Categorizing posts based on content
WATU 10 wamefariki dunia leo Jumatano baada ya ndege binafsi iliyokuwa ikitokea katika jiji la Moscow kwenda St. Petersburg kuanguka huko nchini Urusi....
By Mwandishi WetuAugust 23, 2023SHIRIKA la Bima Taifa (NIC) inejivunia mafanikio waliyopata ndani ya mwaka huu wa 2023 zilizopelekea kupokea tuzo tofauti tofauti zikiwemo za Msajiri...
By Mwandishi WetuAugust 23, 2023SHIRIKA la kimataifa la hisani la Save the Children limesema takriban watoto 500 wamefariki kutokana na njaa nchini Sudan. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea)....
By Mwandishi WetuAugust 23, 2023Raia wa Zimbabwe leo Jumatano wanapiga kura kuwachagua wabunge na rais katika uchaguzi ambao upinzani unalenga kumaliza utawala wa miaka 43 ya chama...
By Mwandishi WetuAugust 23, 2023BENKI ya NMB imetangaza udhamini wa Sh. 30 milioni wa Mashindano ya Gofu ya Mkuu wa Majeshi Tanzania (NMB CDF Trophy 2023), yanayotumika...
By Mwandishi WetuAugust 23, 2023RAIS wa zamani wa Marekani, Donald Trump amesema kuwa atajisalimisha mwenyewe jimboni Georgia Alhamis wiki hii ili kukabiliana na mashtaka ya udanganyifu na...
By Mwandishi WetuAugust 22, 2023Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Hashim Komba, amempongeza Mkurugenzi wa shule za St Anne Marie, Dk. Jasson Rweikiza kwa uwekezaji mkubwa alioufanya kwenye...
By Mwandishi WetuAugust 22, 2023POLISI katika wilaya ya Buikwe nchini Uganda inawashikilia watu wanne katika kituo cha polisi Njeru kwa tuhuma za kujihusisha na mapenzi ya jinsia...
By Mwandishi WetuAugust 22, 2023Shirika la Kutetea Haki za Binadamu (Human Rights Watch) limewatuhumu walinzi wa mpaka wa Saudi Arabia kwa kutekeleza mauaji ya wahamiaji kwenye mpaka...
By Mwandishi WetuAugust 21, 2023BARAZA la Ushindani wa Biashara (FCT) limetoa uamuzi kuhusu uamuzi wa Tume ya Ushindani (FCC) wa kuruhusu kampuni ya Scancem International DA inayomiliki...
By Mwandishi WetuAugust 21, 2023Tumsifu Yesu Kristo, Amani na Usalama. Nataka niwape tafakari ndogo ya sehemu ya Kanisa Katoliki katika amani na ustawi wa jamii yetu. Naomba...
By Mwandishi WetuAugust 20, 2023RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa tuzo maalum kwa benki ya NMB katika kutambua mchango na utendaji mkubwa wa taasisi hiyo ya...
By Mwandishi WetuAugust 20, 2023MKURUGENZI wa Global Education Link, Abdulmalik Mollel, ameishukuru China kwa kufungua mipaka yake na ameomba Ubalozi wan chi hiyoo hapa nchini kufungua dirisha...
By Mwandishi WetuAugust 20, 2023SHIRIKA la Madini la Taifa (STAMICO) limeng’ara katika kikao kazi cha Wenyeviti na Watendaji wa Mashirika ya Umma baada ya kuibuka mshindi wa...
By Mwandishi WetuAugust 19, 2023IDADI ya raia walio na umri wa zaidi ya miaka 60 nchini China inatarajiwa kuongezeka kwa wastani wa milioni 10 ifakapo mwaka...
By Mwandishi WetuAugust 19, 2023MKUU wa Mkoa Kilimanjaro, Nurdin Babu ametoa wiki mbili kwa kamati ya ujenzi ya Jengo la Wagonjwa wa Nje (OPD), maabara na nyumba...
By Mwandishi WetuAugust 18, 2023BENKI ya NMB kwa kushirikiana na Vodacom na Google, wamezindua kampeni ya ‘Miliki Simu, Lipa Mdogo Mdogo’, inayowezesha watanzania wa kipato cha chini...
By Mwandishi WetuAugust 18, 2023MTU mmoja mkazi wa Kaunti ya Mombasa nchini Kenya amelazwa katika Hospitali Kuu ya Pwani nchini humo baada ya kupata majeraha baada ya...
By Mwandishi WetuAugust 17, 2023KATIKA jitahada za kuunga mkono jitihada za Serikali ya Awamu ya Sita kutatua changamoto kwenye Sekta ya Elimu, Benki ya NMB, imekabidhi misaada...
By Mwandishi WetuAugust 17, 2023KAMPUNI ya simu za mkononi ya Infinix imezindua promosheni ya ‘Jipate na Infinix’ kampeni ambayo itakuwa ya kuda wa mwezi mmoja nchi nzima....
By Mwandishi WetuAugust 17, 2023BENKI ya NMB na Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), wamezindua ushirikiano wa kibiashara wa mifumo ya malipo ya tiketi za ndege unaowapa fursa...
By Mwandishi WetuAugust 16, 2023KATIKA kampeni ya kuunga mkono jitihada za serikali kwenye matumizi nishati salama kimazingira, kampuni ya sola ya d.light Tanzania Limited imezindua kampeni...
By Mwandishi WetuAugust 16, 2023MLINZI aliyemuua Mke wa Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Marike De Klerk, Luyanda Mboniswa anatarajiwa kuachiliwa huru mwishoni mwa mwezi huu. Anaripoti...
By Mwandishi WetuAugust 15, 2023KUKOSEKANA kwa vyumba vya kutosha vya madarasa katika shule ya msingi ya Mamboya iliyopo Kijiji na kata ya Mamboya Tarafa ya Magole Wilayani...
By Mwandishi WetuAugust 15, 2023Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu leo Jumatatu ametangaza ameunda Kamati huru yenye wajumbe 13 ili kuchunguza malalamiko ya madaktari watarajali (Intern Doctors) kuhusu...
By Mwandishi WetuAugust 14, 2023Benki ya NMB imetunukiwa cheti cha kuwa ‘Superbrand’, na kuifanya kuwa benki pekee iliyopata hadhi hiyo nchini Tanzania mwaka huu. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)...
By Mwandishi WetuAugust 14, 2023MALI imeendelea kuwa na usalama hafifu hali iliyolazimu Ujumbe wa Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa (MINUSMA) nchini humo, kuondoka leo...
By Mwandishi WetuAugust 14, 2023BONDIA wa ngumi za kulipwa, Karim Mandonga anatarajiwa kufanyiwa kipimo cha kichwa baada ya kupata jeraha kutokana na kipigo alichokipokea tarehe 29 Julai...
By Mwandishi WetuAugust 14, 2023VIONGOZI wa mapinduzi ya kijeshi nchini Niger wametangaza kuwa na ushahidi wa kumshtaki rais aliyeondolewa madarakani na washirika wake wa ndani na nje...
By Mwandishi WetuAugust 14, 2023WATU 29 wamefariki na wengine 16 wamepotea kutokana na mafuriko yaliyotokea katika jimbo la Hebei nchini China. Imeripotiwa na Global Times …...
By Mwandishi WetuAugust 12, 2023UMAHIRI wa hali ya juu wa kumudu kuzungumza lugha ya kingereza kwa ufasaha ulioonyeshwa na wanafunzi wa shule ya msingi Tusiime umemfurahisha...
By Mwandishi WetuAugust 12, 2023Mataifa ya Afrika ya Magharibi yamesitisha mkutano muhimu wa kijeshi juu ya mzozo wa Niger ikiwa ni siku moja baada ya kusema maazimio...
By Mwandishi WetuAugust 12, 2023WATU zaidi ya 53 wamefariki duniani huku wengine zaidi ya 100 wakiripotiwa kupotea katika kisiwa cha Maui jimbo la Hawaii nchini Marekani kutokana...
By Mwandishi WetuAugust 11, 2023AJALI ya meli iliyotokea karibu na nchi ya Italia kwenye kisiwa cha Lampedusa imesababisha vifo vya wahamiaji 41 huku wachache wakinusurika katika ajali...
By Mwandishi WetuAugust 10, 2023WANAMITINDO wanne kati ya 200 waliojitokeza kwenye usaili wa Shindano la Future Face 2023 wameteuliwa kuiwakilisha Tanzania kwenye chaguo la awali la...
By Mwandishi WetuAugust 10, 2023SAKATA la kampuni ya Tanga Cement kuuzwa limezidi kuchukua sura mpya baada ya mmoja wa wajumbe wa Tume ya Ushindani wa Haki FCC,...
By Mwandishi WetuAugust 9, 2023RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hasaan, ameipongeza Benki ya NMB kwa mchango uliotukuka kwenye Sekta ya Kilimo, Uvuvi, Ufugaji na Misitu, sambamba...
By Mwandishi WetuAugust 8, 2023Rais Samia Suluhu Hassan ameitaja huduma ya bima ya kilimo inayotolewa na benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kama mmoja ya suluhisho muhimu...
By Mwandishi WetuAugust 8, 2023MWANZILISHI wa Chama cha Siasa cha PASTEF nchini Senegal, Ousmane Sonko amelazwa katika Hospitali Kuu katika mji mkuu wa Senegal, Dakar baada ya...
By Mwandishi WetuAugust 8, 2023BENKI ya NMB na Kampuni ya Agricom Africa, wamewahakikishia wakulima nchini, kwamba ushirikiano baina ya taasisi hizo ndio mkombozi wa sekta ya kilimo,...
By Mwandishi WetuAugust 8, 2023BENKI ya Stanbic Tanzania (SBT), kwa kushirikiana na kampuni ya AgriCom Africa (AA), inatarajia kuanzia kutoa mikopo ya zana za kilimo kwa wakulima...
By Mwandishi WetuAugust 7, 2023MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera amezindua rasmi Kampeni ya Onja Unogewe inayoendeshwa na Benki ya NMB chini ya mwamvuli wa Teleza...
By Mwandishi WetuAugust 7, 2023Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limenyakua tuzo ya Kampuni bora ya mwaka Afrika kwenye sekta ya madini 2023 katika tuzo za Africa...
By Mwandishi WetuAugust 7, 2023WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa taasisi za fedha nchini kuendelea kubuni huduma zinazolenga kutatua changamoto zinazowagusa wakulima huku akionyesha kuguswa zaidi...
By Mwandishi WetuAugust 6, 2023WADAU wa madini nchini wakiwemo watafiti, wachimbaji wadogo wa madini, kampuni za uchimbaji wa kati na mkubwa wa madini wameshauriwa kutumia maabara ya ...
By Mwandishi WetuAugust 5, 2023KATIKA kuendelea kuhakikisha bidhaa ya mafuta ya petroli inapatikana kwa uhakika maeneo yote nchini, Chama cha Waagizaji na Wasambazaji Mafuta Tanzania (TAOMAC) wamekutana...
By Mwandishi WetuAugust 5, 2023WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ameipongeza Benki ya NMB kwa kutenga mabilioni ya fedha za mikopo katika kipindi cha miaka miwili kuunga...
By Mwandishi WetuAugust 5, 2023POLISI wa Jimbo la Massachusetts, limedai chanzo cha kifo cha Tafari Campbell (45), aliyekuwa mpishi wa Rais mstaafu wa Marekani,Baraka Obama, kilikuwa...
By Mwandishi WetuAugust 4, 2023WAFANYABIASHARA wametakiwa kutumia Bandari ya Dar es Salaam, kusafirisha mizigo yao badala ya kutumia bandari za mbali, ili kuokoa muda na gharama....
By Mwandishi WetuAugust 4, 2023KAMPUNI ya Usafirishaji majini, PMM Shipping Limited imezindua huduma ya kusafirisha makontena kutoka Bandari ya Dar es Salaam, kwenda maeneo mengine ikiwemo...
By Regina MkondeAugust 4, 2023