CUF) zinaendelea ambapo sasa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kinawinda kura za CUF, anaandika...

KimataifaTangulizi

Jammeh anyosha mikono

HATIMAYE Yahya Jammeh, Rais wa Gambia aliyetaka kubaki Ikulu kwa hila ametangaza kuachia madaraka bila shuruti, anaandika Wolfram Mwalongo. Jammeh ametangazia umma kwa...

Kimataifa

Jammeh apagawa, atimua mawaziri

WAKATI muda wa Yahya jammeh rais ‘king’ang’anizi’ wa Gambia ukiwa umeisha na hatua za kumuondoa kwa nguvu zikisubiriwa kuanza, kiongozi huyo amevunja rasmi...

Habari Mchanganyiko

Polisi: wanaoporwa mamilioni hawatunzi siri

WASAFIRISHAJI wa fedha wametakiwa kuwa na usiri katika michakato yote inayohusiana na usafirishaji wa fedha ili kuepuka matukio ya kuvamiwa na majambazi, anaandika...

Kimataifa

‘Zungu la unga’ El Chapo kitanzini Marekani

UAMUZI wa Mexico kumpeleka nchini Marekani Joaquin Guzman ‘El Chapo’ muuza dawa za kulevya mkubwa katika bara la America unaonekana kulenga kummaliza kabisa...

Kimataifa

Jammeh sasa ahesabiwa dakika

MUDA wa kubembelezwa kwa Yahya Jammeh Rais wa Gambia aliyegoma kuondoka Ikulu ya nchi hiyo baada ya kuangushwa na mpinzani wake Adama Barrow...

Kimataifa

Mwanasheria amtoroka Jammeh

Edward Anthony Mwanasheria wa Rais Yahya Jammeh nchini Gambia akimbilia uhamishoni katika taifa jirani la Senegal, anaandika Wolfram Mwalongo. Antony ambaye amekuwa bega kwa...

Michezo

Malinzi ateuliwa kuwa Mjumbe wa FIFA

JAMAL Malinzi Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ameteuliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) kuwa mmoja kati...

Kimataifa

Ajiteketeza kwa moto kisa mateso ya Wachina

S. Erdene, kiongozi wa chama cha wafanyakazi wa migodi nchini Mongolia amejichoma moto akishinikiza serikali kuachana na mikataba ya kibiashara na makampuni kutoka...

Kimataifa

Obama akipuuza chama chake

RAIS Barrack Obama anayemaliza muda wake wa kukaa Ikulu ya Marekani siku ya kesho amepuuza msimamo wa chama chake cha Democtatic  kususia sherehe...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe: Viongozi Chadema kufungwa ni mkakati wa Serikali

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa kufungwa kwa baadhi ya viongozi wao akiwemo Diwani na Mbunge ni sehemu...

Habari Mchanganyiko

Lissu ‘atonesha donda’ la Zanzibar

TUNDU Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Kisutu kuwa uchaguzi wa marudio wa Zanzibar haukuwa uchaguzi halali kisheria,...

KimataifaTangulizi

Makamu wa Rais Gambia ajiuzulu

ISATOU Njie, Makamu wa Rais wa Gambia ametangaza wazi kuachia ngazi hiyo kufuatia sintofahamu ya hali ya kisiasa iliyotanda katika Taifa hilo la...

Habari za SiasaTangulizi

ACT yazidi kuikaba serikali

CHAMA Cha ACT-Wazalendo sasa kinataka serikali imwelekeze Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kufanya ukaguzi maalum kwenye utoaji wa vibali...

Habari za Siasa

Kigogo Chadema alia na kodi

ONGEZEKO la kodi limetajwa kuchochea hali ngumu ya maisha inayolalamikiwa na wananchi wengi hapa nchini, anaandika Pendo Omary. Casimir Mabina, Mratibu wa Chama...

error: Content is protected !!