Categorizing posts based on content
KIONGOZI wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga, amewataka wabunge wa Umoja wa Azimio, wanaotaka kuiunga mkono Serikali ya Rais William Ruto, wajiuzulu nyadhifa...
By Mwandishi WetuJuly 12, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amepongezwa kwa mchango mkubwa wa Serikali yake katika uboreshaji huduma za afya kwenye Jimbo la Musoma Vijijini,...
By Mwandishi WetuJuly 12, 2023WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu amesema suala la Madaktari Bingwa kufanya kazi ya Kliniki binafsi katika Hospitali za umma baada ya saa...
By Mwandishi WetuJuly 12, 2023KAMPUNI ya Teknolojia na mawasiliano, Vodacom Tanzania PLC imewapongeza kwa kuwapatia tuzo mbalimbali washirika na watoa huduma wake kwa kuzingatia viwango vya usalama...
By Mwandishi WetuJuly 12, 2023MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umefanya uhakiki wa wanachama wa mfuko huo na kubaini mambo kadhaa na kuyachukulia hatia...
By Mwandishi WetuJuly 11, 2023SEKTA ya watengeneza wanasesere nchini China imekosolewa kwa kitendo cha kuuza masanduku ya siri ambayo yametumika kusafisisha wanyama. Imeripoti CNN na Mitandao...
By Mwandishi WetuJuly 11, 2023KAMPUNI ya Uwekezaji ya NICOL, imeendelea kufanya vizuri sokoni kwa kupata ongezeko ya faida ya shilingili bilioni 6.2 mwaka huu kulinganisha na faida...
By Mwandishi WetuJuly 10, 2023MBUNGE wa Moshi Mjini, mkoani Kilimanjaro, Priscus Tarimo, ameupongeza uongozi wa shule ya sekondari ya St Maria Goreti mchangao mkubwa inayotoa katika kukuza...
By Mwandishi WetuJuly 8, 2023WAKAZI wa Kisiwa cha Rukuba, Wilaya ya Musoma, mkoani Mara, wameiomba Wizara ya Afya na Wizara Ofisi ya Rais-TAMISEMI, ipeleke watumishi pamoja na...
By Mwandishi WetuJuly 8, 2023HALMASHAURI ya mji Tunduma wilayani Momba mkoani Songwe imetumia kiasi cha Sh 1.7 bilioni kujenga mradi huo wa maegesho ya malori ili kukabiliana...
By Mwandishi WetuJuly 8, 2023BENKI ya NMB kupitia matawi yake yote nchini inatarajiwa kuanza rasmi Jumatatu tarahe 10 Julai 2023, kusajili na kutoa kadi za uanachama wa...
By Mwandishi WetuJuly 8, 2023JUMLA ya washindi 22 wa Kampeni ya uhamasishaji wa kuweka akiba ya Benki ya NMB ‘Bonge la Mpango’ wamekabidhiwa zawadi zao jijini Dar...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2023KIONGOZI wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga, ametimiza azma yake ya kuitisha maandamano kwa ajili ya kupinga muswada mpya wa sheria ya...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2023BAADHI ya wafanyabiashara katika Soko la Kariakoo, jijini Dar es Salaam, wamedai changamoto wanazokabiliana nazo zinasababishwa na masuala mbalimbali, ikiwemo kisiasa. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2023KUNDI la waumini wa Kanisa la Bungonya lililoko wilayani Kayunga nchini Uganda limesusa kushiriki ibada kanisani hapo baada ya wanandoa wawili kufumaniwa...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2023KATIKA kutekeleza adhma yake ya kutumia ubunifu wa kidigitali kuongeza ufanisi kwenye shughuli mbali mbali ikiwemo zile za kibiashara, kampuni ya mawasiliano...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2023Serikali kupitia Wizara ya Nishati imebainisha kuwa mpaka kufikia mwezi Juni 2024, Bwawa la Kufua Umeme la Julius Nyerere (JNHPP) litaanza kutoa huduma...
By Gabriel MushiJuly 6, 2023KATIKA mwaka wa fedha wa 2021/23 jumla ya fedha kiasi cha Sh 102 milioni zimewanufaisha wakazi wa Kijiji cha Itundwi kata ya Mnina...
By Danson KaijageJuly 6, 2023KUTOKANA na ukosefu wa eneo sahihi la kufanyia michezo halmashauri ya mji Tunduma wilayani Momba mkoani Songwe imetenga kiasi cha Sh.1.5 bilioni kujenga...
By Mwandishi WetuJuly 6, 2023TAASISI na kampuni wateja za Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) mkoani Arusha, wameipongeza benki hiyo kwa kuwapelekea huduma ya malipo kidigitali inayojulikana...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2023WAKALA wa Elimu Nje ya nchi Global Education Link (GEL), imeendesha zoezi la kudahili wanafunzi vyuo nje ya nchi papo hapo kwenye maonyesho...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2023BAADHI ya wafanyabiashara katika Soko la Kariakoo, jijini Dar es Salaam, wamedai changamoto wanazokabiliana nazo zinasababishwa na masuala mbalimbali, ikiwemo kisiasa. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2023MWANAFUNZI wa kidato cha tatu katika shule ya sekondari Lumbira kata ya Luanda wilayani Mbozi mkoani Songwe,Japhari Mwashitete (16) amekutwa amefariki dunia kwa...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2023NCHI mahasimu Marekani na Urusi zinajadili uwezekano wa kubadilishana wafungwa ambao unaweza kumhusisha mwandishi wa gazeti la Wall Street Journal, Evan Gersh-kovich, ambaye...
By Gabriel MushiJuly 5, 2023KATIBU mkuu wa Wizara ya Madini, Mhandisi Felchesmi Mramba ametembelea banda la Maonesho la Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) katika maonesho...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2023KAMPENI ya uhamasishaji wa kuweka akiba ya Benki ya NMB iliyopewa jina la ‘Bonge la Mpango’ Msimu wa Tatu imefikia kilele tarehe 5...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2023KAMPUNI 5666 za ndani na nje ya nchi zimeshiriki kwenye Maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam DITF)...
By Seleman MsuyaJuly 4, 2023MTANDAO wa Matawi ya Benki ya NMB nchini umezidi kutanuka, baada ya Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk. Philip Mpango kuzindua Tawi la...
By Mwandishi WetuJuly 4, 2023BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imeungana na Taasisi ya Benjamini Mkapa kuanzisha mpango wa kutoa ufadhili wa masomo (scholaships) kwa wanafuzi wa...
By Mwandishi WetuJuly 4, 2023MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye ufungaji wa tamasha la ushairi lililoandaliwa na Taasisi ya Usanifu wa Kiswahili...
By Mwandishi WetuJuly 4, 2023WAFANYABIASHARA katika Bandari Kavu ya Jimbiza, iliyoko Kilwa Masoko, mkoani Lindi, wameiangukia Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan wakiitaka iingilie kati ili wasiondolewe...
By Mwandishi WetuJuly 3, 2023JIMBO la Musoma Vijjiini mkoani Mara, limeomba Serikali ianzishe shule za kidato cha tano na sita, huku likisema kuna baadhi ya shule zilizojengwa...
By Mwandishi WetuJuly 3, 2023TEKNOLOJIA za kidigitali na uunganishwaji ni ufunguo wa kuwawezesha vijana wa Afrika kuonyesha uwezo wao. Kwa kuwafungulia milango ya fursa kwa vijana wa...
By Mwandishi WetuJuly 3, 2023KAMPUNI ya Vodacom Tanzania katika msimu huu wa sabasaba imetoa zawadi kwa watanzania kwa kuwarudishia mpaka 10% ya pesa watakapolipia bidhaa mbalimbali...
By Mwandishi WetuJuly 3, 2023RIPOTI ya Wall Street Journal (WJS) inaituhumu Mamlaka ya Serikali za mitaa ya China kwa kuongeza kwenye kukusanya mapato ya takribani dola...
By Mwandishi WetuJuly 2, 2023WANANCHI wa vitongoji vilivyopo katika kata ya Mlowo halmashauri ya wilaya ya Mbozi mkoani Songwe wamechangia nguvu kazi kujenga shule ya sekondari Nambala...
By Mwandishi WetuJuly 2, 2023KWA kutambua umuhimu wa sekta ya michezo nchini, Benki ya NMB imeingia makubaliano na timu ya Yanga SC. na kuwa benki ya kwanza...
By Gabriel MushiJuly 1, 2023RAIS wa Kenya, William Ruto amegomea pendekezo la Tume ya mishara ya nchi hiyo (SRC) la nyongeza ya mshahara kutoka TSh 24.8 milioni...
By Mwandishi WetuJuly 1, 2023WATU zaidi ya 55 wanahofiwa kufariki dunia baada ya lori lenye trela kugonga daladala nchini Kenya pamoja na waendesha bodaboda na watembea kwa...
By Mwandishi WetuJuly 1, 2023JUMLA wanafunzi 800 wamehitimu masomo katika Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW) kati yao wanaume 279 sawa na asilimia 35 na wanawake...
By Mwandishi WetuJune 30, 2023MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), umewahimiza wananchi wa mkoa wa Dar es Salaam na waliotoka katika maeneo mbalimbali nchini kufika...
By Mwandishi WetuJune 30, 2023MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imetakiwa kutatua changamoto za kodi zinazokabili Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGO’s), zisizoingiza faida. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...
By Regina MkondeJune 30, 2023JAJI mmoja wa mahakama ya serikali mjini New York nchini Marekani ametupilia mbali juhudi za rais wa zamani wa nchi hiyo, Donald...
By Mwandishi WetuJune 30, 2023RAIS wa Kenya, William Ruto, naibu wake Rigathi Gachagua na Katibu Mkuu Mkuu, Musalia Mudavadi kuwa ni moja ya maafisa wa ngazi ya...
By Mwandishi WetuJune 30, 2023JESHI la Urusi lililopo katika operesheni maalum nchini Ukraine limedai kuwaua majenerali wawili katika shambulizi la mapema wiki hii. Anaripoti Joseph Nyoni kwa...
By Mwandishi WetuJune 29, 2023BONDIA machachari nchini Karim Said maarufu ‘Mandonga Mtu kazi’ ametembelea banda la Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo na kutangaza ngumi mpya iitwayo...
By Mwandishi WetuJune 29, 2023KUTOKANA na uwepo wa msongamano mkubwa wa wanafunzi katika shule ya msingi Tunduma wilayani Momba mkoani Songwe uliosababisha wanafunzi 270 kusomea katika darasa...
By Mwandishi WetuJune 28, 2023CHAMA cha Wakala wa Meli Tanzania (TASAA) kimeunga mkono mpango wa Serikali wa kuleta uwekezaji wa kampuni ya DP World kwenye bandari...
By Mwandishi WetuJune 28, 2023WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amepongeza jitihada za Vodacom Tanzania kwa kufungua ofisi ya kisasa katika makao...
By Mwandishi WetuJune 28, 2023WAKILI wa Rais wa zamani wa Zambia Edgar Lungu, amelaani hatua ya serikali ya nchi hiyo, kutwaa mali mbalimbali zinazohusishwa na familia mwanasiasa...
By Mwandishi WetuJune 27, 2023