UCHAFUZI uliofanywa na wasimamizi wa uchaguzi wa serikali za mitaa, umelifikisha taifa njia panda. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Kauli mbalimbali zinazoashiria kuharibika kwa uchaguzi...
By Mwandishi WetuNovember 11, 2019SIKU moja baada ya Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazakendo kusema ‘tusilaumiane’, kauli hiyo imerejewa na wazee wa chama hicho. Anaripoti...
By Faki SosiNovember 10, 2019JOB Ndugai, Spika wa Bunge amezitaka Asasi za Kiraia nchini (AZAKI) kufanya shughuli zao walizosajiliwa na kuachana na masuala ya siasa, kwani wenyewe...
By Mwandishi WetuNovember 9, 2019CHAMA cha Wananchi (CUF) kimesema kitafanya kikao, kwa ajili ya kujadili ushiriki wake katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, unaotarajia kufanyika tarehe 24...
By Regina MkondeNovember 9, 2019CHAMA cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), kimetangaza kutoshiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Anaripoti Kelvin Mwaipungu … (endelea). Uamuzi huo umetangazwa leo tarehe...
By Kelvin MwaipunguNovember 9, 2019FREEMAN Mbowe Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, kuwa ametoa maelezo...
By Faki SosiNovember 9, 2019VYAMA 11 visivyo na uwakilishi bungeni, vimeeleza mahali viliposimamisha wagombea wake, wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Maelezo...
By Regina MkondeNovember 9, 2019WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Kampeni ya Linda ardhi...
By Christina HauleNovember 8, 2019ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, amekiondoa chama hicho kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajia kufanyika tarehe 24 Novemba, 2019....
By Kelvin MwaipunguNovember 8, 2019WATANZANIA wamewatakiwa kuwa na utaratibu wa kupima presha ya macho angalau mara moja kwa mwaka, pia kufika hospitali kupata matibabu ya macho kwa...
By Masalu ErastoNovember 8, 2019FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam kwamba anamshangaa Rais...
By Faki SosiNovember 8, 2019VYAMA vya Siasa 11 visivyokuwa na uwakilishi bungeni, vimetangaza kushiriki uchaguzi Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Vyama hivyo ni...
By Mwandishi WetuNovember 8, 2019RAIS John Magufuli, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) amesema, uhuru wa kisiasa hauna maana kama nchi za Afrika zitaendelea...
By Regina MkondeNovember 8, 2019UKAKASI, hujuma na mbinu chafu zinazofanywa na wasimamizi wa uchaguzi wa serikali za mitaa, zinaelekea kuvuruga maana ya uchaguzi huo. Anaripoti Faki Sosi …...
By Faki SosiNovember 8, 2019KAMATI Kuu (CC) ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimewaamuru wanachama, viongozi na wafuasi wake, kujiondoa katika mchakato wa uchaguzi wa serikali...
By Danson KaijageNovember 7, 2019HUMPHREY Polepole, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amesema kinachowatesa vyama vya upinzani nchini ni uchaguzi kuugeuza sherehe badala ya kufuata...
By Kelvin MwaipunguNovember 7, 2019WAKATI Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema, kikijifungia leo tarehe 7 Novemba 2019, kikijadili mikiki inayokumbana nayo kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa,...
By Kelvin MwaipunguNovember 7, 2019KAMATI ya Utendaji ya Klabu ya Yanga, imeivunja Kamati ya Mashindano ya klabu hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kwa mujibu wa taarifa...
By Mwandishi WetuNovember 7, 2019NAPE Nnauye, Mbunge wa Mtama mkoani Lindi, mara kadhaa aandikapo kwenye ukuraswa wake wa twitter, ujumbe wake huzua mjadala na kurejelea kauli yake...
By Mwandishi WetuNovember 7, 2019MCHUNGAJI Peter Msigwa, Mbunge wa Iringa Mjini ameanzisha upya mjadala wa wizi wa kura, wakati wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015. Anaripoti Mwandishi Wetu...
By Mwandishi WetuNovember 7, 2019MWALIMU Mohamed Utaly, Mkuu wa Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro, amewataka wavunaji wa misitu, wabebaji na wauzaji wa mkaa kwenye pikipiki na fuso...
By Christina HauleNovember 6, 2019HUJUMA zinazofanywa na wasimamizi wa uchaguzi wa serikali za mitaa, zimetua bungeni. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Baadhi ya wabunge leo tarehe 5 Novemba...
By Mwandishi WetuNovember 6, 2019OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa, imetoa siku sita kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kuwasilisha ratiba ya mkutano mkuu. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuNovember 6, 2019MIKASA katika uchukuaji na urejeshaji fomu imetamalaki katika maeneo mbalimbali nchini, viongozi wa upinzani sasa wanaelekeza kilio cha kwa serikali. Anaripoti Regina Mkonde …...
By Regina MkondeNovember 6, 2019MWINYI Zahera, aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga, ametoa hadharani siku moja baada ya kufutwa kazi katika klabu hiyo, na kudai kuwa Mwenyekiti wa...
By Regina MkondeNovember 6, 2019UONGOZI wa Klabu ya Yanga umetangaza kuachana na kocha wake, Mwinyi Zahera baada ya kuondolewa kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika hizi...
By Kelvin MwaipunguNovember 5, 2019KITUO cha Radio cha Wasafi kimezidi kuibomoa East Afrika Radio baada ya kuwang’oa watangazaji wengine watatu ambao wamejiunga na radio yao hivi karibuni....
By Kelvin MwaipunguNovember 5, 2019KUSHAMIRI kwa vituko, ghiliba na mikasa ya kuogofya, kwenye zoezi la uchukuaji fomu za kugombea katika uchaguzi wa serikali za mitaa, kumeisukuma Chadema...
By Kelvin MwaipunguNovember 5, 2019SERIKALI imesema, imeajiri watu 184141, kuanzia mwaka 2015 hadi 2019. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Takwimu hizo zimetolewa leo tarehe 5 Novemba 2019,...
By Regina MkondeNovember 5, 2019MAALIM Seif Shariff Hamad, anaendelea kukaza ‘msuli’ dhamira yake ya kuichomoa Zanzibar katika mikono ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Jabir Idrisa, Zanzibar…(endelea). Mwansiasa...
By Jabir IdrissaNovember 5, 2019NOVEMBA 4, 2019 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba akiongozwa na Wakili Peter Kibatala, Freeman Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema alianza...
By Faki SosiNovember 5, 2019SHEKANDI Ashery Mkombola (44), Mchungaji wa Kanisa la Aglikana, lililopo katika Kijiji cha Chinyika, Mpwapwa jijini Dodoma, na watu wengine 21 wanatuhumiwa kukutwa...
By Danson KaijageNovember 5, 2019KIWANGO cha posho wanacholipwa Wenyeviti wa Serikali za Mitaa nchini, kimezua mjadala bungeni. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Mjadala huo ulianza baada ya Hassani...
By Mwandishi WetuNovember 5, 2019PROFESA Mussa Assad, aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG), anatarajiwa kukabidhi ofisi leo tarehe 5 Novemba 2019. Anaripoti Mwandishi Wetu …...
By Mwandishi WetuNovember 5, 2019OFISI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ni chafu, hivyo Charles Kichere nenda kaisafishe. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea)....
By Regina MkondeNovember 4, 2019UTEUZI wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), umefanyika huku, Prof. Mussa Assad akiwa hajui lolote. Anaripoti Regina Mkonde …...
By Regina MkondeNovember 4, 2019RIPOTI ya Shirika la Utafiti la Afrika Mashariki la Twaweza, inaonesha kwamba uhuru wa watu kujieleza, umeporomoka katika nchi za ukanda huo. Anaripoti...
By Mwandishi WetuNovember 3, 2019RAIS John Magufuli amemteua Charles Kichere, kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). Anaandika Mwandishi Wetu…(endelea). Uteuzi huo umetangazwa leo...
By Mwandishi WetuNovember 3, 2019RAIS John Magufuli amemuelekeza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Suleman Jafo kufanya mabadiliko kwenye...
By Faki SosiNovember 3, 2019PROFESA Mussa Assad, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), amewekwa kando na sasa Charles Kichere ameteuliwa kuchukua nafasi hiyo. Anaripoti...
By Faki SosiNovember 3, 2019SHIRIKA lisilo la kiserikali linalojihusisha na utafiti la Twaweza, limedai kuwa limelazimika kufuta mkutano wake na waandishi wa habari, uliolenga kutoa tathimini ya hali...
By Mwandishi WetuNovember 3, 2019WAKALA wa Usalama na Afya Mahala Pa Kazi (OSHA) umesema uko katika mkakati wa kuwafikia wajasiriamali, wanaofanya kazi katika mazingira hatarishi. Anaripoti Regina...
By Regina MkondeNovember 2, 2019BARAZA la Habari Tanzania (MCT), limeitaka serikali kuhakikisha wanahabari wanatekeleza majukumu yao kwa uhuru. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Wito huo umetolewa na...
By Mwandishi WetuNovember 2, 2019ALIYEKUWA Katibu wa Chama cha Riadha Tanznia (RT), Wilhelim Gidabuday amejiuzuru nafasi yake kwenye shirikisho hilo baada ya kushaulina na kukubaliana na kamati...
By Kelvin MwaipunguNovember 2, 2019SERIKALI wilayani Mvomero mkoani Morogoro imesema, itashughulikia mtu yeyote ambaye atathubutu kuwarejesha nyuma kwenye mapigano ya wakulima na wafugaji ambayo wameshayasahau. Anaripoti Christina...
By Christina HauleNovember 1, 2019CHAMA cha ACT-Wazalendo kimewataka viongozi wa dini na viongozi wa serikali waliostaafu kukemea hujuma zinazojitokea katika uchaguzi Serikali za Mitaa kwani zinaweza kusababisha...
By Faki SosiNovember 1, 2019TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi na wadau mbalimbali wa kupinga rushwa nchini imezindua...
By Hamisi MgutaNovember 1, 2019EWURA kwa kushirikiana na Wizara ya Nishati na Madini iliandaa Mfumo wa Uagizaji wa Pamoja (BPS) wa mafuta nchini, Utafiti wa UDSM, Aprili...
By Danson KaijageNovember 1, 2019MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, Simon Sirro amesema kijana aliyefahamika kwa jina moja la Shaban, atakamatwa na kuchukuliwa hatua za kisheria ikiwemo...
By Kelvin MwaipunguNovember 1, 2019BENEDICT Ishabakaki, Mwanasheria wa Idris Sultan, mshindi wa Shindano la Big Brother 2014, amesema mchekeshaji huyo anatuhumiwa kwa kosa la kusambaza habari za...
By Mwandishi WetuNovember 1, 2019