Wednesday , 8 May 2024

Month: September 2020

Habari za SiasaTangulizi

Lissu, Membe mambo magumu

USHIRIKIANO kati ya Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania Bara kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Bernard Membe wa Chama cha...

Habari za Siasa

Maalim Seif amwita Lissu ampe mbinu za ushindi

MAALIM Seif Sharif Hamad, Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo anataka kukutana na Tundu Lissu, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema ili ampe...

Habari za Siasa

Majaliwa: 28 Oktoba siyo siku ya mzaha

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa amemaliza ziara yake mkoa wa Mara na kuwaeleza wananchi Jumatano tarehe 28...

Habari za SiasaTangulizi

Kumwachia Lissu: Zitto amaliza utata

KAULI aliyoitoa Zitto Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo leo tarehe 22 Septemba 2020, imemaliza utata kwamba, chama hicho hakina jinsi ispokuwa kuungana...

Habari za Siasa

Chanzo ajali ya Chadema hiki hapa

GARI lililowabeba baadhi ya maofisa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kupata ajali katika eneo la Msoka, Kata ya Ngogwa iliyopo...

Habari za Siasa

Lissu amharibia Magufuli Kagera 

TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amemchongea Rais John Magufuli kwa wananchi wa Mkoa wa Kagera,...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo kuanza na mambo 10 Ikulu

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimetaja hatua 10 itakazochukua kuimarisha sekta binafsi na uwekezaji, endapo kitafanikiwa kushika dola. Anaripoti Mwandishi Wetu, Tabora … (endelea).  ...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif amuunga mkono Lissu, Membe na Zitto wasema…

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimetangaza kumuunga mkono Tundu Lissu, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020....

Habari MchanganyikoTangulizi

Fatma Karume: Nimefukuzwa

FATMA Karume, mwanasheria na mwanaharakati wa haki za binadamu nchini, amefukuzwa katika Kampuni ya Uanasheria ya IMMMA aliyoshiriki kuianzisha. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...

Habari Mchanganyiko

Balozi wa Poland aongoza kusafisha ufukwe Kawe

KRZYSZTOF Buzalski, Balozi wa Poland nchini Tanzania ameungana na wadau wa masuala ya usafi, kusafisha ufukwe wa Kawe jijini Dar es Dalaam. Anaripoti...

Michezo

Gundogan akutwa na Corona

KLABU ya Manchester City inayoshiriki Ligi Kuu nchini England imethibitisha kuwa kiungo wake Ilkay Gundogan amekutwa na maambukizi ya virusi vya Corona baada...

Habari za Siasa

Mgombea Chadema Dodoma Mjini ahidi afya, elimu, maji

AISHA Madoga, mgombea ubunge katika Jimbo la Dodoma mjini kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameahidi kuboresha sekta ya elimu, afya na...

Habari za Siasa

Mgombea udiwani aahidi ujenzi Daraja la Nzuguni

ALOYCE Luhega, mgombea udiwani wa Kata ya Nzuguni, jijini Dodoma kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameahidi kusimamia ujenzi wa daraja linalounganisha Nzuguni C...

Michezo

Karia ruksa kuwania uongozi FIFA

KAMATI ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imeidhinisha kuwa rais wa sasa wa shirikisho hilo, Wallace Karia kugombea ujumbe...

Habari za Siasa

JPM ampinga Lissu, asema ‘tusijaribu’

MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amewataka Watanzania kutomchagua mgombea anayehubiri Serikali za Majimbo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Tabora …...

Habari za Siasa

Kasubi ataja vipaumbele akichaguliwa Mzimuni

BAKAR Kasubi, mgombea Udiwani wa Mzimuni Kinondoni, jijini Dar es  Salaam amawaeleza wananchi wa kata hiyo endapo watamchagua atahakikisha wananchi wanapata asilimia 10...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu apata kigugumizi Kigoma Mjini, kisa Zitto

TUNDU Lissu, mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amewaacha njia panda wanachama wa chama hicho Jimbo la Kigoma Mjini. Anaripoti...

Habari za Siasa

Bashange ampigia chapuo Kubenea Kinondoni

JORAN Bashange, Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama cha ACT-Wazalendo, amewataka wananchi wa jimbo la Kinondoni jijini Dar es Salaam pamoja na Kata...

Habari Mchanganyiko

Bilioni 60 zinavyoiboresha Moshi

SERIKALI ya Tanzania, imetumia zaidi ya Sh.60 bilioni kugharamia miradi ya mbalimbali ya maendeleo Manispaa ya Moshi Mkoa wa Kilimanjaro. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)....

Michezo

Yanga yatamba mbele ya Kagera

KLABU ya soka ya Yanga imefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi Kagera Sugar kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa...

Habari za SiasaTangulizi

ZEC yawaengua wagombea 15 Uwakilishi, 11 wa ACT-Wazalendo

TUME ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imewaengua wagombea 15 wa uwakilishi na saba wa udiwani, kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kukiuka masharti ya ujazaji...

Habari za Siasa

NEC yazungumzia Magufuli, Lissu kukutana Kigoma

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania imesema, kugongana kwa Tundu Lissu, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

Habari za Siasa

Lissu, Magufuli kukutana Kigoma

TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia chama kikuu cha upinzani nchini humo Chadema watakuwa Mkoa mmoja wa Kigoma na Rais John Magufuli....

Habari

Walichozungumza Rais Magufuli, Ndayishimiye Kigoma

MARAIS John Pombe Magufuli wa Tanzania na Evariste Ndayishimiye wa Burundi wamesema, ushirikiano baina ya mataifa hayo yanayounda Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)...

Habari za Siasa

Rais wa Burundi atua Kigoma, JPM ampokea

EVARISTE Ndayishimiye, Rais wa Burundi amewasili mkoani Kigoma nchini Tanzania katika ziara ya kiserikali ya siku moja. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kigoma … (endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

NEC yaamua rufaa 616, CCM yakusanya majimbo 20

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imetoa mchanganuo wa rufaa 616 za Ubunge, Udiwani na malalamiko jinsi walivyozishughulikia huku wagombea ubunge...

Habari Mchanganyiko

Ofisa Chadema apandishwa Kizimbani

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imewasomea mashtaka watu wawili kwa kosa la kuchapisha maudhui mtandaoni bila leseni kutoka Mamlaka...

Habari za Siasa

Jacob ajinadi Ubungo, agusia ushirikiano Chadema na ACT-Wazalendo

BONIFACE Jacob, Mgombea Ubunge wa Ubungo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amesema, wako tayari kuachiana maeneo ya uchaguzi, kama watapata maelekezo...

Habari Mchanganyiko

Mahakama yawahukumu kunyongwa waliomuua Dk. Mvungi

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, imewahukumu kifo, watu watano waliopatikana na hatia ya kumuuwa kwa makusudi, Dk. Sengodo Mvungi,...

Habari za Siasa

Chadema: Hatumchukii Magufuli, ila…

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), nchini Tanzania, kimeeleza hakina tatizo na Rais John Magufuli, mgombea urais wa nchi hiyo kupitia Chama Cha...

Habari za Siasa

Maalim Seif: Hakuweza Nyerere, itakuwa Polepole?

MAALIM Seif Sharif Hamad, mgombea urais visiwani Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo amesema, Humphrey Polepole, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha...

Habari za Siasa

Magufuli alia na CCM Kigoma

JOHN Pombe Magufuli, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020 amesema, kinachoimaliza...

Michezo

Tuisenge arejea APR, asaini miaka miwili

MSHAMBULIAJI raia wa Rwanda Jacque Tuisenge amesaini miaka miwili kuitumikia klabu ya Apr inayoshiriki Ligi Kuu nchini humo akitokea klabu ya Petro Luanda...

Habari za Siasa

Magufuli awashangaa wanaompinga Dk. Mpango jimboni

MGOMBEA urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), RAIS John Pombe Magufuli amewashangaa watu wanaompinga Dk. Phillip Mpango katika Jimbo la Buhigwe...

Habari za Siasa

Zitto, Kubenea wamwaga sumu Mafia

ZITTO Zuberi Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo na Saed Kubenea, mgombea ubunge wa Kinondoni, jijini Dar es Salaam, wameongoza mashambulizi dhidi ya...

Habari Mchanganyiko

Maonyesho uchimbaji madini yaanza Geita, GGML yadhamini

MAONYESHO ya tatu ya teknolojia za uchimbaji madini mkoani Geita yanayofanyika kati ya tarehe 17 hadi 27 Septemba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Geita...

Habari za Siasa

Zitto: Akifika kwetu, anaonesha ubaguzi

AKIFIKA kwenye majimbo yanaoongozwa na wapinzani, anasema “mmechelewa kwa sababu mlichagua wapinzani.” Anaripoti Mwandishi Wetu, Mafia … (endelea). Ni kauli ya Zitto Kabwe,...

Habari za Siasa

EP4R yanufaisha shule 28 Bariadi

SHULE 28 za wilaya ya Bariadi Mkoa wa Simiyu zikiwemo 11 za msingi na 17 za sekondari zimenufaika na mfumo wa uboreshaji wa...

Habari za Siasa

Maalim Seif agusa mtima wa Wazanzibari

UHURU wa kiuchumi kwa Wazanzibari kupitia zao la Karafuu, sasa utapatiwa ufumbuzi kwa wakulima kuuza kokote watakapo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zamzibar … (endelea)....

Habari za Siasa

Mgombea urais NCCR-Mageuzi kugawa bure taulo za kike shuleni

YEREMIA Kulwa Maganja, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha NCCR-Mageuzi, ameahidi kugawa taulo za kike ‘Pad’ bure katika shule zote, atakapofanikiwa kushinda...

Habari za Siasa

Chadema kuwafuta machozi watumishi wa umma

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania kimeahidi kulipa malimbikizo ya madeni ya watumishi wa umma pamoja na kuwaongezea mishahara. Anaripoti Mwandishi...

Michezo

Ligi Kuu kuendelea kuwasha moto kesho

MICHEZO ya Ligi Kuu Tanzania Bara kuendelea wikiendi hii kwa kuchezwa jumla ya mechi tisa, zitakazo chezwa katika viwanja tofauti tofauti, huku mabingwa...

Habari Mchanganyiko

Msaidizi wa Membe anashikiliwa polisi tuhuma za utakatishaji fedha

JEROME Luanda, Msaidizi wa Bernard Membe, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT-Wazalendo anashikiliwa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es...

Habari za Siasa

Magufuli avunja ukimya fedha tetemeko Kagera

MGOMBEA Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais John Pombe Magufuli amezungumzia madai ya Serikali kutafuna fedha zilizochangwa na wahisani kwa...

Michezo

40 kuingia kambini kuivaa Senegal

JUMLA ya wachezaji 40 wa kikosi cha timu ya Taifa ya Wanawake chini ya umri wa miaka 20, Tanzanite Queen kinatarajia kuingia kambini...

Michezo

Yanga yatua Kagera

KIKOSI cha Yanga kimetua kwenye Uwanja wa ndege wa Bukoba mapema hii leo asubuhi tayari kwa mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Kagera...

Habari za Siasa

Kubenea kumaliza tatizo la takataka Kinondoni

SAED Kubenea, mgombea ubunge Kinondoni kupitia Act-Wazalendo ameahidi kumaliza changomoto ya uchafuzi wa mazingira kwa kuanzisha kiwanda kitachochakata takataka kuwa mbolea. Anaripori Faki...

Habari za SiasaTangulizi

Uchaguzi Mkuu 2020: Serikali haipaswi kufanya haya

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imebainisha mambo matatu yasiyopaswa kufanywa na Serikali wakati wa Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28...

Michezo

KCB yamwaga mamilioni Ligi Kuu

BENKI ya KCB imeingia mkataba wa mwaka mmoja na shirikisho la mpira wa miguu Tanzania ‘TFF’ wenye thamani ya Tsh 500 Milioni kwa...

Habari Mchanganyiko

Watumishi 24 watunukiwa vyeti mafunzo teknolojia ya 5G

KATIBU Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Dk. Zainabu Chaula amesema, jitihaza zinapaswa kufanyika ili kuhakikisha kujifunza maarafi na ujuzi wa kisasa...

error: Content is protected !!