Friday , 19 April 2024
Home Gazeti Habari za Siasa NEC yaamua rufaa 616, CCM yakusanya majimbo 20
Habari za SiasaTangulizi

NEC yaamua rufaa 616, CCM yakusanya majimbo 20

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Dk. Wilson Mahera
Spread the love

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imetoa mchanganuo wa rufaa 616 za Ubunge, Udiwani na malalamiko jinsi walivyozishughulikia huku wagombea ubunge 20 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakipita bila kupigwa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). 

Jumla ya majimbo ya Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020 ni 264.

Kati ya majimbo hayo 214 ni ya Tanzania Bara na 50 Zanzibar.

Hii ina maana kwamba, majimbo yanayofanya uchaguzi mkuu ni 244.

Taarifa ya Mkurugenzi wa Uchaguzi, Dk. Wilson Mahera aliyoitoa leo Ijumaa tarehe 18 Septemba 2020 inafafanua kwa kina rufaa hizo:-

2 Comments

  • Maalim Seif Sharif Hamad hafai kuiongoza Zanzibar hivyo akae ajipumzikie kwani si yeye tu anayefaa kugombea urais wa Zanzibar miaka yote! Zanzibar bila seif inwezekana!

  • Dr. Mangi.
    Wewe mchaga kwenu Moshi. Ya Zanzibar yanakuhusu nini? Tuachie nchi yetu au kuna jambo una wasiwasi nalo? Hakika anaeng’ang’ania kutawala Zanzibar ni ccm hujiulizi kwanini?
    Safari wazanzibari wote bila ya kujali vyama tunataka Rais Mzanzibari sio kutoka Bara. Na tushampata Maalim Seif. Tulieni pambaneni wenyewe huko. Lakini znz ni Maalim Seif. This is freedom Zanzibar.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari za Siasa

CCM yakemea ufisadi, yaipa kibarua TAKUKURU

Spread the love  CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimekemea vitendo vya ubadhirifu wa...

Habari za Siasa

Bajeti ya Ikulu 2024/25 kuongezeka, bunge laombwa kurudhia Sh. 1.1 trilioni

Spread the love  WIZARA ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa...

KimataifaTangulizi

Mkuu wa majeshi Kenya afariki, Ruto atangaza maombolezo

Spread the loveRais wa Kenya, William Ruto ametangaza maombezo ya siku tatu...

Habari za SiasaTangulizi

Tanzania, Uturuki zanuia kukuza biashara, uwekezaji

Spread the loveSERIKALI za Tanzania na Uturuki zimekubaliana kuendeleza dhamira ya kuimarisha...

error: Content is protected !!