Categorizing posts based on content
KATIKA kuuunga mkono juhudi za Serikali kuwainua vijana kupitia mradi wa kuwawezesha kulima, kuvua na kufuga kibiashara (BBT), Benki ya NMB imetenga jumla...
By Gabriel MushiAugust 3, 2023RAIA wa Ukraine takribani 10,749, wamefariki dunia huku 15,599 wakijeruhiwa katika vita inayoendelea nchini humo. Anaripoti Mlelwa Kiwale, TUDARCo kwa msaada wa...
By Mwandishi WetuAugust 3, 2023RAIS wa zamani wa Marekani, Donald Trump ameshtakiwa mara ya tatu ndani ya miezi minne iliyopita, sasa anatuhumiwa kula njama ya kutaka...
By Mwandishi WetuAugust 2, 2023BENKI ya NMB imetambuliwa na kupokea tuzo tatu za kimataifa ambazo ni Benki Bora Tanzania 2023, benki bora ya wateja maalum kutoka...
By Mwandishi WetuAugust 2, 2023MCHUNGAJI Paul Mackenzie na washtakiwa wenzake 29 wamesababisha vurugu katika Mahakama ya Shanzu wakipinga ombi la upande wa mashtaka kwa mahakama kutaka watuhumiwa...
By Mwandishi WetuAugust 2, 2023CHAPA ya simu mahiri inayoongoza kwa ubora Infinix Mobile LTD imegonga vichwa vya habari wiki hii baada ya Infinix NOTE 30 kushinda...
By Mwandishi WetuAugust 2, 2023MHASIBU wa kiwanda cha kuzalisha mafuta ya kula ya alizeti – Malaika Sunflower Oil, Ester Lumambo amewashauri wakulima wa mazao ya alizeti nchini...
By Mwandishi WetuAugust 1, 2023RAIS wa Kenya, William Ruto amemtimua Waziri wa Biashara, Moses Kuria na mwenzake wa Usalama wa Ndani Kithuri Kindiki baada ya kuchelewa kwenye...
By Mwandishi WetuAugust 1, 2023HOSPITALI ya Taifa Muhimbili Mloganzila imesema hadi sasa imetoa huduma ya kupunguza uzito kwa watu 128 wenye uzito uliopitiliza kwa kutumia puto maalum...
By Mwandishi WetuAugust 1, 2023Uongozi mpya wa kijeshi nchini Niger umeituhumu Ufaransa kutaka kuingilia kati kijeshi ili kumrejesha madarakani Rais aliyeng’olewa Mohammed Bazoum. Anaripoti Mariam Mudhihiri kwa...
By Mwandishi WetuAugust 1, 2023BAADA ya Serikali kutangaza gharama za ukarabati wa Uwanja wa Benjamin Mkapa zilizokadiriwa kufikia shilingi bilioni 31, baadhi ya wadau wa michezo...
By Mwandishi MaalumJuly 31, 2023RAIS mstaafu wa Nigeria, Olusegun Obasanjo ataongoza kamati ya watu 10 katika mazungumzo kati ya Rais wa Kenya, William Ruto na kiongozi wa...
By Mwandishi WetuJuly 30, 2023Kampuni ya Uzalishaji Vinywaji Vikali ya East African Spirits (T) Limited (EASTL) Shinyanga inayotengeneza vinywaji vya Diamond Rock na Hanson’s Choice imetambulisha rasmi...
By Mwandishi WetuJuly 30, 2023BENKI ya NMB imeshiriki katika utatuzi wa changamoto za afya na elimu kwa kutoa michango muhimu katika kuimarisha huduma hizo kwenye maeneo mbalimbali...
By Mwandishi WetuJuly 27, 2023WAFANYABIASHARA pamoja na watuaji wa nguo za mitumba nchini Kenya, wameitaka serikali nchi hiyo kusitisha mpango wake wa kupiga marufuku wa uingizwaji wa...
By Mwandishi WetuJuly 27, 2023MKUTANO wa kilele kati ya Urusi na Afrika unaanza leo Alhamisi, ambapo Rais wa nchi hiyo, Vladmir Putin anapanga kuimarisha ushirikiano na mataifa...
By Mwandishi WetuJuly 27, 2023KUNDI la wanajeshi wa Niger limetangaza kumuondoa madarakani Rais Mohamed Bazoum wa nchi hiyo, saa chache baada ya rais huyo kuzuiliwa ikulu na...
By Mwandishi WetuJuly 27, 2023KAMPUNI ya Vodacom Tanzania Plc imepata tuzo ya kuwa kinara wa teknolojia miongoni mwa makampuni ya Vodacom yaliyoko Afrika. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuJuly 27, 2023WAKATI takwimu zikionesha kuwa kijana mmoja kati ya watano ndio anayepata ajira nchini China inaelezwa kuwa kiwango cha ukaidi cha vijana wasio...
By Mwandishi WetuJuly 26, 2023WAKATI maendeleo ya Elimu nchini yakiongezeka Chuo cha Uhasibu Arusha kimeongeza usanifu ili kuendana na kasi ya mabadiliko hayo. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuJuly 26, 2023BENKI ya Dunia (WB), imesema ifikapo mwaka 2075, theluthi moja ya idadi ya watu watakaokuwa wanafanya kazi duniani watakuwa Waafrika. Anaripoti Selemani Msuya…(endelea)....
By Seleman MsuyaJuly 26, 2023VYUO vikuu vikubwa 15 vya nchini Malaysia vinatarajia kufanya maonyesho hapa nchini kwa lengo la kuwaonyesha watanazania fursa mbalimbali za kielimu zinazopatikana kwenye...
By Mwandishi WetuJuly 25, 2023BENKI ya Dunia (WB), imesema ifikapo mwaka 2075, theluthi moja ya idadi ya watu watakaokuwa wanafanya kazi duniani watakuwa Waafrika. Anaripoti Selemani Msuya…(endelea)....
By Seleman MsuyaJuly 24, 2023RAIS mstaafu wa Kenya, Uhuru Kenyatta, amesema nyumba ya mwanaye wa kiume imevamiwa. Anaripoti Mwandishi Wetu, kwa msaada wa BBC…(endelea). Akizungumza na waandishi...
By Mwandishi WetuJuly 22, 2023WAKATI baadhi ya wanasiasa wa upinzani na wanaharakati wakipinga mpango wa kampuni ya DP World ya Dubai kuwekeza kwenye bandari ya Dar es...
By Mwandishi WetuJuly 22, 2023Jeshi la Polisi mkoa wa Songwe linamshikilia mtumishi mmoja aitwaye Rioba Nyamos (34) ambaye ni Mganga mfawidhi wa Zahanati ya Kijiji Cha Iporoto...
By Mwandishi WetuJuly 22, 2023MBELE ya vyama kadhaa vya kisiasa na mashirika ya kijamii, Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) kilizindua jukwaa la “Silk Roadster” wiki iliyopita...
By Mwandishi WetuJuly 21, 2023SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) linatarajiwa kuipatia Serikali ya Tanzania fedha Sh 855 milioni kwa ajili ya kuwezesha kufanya utafiti wa kitaifa...
By Mwandishi WetuJuly 21, 2023BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imesaini mkataba wa makubaliano na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknalojia kwa ajili ya kutoa ufadhili wa...
By Mwandishi WetuJuly 21, 2023MKUU wa mkoa wa Dodoma (RC), Rosemary Senyamule ameitaja benki ya NMB kama mwarobaini uliowafuta machozi wananchi katika mkoa wake kwenye idara za...
By Mwandishi WetuJuly 21, 2023TUME ya Madini imetoa siku saba kwa wamiliki wote wa leseni za madini zikiwemo leseni za utafutaji wa madini, leseni za uchimbaji mdogo,...
By Mwandishi WetuJuly 19, 2023CHUO cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA), kilichopo wilayani Kigamboni jijini Dar es Salaam, kimetoa mafunzo ya uongozi na maadili kwa wanafunzi wanaotarajia...
By Mwandishi WetuJuly 19, 2023ULINGO wa fursa za kiuchumi kupitia mchezo wa kubahatisha wa Biko Tanzania, umezidi kuboreshwa baada ya kampuni hiyo kuzindua promosheni yao inayojulikana kama...
By Mwandishi WetuJuly 19, 2023MKUU wa Wilaya ya Momba mkoani Songwe, Faki Lulandala amejitosa katika sakata la mjadala kuhusu mkataba wa uwekezaji kwenye bandari ya Dar es...
By Mwandishi WetuJuly 18, 2023MGOGORO wa mpaka kati ya vijiji vya Sange na Mswima kata ya Sange wilayani Ileje mkoani Songwe umetajwa kukwamisha ujenzi wa nyumba ya...
By Mwandishi WetuJuly 18, 2023KAMPUNI ya Serengeti Breweries Limited (SBL) imezindua kampeni yake kubwa ya kitaifa ‘Jibambe Kibabe’ inayolenga kuchochea uwezeshaji kiuchumi katika mfumo wake mzima...
By Mwandishi WetuJuly 18, 2023Wadhamini wakuu wa ligi ya Tanzania bara maarufu kama Ligi ya NBC, Benki ya Taifa ya Biashara(NBC), imewapelekea wakazi wa jiji la Mwanza...
By Mwandishi WetuJuly 17, 2023UMOJA wa Vijana wa unaojitanabaisha kwa jina la ‘Team Wazalendo’ umesema kuwa utachukua jukumu la kuuelimisha umma juu ya umuhimu wa uwekezaji katika...
By Mwandishi WetuJuly 17, 2023KAMPUNI ya Vodacom Tanzania imeshinda tuzo ya banda bora la utoaji huduma kwa kundi la makampuni ya Simu wakati wa kuhitimisha Maonyesho ya...
By Mwandishi WetuJuly 17, 2023BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imetangaza kukamilika kwa taratibu ambazo zimewezesha Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) kupata mkopo wa Dola za Marekani...
By Mwandishi WetuJuly 16, 2023SHULE ya St Anne Marie Academy ya Mbezi Kimara kwa Msuguri jijini Dar es Salaam imepongezwa kwa kuendelea kuwekeza kwenye miundombinu ya shule...
By Mwandishi WetuJuly 16, 2023WANANCHI wa Wilaya ya Songwe wametambulishwa uwepo wa leseni ya uchimbaji mkubwa wa madini ya Rare Earth Elements yanayotumika katika teknolojia ya kisasa....
By Mwandishi WetuJuly 16, 2023UFUATILIAJI wa miradi ya nguvu ya CPEC unahusishwa na ukosefu wa riba ya Wachina katika kutoa fedha zaidi huku kukiwa na deni...
By Mwandishi WetuJuly 16, 2023BENKI ya NMB na Klabu ya Simba, zimezindua ushirikiano wa kibiashara uliopewa jina la ‘Ukaribu wa Nguvu,’ kwa lengo la kuongeza ufanisi katika...
By Mwandishi WetuJuly 15, 2023RAIS wa Kenya William Ruto amedai kuwa aliyekuwa mtangulizi wake Uhuru Kenyatta anajaribu kubomoa serikali yake kwa kufadhili maandamano. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea)....
By Mwandishi WetuJuly 15, 2023CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro, kimeiomba serikali kujenga miundombinu ya kilimo cha umwagiliaji kwa ajili ya kukuza uzalishaji wa...
By Mwandishi WetuJuly 14, 2023NAIBU Katibu Mkuu wa TAMISEMI, Dk Charles Mahera amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi, Abdallah Nandonde kuwasimamisha kazi Mganga Mkuu...
By Mwandishi WetuJuly 14, 2023RAIS wa Kenya, William Ruto, amemtaka kiongozi wa upinzani nchini humo, Raila Odinga, kuacha mpango wake wa kuitisha maandamano ya siku tatu...
By Mwandishi WetuJuly 14, 2023UFAULU wa mtihani wa kidato cha sita kwa 2023, umeongezeka kwa aislimia 0.2, kutoka 98.97%(2022) Hadi 99.23% mwaka huu. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuJuly 14, 2023KAMPUNI ya Ubongo inayozalisha vipindi vya elimu burudani Afrika, ina furaha kuwatangazia maadhimisho ya miaka 10 tangu kuanzishwa kwake, ikisherehekea muongo mmoja...
By Mwandishi WetuJuly 13, 2023