Friday , 3 May 2024

Kitengo

Categorizing posts based on content

Biashara

Ligi zarejea na maokoto ya Meridianbet kama kawaida wikiendi hii

  BAADA ya kukosa ladha ya ligi ya Ulaya hatimaye wikendi hii inarejea ikiwa na mechi kibao za kukupa pesa za kutosha ukibashiri...

Biashara

Meridianbet, halopesa waja na ‘Jichukulie maokoto na Halopesa’

  KAMPUNI kongwe na bora kabisa kwenye michezo ya kubashiri Meridianbet imeingia kwenye ushirikiano na kampuni ya simu za mikononi ya Halotel kwa...

Biashara

Mbunge Lugangira azindua kampeni ya “Pika na Gesi”

MBUNGE wa Viti Maalum CCM, Neema Lugangira amezindua Kampeni ya “Pika kwa Gesi, Tunza Mazingira” inayolenga kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia...

ElimuHabari Mchanganyiko

Kiswahili sasa kuanza kufundishwa Cuba

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Cuba zimesaini hati za makubaliano ya kushirikiana katika sekta ya elimu...

Biashara

Dirisha la ufadhili wa masomo ‘NMB Nuru Yangu’ 2023/24 lafunguliwa

NMB Foundation imefungua rasmi dirisha la pili wa ufadhili wa masomo na usimamizi mwaka 2023/24, kwa wanafunzi wanaojiunga vyuo vikuu kupitia programu ya...

ElimuHabari

Wanafunzi wa vipimo na viwango CBE waula

CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimefanya uwekezaji mkubwa wa vifaa vya kisasa kwenye idara yake ya vipimo na viwango hususan kwenye upimaji...

Elimu

CBE kuanza kutoa mafunzo ya akili bandia

CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimeingia makubaliano na Taasisi ya Teknolojia ya Habari JR Institute of Information and Technology ambao utakiwezesha chuo...

BiasharaMichezo

Meridianbet wafungua duka jipya Mbagala Rangi 3 Max 99

  Mteja wa Meridianbet ambaye upo Mbagala Rangi 3 na unataka kupiga mkwanja wa maana basi mimi nakupa siri eneo ni moja tuu...

Biashara

Cheza sasa Blackjack1 yenye kadi 52 za ushindi kwa karata 21

  PTR Blackjack 1 ni mchezo mpya wa karata kutoka kampuni ya Playtech. Mchezo huu wa kasino ya mtandaoni ya Meridianbet unachezwa na...

Biashara

Kila unapogusa sloti ya Merlin Megaways ni ushindi tu

  MERLIN Megaways ni mchezo wa kasino ya mtandaoni kutoka Meridianbet unaokujia na fursa ya kukutana na mchawi. Wakati huu utakuwa na nafasi...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Serikali yashauriwa kuhamasisha kilimo hai

SERIKALI imeshauriwa kuweka mkazo katika kilimo hai kwa kuwa ndio kinazalisha chakula safi na salama kwa afya ya viumbe hai na mazingira. Anaripoti...

Biashara

Washiriki 600, mifuko 60 kushiriki kongamano la uwezeshaji

WADAU 600 na mifuko zaidi ya 60 ya uwezeshaji kutoka sekta za umma na binafsi wanatarajiwa kushiriki kwenye kongamano la saba la uwezeshaji...

Biashara

NMB, MCL wazindua Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake

BENKI ya NMB na Kampuni ya Mwananchi Communications (MCL), imezindua Jukwaa la Wanawake Mtandaoni ‘Rising Woman Network, lenye lengo la kuwawezesha, kuwaendeleza na...

Biashara

Serikali yaahidi kuendelea kuboresha mazingira ya uwekezaji nchini

SERIKALI imesisitiza kuendelea kupitia upya sera na mfumo wa udhibiti unaoongoza mazingira ya biashara nchini ili kufanya Tanzania kuwa eneo kuu la uwekezaji...

Elimu

Rais Samia awapa ujumbe wanafunzi darasa la saba

Rais Samia Suluhu Hassan amewatakia heri wanafunzi wote wa darasa la saba wanaoanza mitihani yao ya kuhitimu leo Jumatano. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea)....

Kimataifa

Rais Madagascar ajiuzulu ili agombee muhula mwingine

RAIS wa Madagascar, Andry Rajoelina amejiuzulu baada ya kuthibitishwa rasmi kuwa mgombea katika uchaguzi wa urais utakaofanyika tarehe 9 Novemba 2023. Anaripoti Mlelwa...

Michezo

Paul Pogba hatihati kufungiwa miaka minne

KIUNGO Mshambuliaji wa klabu ya Juventus ya Italia, Paul Pogba huenda akakumbana na adhabu ya kufungiwa hadi miaka minne kujihusisha na masuala ya...

Kimataifa

India kuizidi kete China kuiongoza G20

  USHAWISHI ya Taifa la India imezidi kuongezeka katika anga ya kimataifa hasa pale ilipoungwa mkono kuogoza G20. Imeandikwa na The Interpreter …...

Biashara

Unataka kushinda kirahisi cheza Blackjack 2 ya Meridianbet

  BLACKJACK ni mchezo wa kadi/karata wenye kuvutia sana, na mtoa huduma Playtech anatuletea blackjack Live ya PTR Blackjack 2 kupitia Meridianbet kasino...

Kimataifa

2000 wahofiwa kufariki kwa kimbunga Daniel

ZAIDI ya watu 2000 wahofiwa kupoteza maisha huku maelfu wakiwa hawajulikani walipo baada ya kimbunga Daniel kuikumba nchi ya Libya. Anaripoti isaya Temu,...

Michezo

Kampuni ya ndondi yaiburuza mahakamani Azam Media, yataka fidia Sh. 2 bil.

KAMPUNI inayojihusisha na uandaaji wa mapambano ya ngumi za kulipwa, Hall of Fame Boxing and Promotion, imeiburuza mahakamani Kampuni ya Azam Media, ikitaka...

Biashara

Cheza Sloti ya 81 Vegas Magic itakayokupa ushindi katika njia 81

  TUMEANDAA zawadi nzuri sana kwa wapenzi wote wa sloti za matunda. Mchezo huu wa kasino mtandaoni ya Meridianbet hautakuwa tu katika muundo...

Biashara

Airpay yapata leseni ya BoT kutoa huduma za malipo kidigitali

KAMPUNI ya Airpay Tanzania imezidi kupanua wigo wake wa kuhakikisha wananchi kuttoka Tanzania Bara na Visiwani Zanzibar wanapata huduma za uhakika za malipo...

AfyaHabari Mchanganyiko

Hospitali Kuu ya Jeshi la Polisi yanufaika na mafunzo kutoka Marekani

  HOSPITALI Kuu ya Jeshi la Polisi iliyopo wilaya ya Temeke Barabara ya Kilwa Mkoa wa Dar es Salaam itanufanika na mafunzo ambayo...

Biashara

Mkwanja upo kwenye sloti ya kasino ya Knight Hot Spotz

  TUNAKULETA mchezo wa kasino ya mtandaoni utakaokurudisha nyuma hadi kwenye zama za kati. Wakati huu, kwa msaada wa mshujaa, unaweza kufungua bonasi...

Kimataifa

Waliofariki kwa tetemeko Morocco wafikia 2,500

IDADI vifo katika tetemeko la ardhi lilitokea usiku wa tarehe 8 Septemba 2023 katika miji kadhaa nchini Morocco, vimeongezeka kutoka 2,122 hadi 2,500....

Biashara

Pata malipo mara 270 ya dau lako ukicheza PTR BlackJack

  HII ni sehemu nyingine ya mchezo ambao utafurahia sana kila uuchezavyo. Ikiwa unapenda mchezo wa blackjack kutoka Meridianbet, hutaweza kujizuia kucheza mchezo...

Biashara

Bonasi ya uaminifu ya Tsh 10,000,000/= Meridianbet kasino

NI wakati mwingine wa kufurahia bonasi kibao kutokaMeridianbet kasino ya mtandaoni, haswa kwa watejawaaminifu ambao wamekuwa na Meridianbet kila sikuambapo sasa watapatiwa mgao...

Biashara

Cheza kasino mtandaoni na ushinde mgao wa hela kutoka Meridianbet!!

  JE, Unapenda Uvuvi? Meridianbet Kasino ya Mtandaoni imekuandalia safari ya kushangaza kwa ajili yako mwezi huu wa Septemba! Anaripoti Mandishi Wetu, Dar...

Michezo

Taifa Stars yatua salama, yapokelewa kwa shangwe na mashabiki

TIMU ya Taifa ya Mpira wa Miguu (Taifa Stars) imetua salama alfajiri ya leo tarehe 9 Septemba 2023 katika Uwanja wa Ndege wa...

Biashara

NMB yawa benki ya tatu kwa faida Afrika Mashariki

Benki ya NMB imeshika nafasi ya tatu kwa ukubwa wa faida katika ukanda wa Afrika Mashariki ikiwa ni kutokana na mafanikio yake kiutendaji...

Biashara

Cary Purry Sloti mpya rahisi kushinda Meridianbet

  HUENDA umewahi kuona au kusikia stori nyingi kuhusu paka, Meridianbet kasino ya mtandaoni inakuletea mkutano na paka wa kuvutia wanaowapa wachezaji zawadi...

Biashara

Serikali yakanusha madai GGML ku-blacklist vijana nchini

SERIKALI imekanusha uvumi kwamba Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imewa-blacklist vijana ambao wamesitishiwa ajira zao na mgodi huo kwa sababu mbalimbali...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Bilioni 650 kumaliza changamoto ya mbegu

WAZIRI wa Kilimo, Hussein Bashe amesema inahitajika uwekezaji wa shilingi bilioni 650, ili kumaliza changamoto ya upatikanaji wa mbegu bora na salama. Anaripoti...

Biashara

Piga Pesa na Crayz Jelly Sloti ya MeridianbetKasino

  Meridianbet Kasino ya mtandaoni inakupa nafasi ya kupatapesa za kutosha wakati ambapo ukijivinjari mtandaoniukicheza Crayz Jelly, mchezo wenye nguzo 5 zeye mistari...

MichezoTangulizi

Taifa Stars yawaduwaza Mbweha wa Jangwani, watinga fainali AFCON

TIMU ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imeandika historia baada ya kufuza kwa mara ya tatu kushiriki fainali za Kombe la Mataifa ya...

Biashara

Pirates Legacy kasino ya mtandaoni yenye Jackpot kubwa

  Ni siku nyingine tena njema na bora zaidi ya kukufungulia dunia ya michongo, Leo nakupata siri kwenye mchezo wa kasino mtandaoni ya...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Tanzania yapigwa kumbo tuzo ya Chakula Afrika, Kikwete awaibia mbinu…

RAIS mstaafu Jakaya Kikwete, amezishauri taasisi za utafiti wa kilimo nchini, kuwasilisha tafiti zao kwenye Kamati ya Tuzo ya Chakula Afrika (AFP), ili...

Biashara

Njia 40 za ushindi kwenye Jackpot Lab ya Meridianbet

  HABARI zinazopendwa na wengi ni kuhusu michezo ya kasino mtandaoni ambapo mchezaji anakutana na maajabu mengi. Mtashuhudia mchawi, vitabu vyenye uchawi na...

Elimu

Profesa UDSM ataka shule ziige ubunifu kwa shule za St Mary’s

MHADHIRI wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam, Profesa Goodluck Urassa amesema ili shule ziweze kufanya vizuri kitaaluma, walimu wanapaswa kufanya kazi yao...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Ulega: Kaya milioni 2.2 zinajihusisha na ufugaji

WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amesema kaya milioni 2.2 nchini Tanzania zinajihusisha na sekta hiyo na kuchangia ukuaji wa uchumi. Anaripoti...

Biashara

Sloti ya Lobster Bobs Kasino ya Meridianbet inalipa zaidi

  TUNAKULETEA mchezo mwingine wa kasino mtandaoni wa Meridianbet unaofanyika chini ya maji. Wakati huu, wahusika wakuu ni kaa, na miongoni mwao, Bob...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB yabainisha mikakati ya kuwakwamua wakulima wadogo

Wakulima wadogo wana mchango mkubwa katika kuhakikisha utoshelevu na uhakika wa chakula nchini jambo ambalo Benki ya NMB imeahidi kuendelea kulifadhili na kuliunga...

Elimu

Tanzania ina maprofesa 63

SERIKALI imesema hadi kufikia mwaka 2022 Tanzania ilikuwa na jumla ya maprofesa 226 kati yao 163 wakiwa ni maprofesa washiriki (Associate Professors) na...

Biashara

Shaolin Power yatoa njia 50 za malipo katika kasino ya mtandao

  HUWAJAHI kushuhudia mambo ya ndani kwenye hekalu la Budha? Kama hujawahi, mchezo mpya wa kasino mtandaoni Shaolin Power utakupa nafasi ya kufanya...

Biashara

Fahamu kuhusu Rocket Blast kutoka kasino ya Meridianbet

  LEO tunakupa maelezo mafupi ya mchezo wa kasino mtandaoni wenye kufurahisha sana, ambao utakupatia bonasi za kasino na ushindi mwelele. Chukua nafasi...

BiasharaMichezo

Wakuu wa Majeshi Tanzania, Malawi waipongeza NMB udhamini CDF Trophy

WAKATI Wakuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama wa Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na Malawi (MDF), Jenerali Jacob Mkunda na Jenerali Vicent Nundwe...

Burudika

Mr. Eazi aachia Advice ikiwa ni ujio wa albam mpya

STAA wa muziki kutoka nchini Nigeria, Mr.Eazi ni gwiji linapokuja suala la kuachia rekodi tamu yenye burudani ya kipekee kwa jamii na sasa ameachia...

Kimataifa

Mrithi wa Ali Bongo aapishwa, aahidi kurejesha madaraka kwa raia

JENERALI Brice Nguema, aliyemng’oa madarakani Rais wa Gabon, Ali Bongo katika mapinduzi ya kijeshi  yaliyofanyika wiki iliyopita, ameapishwa kuwa Rais wa mpito wa...

Biashara

Kampuni 500 kushiriki kongamano  kutathmini viwanda nchini

KAMPUNI 500 kutoka China, Tanzania, Angola, Kenya na Ethiopia zinatarajiwa kukutana tarehe 25  Septemba 2023 jijini Dar es Salaam, kutathmini eneo la viwanda...

error: Content is protected !!