August 10, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Tundu Lissu afikishwa mahakamani Kisutu muda huu

Tundu Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema na Mbunge wa Singida, akiwasili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kisutu

Spread the love

TUNDU Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanzania (TLS), baada ya kuwekwa mahabusu siku nne, hatimaye amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ajili ya kusomewa mashtaka yake yanayomkabiri, anaandika Hellen Sisya.

Lissu alikamatwa Alhamisi iliyopita Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Dar es Salaam na kushikiriwa na jeshi la Polisi kwa mahojiani, leo asubuhi amefikiwa mahakamani hapo kwa ajili ya kusomewa mashtaka yake ya uchochezi.

MwanaHALISI Online lipo mahakamani hapo, inaendelea kukujuza kinachotokea.

error: Content is protected !!