Sunday , 28 April 2024

Month: July 2017

Kimataifa

Bunge Poland lapewa ”meno” kufukuza majaji

BUNGE la taifa nchini Poland limepitisha muswaada unaolipa nguvu ya kuteua au kutengua viongozi wa mahakama kuu wakiwemo majaji wa juu, anaandika  Catherine...

Habari Mchanganyiko

Polisi Dar yanasa 44 wizi wa magari

JESHI la Polisi Kanda maalum Dar es salaam limewakamata watuhumiwa 44 wa wizi wa vifaa vya magari pamoja na vifaa hivyo vya magari,  katika oparesheni...

Habari za Siasa

Mbunge wa CUF aburuzwa mahakamani

ABDALLAH  Mtolea, Mbunge wa Jimbo la Temeke (CUF), amefikishwa  mahakamani kwa kosa la usalama barabarani, anaandika Hamisi Mguta. Kamanda mkoa wa Polisi Temeke,...

Elimu

TCU yajivua rasmi udahili wa wanafunzi

TUME ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), imejivua rasmi jukumu la kusimamia suala la udahili kwa wanafunzi ambao wanatarajia kujiunga na masomo ya elimu...

Habari Mchanganyiko

Chama cha wapangaji waibua madai mapya

CHAMA cha Wapangaji   Tanzania (Tanzania Tenants Association), kimeiomba serikali kuweka chombo maalum kwa ajili ya kulinda maslahi ya wapangaji, anaandikaCatherine Kayombo. Akizungumza na wanahabari,...

Habari za SiasaTangulizi

Upelelezi wa Lowassa bado pasua kichwa

JESHI la Polisi Tanzania bado halijakamilisha upelelezi wa tuhuma zinazomkabiri Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, hivyo wamelazimika kumwachia na kumtaka arudi tena...

Habari za Siasa

Kubenea: Nitauza hata kiatu kumwondoa Lipumba

MBUNGE wa Jimbo la Ubungo (Chadema), Saed Kubenea, amesema yupo tayari kuuza chochote alichonacho hadi afanikishwe operesheni ya kumwondoa ofisini Prof. Ibrahim Lipumba...

Habari za Siasa

Mbunge Kubenea kuhojiwa Polisi Dar 

MBUNGE wa Jimbo la Ubungo (Chadema), Saed Kubenea  amemtaka mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), anayetambulika na Msajili wa Vyama Vya Siasa Nchini...

Habari za Siasa

Lissu azua kizazaa mahakamani Dodoma

MWANASHERIA wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu leo ametumia zaidi ya saa nne akiwa katika...

Kimataifa

UN yashutumu jeshi la DRC kwa mauaji

WACHUNGUZI wa Umoja wa Mataifa wanaochunguza  mauaji ya wataalam wao nchini DRC wamebaini kwamba wanajeshi wa serikali ya hiyo wanahusika na mauaji hayo,...

Habari Mchanganyiko

Muuguzi aliyebaka kutimuliwa  kazi 

SAKATA la  Muuguzi anayedaiwa kumbaka binti mwenye miaka 18 limeingia katika sura mpya, baada ya serikali kuingilia kati na kuomba Baraza la Wauguzi...

Habari Mchanganyiko

Kesi ya Manji yapigwa kalenda

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imeahirisha kesi inayomkabili Yusuph Manji, Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, anaandika Hamisi Mguta. Manji...

Habari MchanganyikoTangulizi

Baada ya kufungiwa vituo vyake, Diallo aburuzwa mahakamani

ANTONY Diallo, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Sahara Media Group (SMG), inayomiliki kituo cha televisheni Star TV, Redio Free Africa (RFA) na Kiss...

Habari za Siasa

Polisi walikoroga Ruvuma, wazuia vikao vya ndani vya Chadema

JESHI la Polisi mkoani Ruvuma limekizuia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kufanya mikutano ya ndani, anaandika Irene David. Katazo hilo limekuja siku...

Kimataifa

Hekaheka za uchaguzi nchini Kenya 

VIFAA mbalimbali kwa ajili ya kufanikisha uchaguzi mkuu nchini Kenya vimeanza kuwasili nchini humo kutokea Dubai, anaandika Catherine Kayombo. Miongoni mwa vifaa hivyo...

Habari MchanganyikoTangulizi

Jaji aliyejiuzulu afariki

ALIYEKUWA  Jaji wa Mahakama Kuu, Upendo Msuya, amefariki dunia  leo Julai 19 katika hospitali ya Kairuki jijini Dar es Salaam, alipokuwa amelazwa baada...

Kimataifa

Makamu wa rais Afghanistan azuiwa kurudi nchini

MAKAMU wa rais wa Afghanistan, Jenerali, Abdul Dostum amezuiwa kuingia nchini mwake akitokea nchini Uturuki, anaandika Mwaandishi wetu. Ndege ya kiongozi huyo iliyojaribu...

Habari za SiasaTangulizi

Hiki ndicho anachokitamani Tundu Lissu

TUNDU Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema, amewaeleza Watanzania kuwa kitu pekee ambacho kinaweza kuikomboa nchi kutoingia katika machafuko, anaandika Hellen Sisya. Fuatilia VIDEO HII...

Habari Mchanganyiko

Magari mapya yaja Zimamoto

JESHI la Zimamoto na Uokoaji nchini limetengewa Sh. 3 bilioni kwa ajili ya kununulia vitendeakazi zikiwemo gari za kuzima moto na madawa ya...

Habari Mchanganyiko

Viongozi, Wanachama CCWT wazidi kuvutana

BAADHI ya wajumbe na wanachama wa Chama cha Wafugaji Tanzania (CCWT) wameendelea kuvutana na uongozi wa juu chama hicho wakitaka viongozi kuachia madaraka...

Habari Mchanganyiko

Wafanyabiashara Ubungo wacharuka

MFANYABIASHARA ambaye pia ni Naibu katibu wa Wafanyabiashara kituo kikuu cha mabasi Ubungo jijini Dar es salaam, John Shayo ametangaza kuuburuza mahakamani uongozi...

Habari Mchanganyiko

BAKWATA yampinga “Mtume wa uongo” Pwani

BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) limewataka waumini wake na watanzania wote nchini kumpuuza mtu mmoja aliyejitokeza huko mkoani Pwani, akidai kuwa yeye...

Habari za Siasa

Meya wa jiji atoa siku 12 kwa wakwepa kodi

MEYA wa Jiji la Dar es Salaam, Issaya Mwita ametoa siku 12 kwa wafanyabiashara wasiolipa kodi katika Kituo cha Mabasi yaendayo mikoani cha...

Habari za SiasaTangulizi

Polisi wazidi kuwahenyesha wapinzani

HALI ya kisiasa kwa vyama vya upinzani nchini inazidi kuwa mbaya kutoka na makada wa vyama hivyo kuendelea kukamatwa na kuswekwa rumande na...

Habari Mchanganyiko

Sirro abadilisha makamanda wa polisi

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro, amefanya mabadiliko ya makamanda wa polisi katika maeneo kadhaa, anaandika Catherine Kayombo. Miongoni mwa...

Kimataifa

Viongozi wa mashitaka Uganda wasitisha mgomo

VIONGOZI wa mashitaka nchini Uganda waliogoma wakidai  ongezeko la mishahara wamekubali ombi la serikali la kurejea kazini huku wakati madai yao yakishughulikiwa, anaandika...

Kimataifa

Maseneta wamgomea Trump kuhusu Obama Care

JUHUDI za rais wa Marekani, Donald Trump, kuubadilisha muswada wa afya wa Obamacare zinaelekea kugonga mwamba kufuatia baadhi ya viongozi katika chama cha...

Habari za Siasa

 Lissu amtetea Dk. Mashinji 

MWANASHERIA Mkuu wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia (Chadema) ameikosoa serikali kuhusu namna inavyoshughulikia suala la uchochezi   katika serikali ya awamu ya tano,...

Habari Mchanganyiko

Polisi Dar wakamata watuhumiwa 200

JESHI la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam, limewakamata watuhumiwa mbalimbali wanaojihusisha na makosa mbalimbali ya kiuhalifu yakiwemo makosa ya kutumia madawa ya...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu: Anayebisha Rais Magufuli siyo dikteta hana akili timamu

TUNDU Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amezidi kusisitiza kuwa Rais John Magufuli ni dikteta na anayebisha hana akili...

Habari za Siasa

Vongozi Chadema waachiwa

VICENT Mashinji, Katibu Mkuu wa Chadema, wabunge wawili na viongozi wengine waliokamatwa juzi na Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma leo wameachiwa, anaandika Mwandishi...

Habari za Siasa

Rais Magufuli ashutumiwa na ukabila

TUNDU Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema amemvaa tena Rais John Magufuli na sasa amemshutumu kwa kuendesha nchi kwa misingi ya upendeleo wa kikabila...

Kimataifa

Telegram kudhibiti Magaidi Indonesia

MTANDAO wa kijamii wa Telegram, umeahidi kuwa utafunga akaunti zinazohusiana na ugaidi nchini Indonesia, anaandika Hamisi Mguta. Maamuzi hayo ni kufuatia Wizara ya...

Habari za SiasaKimataifa

Biwott kuzikiwa jeneza lisopitisha risasi

MWANASIASA mkongwe aliyekuwa na nguvu kubwa nchini Kenya, Nicolas Biwott atazikwa kwa kutumia jeneza lililosarifiwa kwa dhahabu na ambalo lina uwezo wa kutopenya...

Habari za Siasa

ADC yamtonya Kubenea kuingilia CUF

CHAMA cha Alliance for Democratic Change (ADC) kimesema kauli za kisiasa zinazoendelea kutolewa na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuhusiana...

Elimu

Tazama matokeo ya kidato cha sita

BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) jana lilitangaza matokeo ya mtihani wa kuhitimu elimu ya sekondari kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita, kama ulikosa...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe awafunda viongozi Chadema

SAA chache baada ya Dkt. Vincent Mashinji, Katibu  Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na wenzake kukamatwa na Polisi kwa mahojiano...

Habari Mchanganyiko

Asilimia 80 ya watanzania wanategemea kilimo

IMEELEZWA asilimia 80 ya watanzania nchini wanategemea kilimo kutokana na watu wengi kuendesha maisha yao ya kila siku na wengine kujipatia kipato kupitia...

Habari za Siasa

Viongozi wa Chadema washikiliwa polisi

DKT. Vincent Mashinji, Katibu  Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) , Mbunge wa Jimbo la Ndanda Cecil Mwambe ambaye pia ni...

Michezo

Taifa Stars yabanwa mbavu nyumbani

TIMU ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imeshindwa kutamba katika uwanja wa nyumbani baada ya kukubali sare ya bao 1-1 dhidi ya Rwanda...

Habari Mchanganyiko

Channel Ten yawekwa kiporo

JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF) limekiweka kiporo kituo cha Televisheni cha Channel Ten kwa kukiuka makubaliano ya kutoandika wala kutangaza habari zinazomuhusu Mkuu...

Habari za SiasaTangulizi

Polisi wavuruga mkutano wa Chadema Mwanza

JESHI la Polisi mkoani Mwanza limevamia ukumbi wa Hill Front Hotel uliopo Igoma, katika Manispaa ya Nyamagana, kuvunja kongamano la vijana lililoandaliwa na...

Habari za Siasa

Sumaye – sasa tunaelekea vijijini

MWENYEKITI wa Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Pwani, Fredrick Sumaye, amesema chama chake kitazunguka nchi nzima kuelimisha wananchi juu ya...

Habari za Siasa

Mrithi wa Anna Mghwira ACT huyu hapa

CHAMA Cha ACT-Wazalendo, kimemtangaza Yeremia Maganja kukaimu nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho, iliyokuwa imeachwa wazi na Anna Mghwira, aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa...

Habari za SiasaTangulizi

Sumaye akemea serikali kunyanyasa wapinzani

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Pwani kimekemea serikali kwa matumizi mabaya ya sheria za nchi dhidi ya viongozi na wanachama...

Habari Mchanganyiko

ACACIA yakubali kuilipa serikali

ACACIA Mining Limited imekubali kuilipa serikali mrabaha wa asilimia sita (6%) baada ya sheria ya madini kubadilishwa, anaandika Victoria Chance. Kampuni hiyo inayomiliki...

Michezo

Yanga yamtangaza mrithi wa Muro

KLABU ya Yanga imemtangaza Dismas Ten kuwa Ofisa habari wa klabu hiyo ambaye anachuku nafasi ya Jerry Muro, anaandika Jovina Patrick. Dismas ambaye...

Habari Mchanganyiko

Risiti za mafuta kaa ya moto kwa vituo

CHRISTINA Mndeme, Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini amevifungia vituo nane vya mafuta visivyofuata sheria za utendaji wilayani hapo ikiwemo kutokuwa na mashine...

Habari za Siasa

Bunge limepoteza sifa yake-Mngwali

RIZIKI Shahari Mngwali, Mbunge wa Mafia- viti maalum kwa tiketi ya Chama cha Wananchi- CUF amesema Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepoteza...

Habari Mchanganyiko

TCRA yavuna Sh. 9.6 bil kutoka kampuni za simu

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imekusanya Sh. 9.6 bilioni kutoka kwa kampuni za simu za mkononi kutokana na faini walizotakiwa kulipa baada ya...

error: Content is protected !!