Categorizing posts based on content
RAIS wa Urusi, Vladimir Putin amempa uraia kachero na mhandisi wa zamani wa Marekani, Edward Snowden, ambaye tangu mwaka 2020 amekuwa mkaazi...
By Mwandishi WetuSeptember 27, 2022SERIKALI imepongeza shule ambazo hazina kawaida ya kuchuja wanafunzi unapofikia muda wa mitihani ya kitaifa iiwemo St Anne Marie Academy . Mwandishi...
By Mwandishi WetuSeptember 26, 2022RAIS wa Benki ya Dunia, David Malpass amesema kwamba hatajiuzulu kutokana ukosoaji dhidi ya matamshi yake aliyoyatoa kuhusiana na mabadiliko ya tabianchi....
By Mwandishi WetuSeptember 24, 2022INAELEZWA kuwa kuna mzozo wa kwa nchi wanachama wa SCO unatokana na kuteteleka na kushindwa kufanya mkutano wa pamoja wa kujadili tishio...
By Mwandishi MaalumSeptember 24, 2022BENKI ya NMB imetoa udhamini wa Sh. milioni 25 kwa Mashindano ya Gofu ya Mkuu wa Majeshi Tanzania (NMB CDF Trophy 2022), kama...
By Gabriel MushiSeptember 22, 2022IKIWA kawa sasa Ligi Kuu Tanzania Bara, imesimama kwa baadhi ya timu ili kupisha michezo ya kimataifa kwenye kalenda ya Shirikisho la...
By Masalu ErastoSeptember 22, 2022MSHAMBULIAJI wa klabu ya Yanga, Fiston Kalala Mayele ameonekana kutokuwa na wasiwasi na mchezo ujao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya...
By Masalu ErastoSeptember 22, 2022CHUO Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki (HKMU), kimeingia makubaliano na Chuo Kikuu cha Western Kentucky cha Marekani (WKU) kwa ajili ya...
By Mwandishi WetuSeptember 21, 2022KILA mtu ana kipaji chake alichozaliwa nacho hapa duniani. Shida tunayokutana nayo ni namna ya kukivumbua kipaji hicho ili kiwe sehemu ya maisha...
By Gabriel MushiSeptember 21, 2022MSANII maarufu wa muziki wa Pop, Netta amemshirikisha staa mkubwa wa muziki wa Nigeria, Mr Eazi katika ngoma mpya ya Playground Politica ambayo...
By Gabriel MushiSeptember 21, 2022WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mashindano ya mbio za NMB Marathon 2022 yanayotarajiwa kufanyika Oktoba mosi katika viwanja vya...
By Gabriel MushiSeptember 21, 2022WAKATI vyombo vya habari vikiripoti kuwa nchi ya Saudi Arabia ipo kwenye maandalizi ya kumpokea Rais wa China Xi Jinping, Waziri wa Mambo...
By Mwandishi WetuSeptember 21, 2022CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimesema mwitikio wa wadau mbalimbali kuchangia ujenzi wa mabweni ya wasichana katika kampasi yake mkoani Mbeya...
By Mwandishi WetuSeptember 21, 2022HATIMAYE majaji sita ambao walikuwa wameteuliwa na Tume ya Huduma za Mahakama (JSC) nchini Kenya mwaka 2019 na majina yao kukataliwa na...
By Masalu ErastoSeptember 14, 2022SERIKALI imeagiza maofisa elimu katika halmashauri zote nchini kusimamia na kutekeleza ipasavyo muongozo wa kuwarejesha shuleni wanafunzi walioacha au kukatishwa masomo kwa...
By Masalu ErastoSeptember 14, 2022WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu amesema jumla ya watoto 14,690,597 wametiwa huduma ya chanjo ya polio ya matone sawa na asilimia 118.6...
By Masalu ErastoSeptember 14, 2022MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Philip Mpango amezitaka mamlaka za udhibiti kukomesha matumizi ya dawa zisizofaa katika...
By Mwandishi WetuSeptember 13, 2022SAA chache baada ya kuapishwa kuwa Rais wa tano wa Kenya, Dk. William Ruto ameonekana kuanza kazi kwa kasi ya ajabu, baada...
By Mwandishi WetuSeptember 13, 2022SERIKALI imesema licha ya kuwepo kwa idadi kubwa wa wachezaji wa kigeni katika Ligi Kuu Bara, itaendelea kulishauri Shirikisho la Mpira wa...
By Mwandishi WetuSeptember 13, 2022Mfalme wa Uingereza Charles amelihutubia bunge la Uingereza kwa mara ya kwanza kama kiongozi wa ufalme. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Alitoa hotuba...
By Gabriel MushiSeptember 12, 2022RAIS mteule William Ruto leo Jumatatu tarehe 12 Septemba, 2022, amekutana na rais anayeondoka madarakani Uhuru Kenyatta katika Ikulu ya Rais Jijini Nairobi....
By Gabriel MushiSeptember 12, 2022SERIKALI imempongeza Mbunge wa Bukoba Vijijini (CCM), Dk. Jasson Rweikiza kwa kuwekeza kwenye elimu na kusaidia jitihada za serikali kuboresha sekta hiyo...
By Kelvin MwaipunguSeptember 11, 2022WAKATI dunia ikiomboleza kifo cha Malkia Elizabeth II wa Uingereza, watumiaji wa mtandao wa Twitter wameibua Tweet ya mganga mmoja matata aliyebashiri...
By Masalu ErastoSeptember 10, 2022WATANI wa jadi Simba na Yanga wameanza vema kuipeperusha bendera ya Tanzania kimataifa baada ya kuibuka na ushindi mnono ugenini katika raundi ya...
By Mwandishi WetuSeptember 10, 2022BARAZA la Kukabidhi Mamlaka la Uingereza, limetangaza rasmi mtoto wa kwanza wa Malkia Elizabeth II, Charles Philip Arthur George, kuwa mfalme wa...
By Mwandishi WetuSeptember 10, 2022MATAJIRI wa madini, Klabu ya Geita Gold kesho wanatarajia kurusha karata yao ya kwanza katika michuano ya kimataifa kwenye Kombe la Shirikisho Barani...
By Mwandishi WetuSeptember 10, 2022MARA tu baada ya kifo cha Malkia Elizabeth II, kiti cha ufalme kinapitishwa mara moja bila sherehe yoyote kwa mrithi wake ambaye...
By Mwandishi WetuSeptember 9, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha aliyekuwa kiongozi wa kimila nchini Uingereza, Malkia Elizabeth II....
By Regina MkondeSeptember 9, 2022MAKUNDI ya wafuasi wa Dini ya Kiislam na wafanyabiashara nchini Pakistani wameandamana kupinga watuhumiwa wa makosa ya kumdhihaki Mtume Muhammad (S.A.W) ‘kufuru’ jijini...
By Gabriel MushiSeptember 9, 2022MALKIA Elizabeth II aliyehudumu kwa muda mrefu zaidi nchini Uingereza, amefariki dunia leo Alhamis nyumbani kwake Balmoral akiwa na umri wa miaka 96...
By Mwandishi WetuSeptember 8, 2022Klabu ya Soka ya Simba imemtangaza Juma Mgunda kuwa kocha wa muda wa klabu hiyo atakayesaidiana na Seleman Matola, kuelekea mchezo wa...
By Kelvin MwaipunguSeptember 8, 2022RAIS wa Burundi, Evariste Ndayishimiye leo Jumatano amemfuta kazi waziri wake mkuu Alain Guillaume Bunyoni baada ya kuonya kwamba kulikuwa na mpango wa...
By Gabriel MushiSeptember 7, 2022HATIMAYE Rais mteule wa Kenya, Dk. William Ruto leo Jumatano amezungumza na Rais Uhuru Kenyatta wa taifa hilo anayemaliza muda wake madarani. Wawili...
By Gabriel MushiSeptember 7, 2022LIZ Truss anatarajiwa kuchukua nafasi ya Boris Johnson kama Waziri Mkuu wa Uingereza leo tarehe 6 Septemba, 2022 atakapokwenda kumuona Malkia Elizabeth huko...
By Gabriel MushiSeptember 6, 2022KLABU ya Soka ya Simba SC. imemtimua Kocha Mkuu wa kikosi cha timu hiyo, Zoran Maki baada ya kufikia makubaliano ya pande zote...
By Gabriel MushiSeptember 6, 2022MATAJIRI wa jiji la Dar es Salaam kutoka Chamazi – Timu ya soka ya Azam FC baada ya kuanza msimu mpya wa Ligi...
By Gabriel MushiSeptember 6, 2022RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta amevunja ukimya kwa kishindo cha aina yake tangu kukamilika kwa Uchaguzi Mkuu wa 2022 baada ya jana tarehe...
By Gabriel MushiSeptember 6, 2022RAIS mteule wa Kenya, William Ruto anatarajiwa kuapishwa Jumanne, tarehe 13 Septemba, 2022. Hii ni baada ya Mahakama ya Juu Milimani kutupilia mbali...
By Gabriel MushiSeptember 6, 2022ALIYEKUWA mgombea kiti cha Urais wa Kenya, Raila Odinga, pamoja na mgombea mwenza wake, Martha Karua, wamesema wanaheshimu maoni ya Mahakama ya Juu...
By Mwandishi WetuSeptember 5, 2022MAJAJI saba wa Mahakama ya Juu nchini Kenya wametoa uamuzi wa pamoja wa kutupilia mbali kesi ya kupinga ushindi wa Rais Mteule...
By Mwandishi WetuSeptember 5, 2022LEO Jumatatu tarehe 5 Septemba, 2022 Mahakama ya Juu ya Milimani ya Kenya inatarajiwa kutoa maamuzi yake kuhusu kesi ya urais iliyosikilizwa...
By Mwandishi WetuSeptember 5, 2022LEO Jumatatu tarehe 5 Septemba, 2022 Mahakama ya Juu ya Milimani ya Kenya inatarajiwa kutoa maamuzi yake kuhusu kesi ya urais iliyosikilizwa kuanzia...
By Gabriel MushiSeptember 5, 2022SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) limesema uuzaji wa bia hautaruhusiwa ndani ya uwanja wakati mechi ikiwa inaendelea isipokuwa kwa masharti maalumu...
By Gabriel MushiSeptember 4, 2022Timu ya Soka ya wanawake ya Simba (Simba Queens) leo Septemba 2 2022 imepewa basi na kampuni ya uuzaji wa magari ya...
By Masalu ErastoSeptember 2, 2022CHUO Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), kupitia Ndaki ya Sayansi Tumizi na Sayansi Asili (CoNAS), kimewezesha wanafunzi 16 waliohitimu masomo ya ualimu...
By Masalu ErastoSeptember 2, 2022UBALOZI wa Marekani nchini Kenya umewataka raia wake kuchukua tahadhari kubwa nchini humo wakati huu ambapo , mahakama ya juu inatarajiwa kutoa...
By Mwandishi WetuSeptember 2, 2022KESI ya kupinga uchaguzi wa rais mteule William Ruto katika mahakama ya Juu nchini Kenya leo Ijumaa tarehe 2 Septemba, 2022, imeingia...
By Mwandishi WetuSeptember 2, 2022WAZIRI wa Afya Ummy Mwalimu ameagiza wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya nchini kusimamia kikamilifu utekelezaji wa kampeni ya chanjo ya...
By Mwandishi WetuSeptember 1, 2022WACHEZAJI wa kimataifa Tuisila Kisinda pamoja na nyota kutoka Burundi Saido Ntibanzokiza wameng’ara dakika za mwisho wakati wa kufungwa kwa dirisha la...
By Kelvin MwaipunguSeptember 1, 2022MAHAKAMA ya Juu nchini Kenya leo Jumanne tarehe 30, Agosti, 2022, imeamuru Tume ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kumpa mgombea urais wa Muungano...
By Mwandishi WetuAugust 30, 2022