KIKUNDI cha wachimbaji wadogo kinachomiliki mgodi wa dhahabu wa Kapumpa uliopo tarafa ya Kitunda wilaya ya Sikonge Mkoani Tabora kimeongoza kwa kulipa mrabaha...
By Mwandishi WetuJuly 26, 2017WANANCHI mkoani Mwanza wametakiwa kupenda kushiriki kikamilifu katika kupima Afya na kufanya usafi wa mazingira yanayowazunguka na wanayofanyia kazi ili kuweza kuondokana adha...
By Mwandishi WetuJuly 26, 2017WANANCHI wa kijiji cha Bulige kata ya Bulige katika halmashauri ya Msalala wilayani Kahama mkoani Shinyanga wamemkataa mwenyekiti wa kijiji hicho, mtendaji pamoja...
By Mwandishi WetuJuly 26, 2017BODI ya Mamlaka ya Ngorongoro (NCAA), imesema itakabiliana na changamoto zinazoikabili mamlaka hiyo kufikia dira ya uhifadhi, anaandika Mwandishi Wetu. Kaimu Mwenyekiti mpya...
By Mwandishi WetuJuly 26, 2017WAKILI wa kujitegemea ambaye pia ni mwanachama wa Chama Cha Mawakili Tanzania Bara(TLS), Emmanuel Makene amekilalamikia Chama hicho kuwa hakiwasaidii wanachama wake wakati...
By Masalu ErastoJuly 25, 2017FATUMA Karume, wakili wa Tundu Lissu, Mwanasheria mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amesema kila mtu ana haki ya kumkosoa Rais,...
By Masalu ErastoJuly 25, 2017RAIS John Magufuli, rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amewataka Watanzania kuwa na mioyo ya kuvumiliana, anaandika Hellen Sisya. Rais Magufuli ameyasema...
By Masalu ErastoJuly 25, 2017CHAMA cha walemavu Tanzania (CHAWATA), kimeiomba serikali ya awamu ya tano kuwaangalia kwa jicho la tatu katika swala zima la uchumi wao, anaandika Victoria...
By Masalu ErastoJuly 25, 2017JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema kuwa bado anaitafakari barua ambayo ameipokea kutoka kwa, Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti...
By Masalu ErastoJuly 25, 2017MBUNGE wa jimbo la Sumbawanga mjini, Aesh Hilaly (CCM), ameahidi kukabidhi vitanda vitano maalumu kwa ajili ya kujifungulia wakina mama wajawazito pamoja na...
By Mwandishi WetuJuly 25, 2017HALMASHAURI ya Jiji la Arusha, limeonya kuwachukulia hatua za kisheria wanaojihusisha na mgogoro wa maduka yake yaliyopo eneo la standi ndogo, anaandika Mwandishi...
By Mwandishi WetuJuly 25, 2017MKUU wa Mkoa Arusha, Mrisho Gambo amesema mwananchi yeyote atakayeshindwa kutoa ushirikiano wa kujua idadi ya mifugo aliyo nayo atatiwa nguvuni, anaandika Mwandishi...
By Mwandishi WetuJuly 25, 2017WANAWAKE wamehimizwa kunyonyesha watoto kwa kipindi kinachoshauriwa kitaalamu ili kuwaepusha na madhara ya utapiamlo na udumavu wa akili, anaadika Mwandishi Wetu. Mratibu wa...
By Mwandishi WetuJuly 25, 2017NAIBU Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhandisi Stella Manyanya amewataka wanafunzi wa shule za msingi na sekondari kuwa wazalendo kwa nchi yao...
By Mwandishi WetuJuly 25, 2017ANGELINA Mabula, NAIBU Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi, ameitaka halmashauri ya Jiji la Mwanza na Manispaa ya Ilemela, kuhakikisha zinamaliza uhaba wa...
By Moses MsetiJuly 25, 2017TUNDU Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema, amenyimwa dhamana baada ya kufikishwa katika Mahakama ya Kisutu, Dar es Salaam na kusomewa mashtaka ya kutoa...
By Masalu ErastoJuly 24, 2017BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma, limemuomba Rais John Magufuli kujenga reli ya treni ya abiria ya mwendo...
By Danson KaijageJuly 24, 2017CHAMA cha Upinzani cha Union For Democracy and Social Progress (UDPS) cha DRC kimebainisha mpango wake wa kumshinikiza rais Joseph Kabila kuondoka madarakani,...
By Masalu ErastoJuly 24, 2017WAKILI wa kujitegemea Mchungaji Kuwayawaya Stephen, amesema kuwa viongozi waliopo madarakani katika serikali ya awamu ya tano wengi wao bado hawajaonyesha uwezo wao...
By Mwandishi WetuJuly 24, 2017UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), umewataka viongozi wa wilaya kuwachukulia hatua watendaji wao wa chini wanaotoa mikpo kwa vikundi hewa,...
By Mwandishi WetuJuly 24, 2017WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, amewatoa hofu wananchi wa Kata ya Ibadakuli Manispaa ya Shinyanga kwamba hakuna mtu atakayechukuliwa...
By Mwandishi WetuJuly 24, 2017HALMASHAURI ya Wilaya ya Simanjiro, imeendelea kupata hati safi kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali nchini (CAG), kwa mwaka...
By Mwandishi WetuJuly 24, 2017SERIKALI wilayani Muheza mkoani Tanga imepiga marufuku shule zote za msingi na sekondari wanafunzi kufanyishwa mitihani siku za ibada ikiwamo Ijumaa, Jumamosi na...
By Mwandishi WetuJuly 24, 2017BUNGE la Congress limetaka Urusi iadhibiwe kwa kosa la kuingilia uchaguzi wa rais uliofanyika mwaka jana nchini Marekani, anaandika Catherine Kayombo. Bunge hilo...
By Masalu ErastoJuly 24, 2017TUNDU Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanzania (TLS), baada ya kuwekwa mahabusu siku nne, hatimaye amefikishwa katika...
By Masalu ErastoJuly 24, 2017WENYEVITI wa Serikali za mitaa wa Chama cha Wananchi (CUF) mkoa wa Dar es Salaam, wamemuunga mkono Katibu Mkuu wa chama hicho Maalim...
By Mwandishi WetuJuly 23, 2017UONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Wilaya ya Chemba, Dodoma, umejipanga kwenda mahakamani kumfungulia kesi Mkuu wa Wilaya hiyo Samson Odunga,...
By Danson KaijageJuly 23, 2017ZIARA ya Rais John Magufuli mkoani Kigoma, imethibitisha kuwa Zitto Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT Wazalendo) ni kigeugeu, anayeweza kubadili kauli yake wakati...
By Mwandishi WetuJuly 23, 2017WANAFUNZI wanaosoma shule ya sekondari ya Kwamkabara kata ya Kwamkabara wilayani Muheza mkoani Tanga wamepatwa na ugonjwa wa ajabu unaosababisha kuanguka hovyo, anaandika...
By Mwandishi WetuJuly 22, 2017SERIKALI imewaagiza Maofisa ardhi wa Manispaa ya Iringa pamoja na halmashauri zote nchini kufanya kazi kwa weledi pamoja na kutatua kero za wananchi...
By Hamisi MgutaJuly 22, 2017SERIKALI Wilayani Tunduru Mkoani Ruvuma imeahidi kuwachukulia hatua za kisheria walimu wote ambao watatajwa kujihusisha kimapenzi na watoto wa kike wanaosoma katika shule...
By Mwandishi WetuJuly 22, 2017WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali imetenga Sh. Bilioni 1.669 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maji katika wilaya ya Ileje mkoani...
By Mwandishi WetuJuly 22, 2017MSEMAJI wa rais wa Marekani, Donald Trump amejiuzulu kufuatia uteuzi wa rais wa mkurugenzi mpya wa mawasiliano nchini humo, anaandika Catherine Kayombo. Sean...
By Masalu ErastoJuly 22, 2017MAKUNDI mawili ya vijana wapatao 40 kutoka wilaya ya Kilosa mkoani hapa wamepatiwa msaada wa vifaa mbalimbali vyenye thamani ya Sh. 10 milioni...
By Christina HauleJuly 22, 2017TAASISI ya kuendeleza mifumo ya masoko kwenye kilimo nchini (AMDT), imepanga kuwafikia wakulima 500,000 wa zao la alizeti wa mikoa 12 ya Tanzania...
By Mwandishi WetuJuly 21, 2017MAREKANI imetishia kusitisha misaada kwa viongozi wa Sudan Kusini endapo hawatashiriki katika mazungumzo ya ngazi ya juu na kushindwa kuheshimu muda wa mwisho...
By Masalu ErastoJuly 21, 2017SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) linatarajia kukusanya kiasi cha Sh.trilioni 1.3 kwa mwaka wa fedha 2018/2019, anaadika Christina Haule. Mkurugenzi...
By Christina HauleJuly 21, 2017JESHI la Polisi Mkoani Dodoma linawashikilia watu 45 kwa tuhuma mbalimbali pamoja na kukamata silaha, mali za wizi na madawa ya kulevya katika...
By Danson KaijageJuly 21, 2017MWANAMUZIKI nchini India apiga gitaa kwenye meza ya kufanyia upasuaji ili kuwasaidia madaktari kutibu mishipa (involuntary muscle spasms) katika vidole vyake, anaandika Jovina...
By Masalu ErastoJuly 21, 2017MAHAKAMA ya Wilaya ya Manyoni, imewahukumu kifungo cha miaka 25 jela kila mmoja majangili wawili baada ya kutiwa hatiani kwa makosa mbalimbali ikiwemo...
By Mwandishi WetuJuly 21, 2017VIJANA sita wakiwamo wavulana wanne na wasichana wawili kutoka Burundi waliokuwa wakishiriki katika mashindano ya roboti yaliyokuwa yakifanyika jijini Washington DC, wametoweka nchini...
By Masalu ErastoJuly 21, 2017JESHI la Polisi jijini Dar es Salaam limetakiwa kumfikisha Mahakamani, Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, badala ya...
By Hamisi MgutaJuly 21, 2017Kim Jong-un, Kiongozi wa Korea Kaskazini amesema kuwa, vitisho vya hivi karibuni vya Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya nchi yake, ni...
By Masalu ErastoJuly 21, 2017Wizara ya Nishati na Madini imefanya mabadiliko kufuatia kupitishwa kwa sheria mpya ‘the written laws (miscellaneous amendmend ) Act 2017 iliyofanyiwa marekebisho kadhaa...
By Masalu ErastoJuly 21, 2017POLISI nchini Uganda imewatia mbaroni wapinzani waliofanya mkusanyiko wa kupinga serikali wiki iliyopita, anaandika Hellen Sisya. Emilian Kayima, Msemaji wa jeshi la polisi...
By Masalu ErastoJuly 21, 2017WIZARA ya Maji na Umwagiliaji kupitia Bonde la Wami Ruvu inakusudia kutangaza eneo hilo kama hifadhi ya vyanzo vikuu vya maji nchini, anaandika...
By Christina HauleJuly 21, 2017TUME ya vyuo vikuu nchini (TCU), imesema itachukua hatua kali za kisheria dhidi ya vyuo vikuu ambavyo vitatangaza kozi ambazo hazitambuliki na tume...
By Masalu ErastoJuly 21, 2017SIKU moja baada ya polisi kumhakikishia Tundu Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema kuwa yupo huru na hakuna mpango wa kumkamata, hatimaye leo Jeshi...
By Charles WilliamJuly 20, 2017JUMUIYA ya Tawala ya Mitaa (ALAT) Tanzania inatarajia kuhamia mkoani Dodoma ifikapo tarehe 1 mwaka huu, ikiwa ni sehemu ya kutekeleza agizo la Rais John...
By Masalu ErastoJuly 20, 2017VYUO takribani 80 vinatarajiwa kushiriki maonesho ya elimu ya juu, sayansi na teknolojia yanayotarajiwa kufanyika katika viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dar es...
By Masalu ErastoJuly 20, 2017