Friday , 29 September 2023
Home Kitengo Biashara Meridianbet, halopesa waja na ‘Jichukulie maokoto na Halopesa’
Biashara

Meridianbet, halopesa waja na ‘Jichukulie maokoto na Halopesa’

Spread the love

 

KAMPUNI kongwe na bora kabisa kwenye michezo ya kubashiri Meridianbet imeingia kwenye ushirikiano na kampuni ya simu za mikononi ya Halotel kwa lengo moja la kuhakikisha wateja wao wanapata maokoto ya kutosha na wamekuja na kampeni yao inayofahamika kama “JICHUKULIE MAOKOTO NA HALOPESA. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). 

“MERIDIANBET JICHUKULIE MAOKOTO NA HALOPESA” inawapa wateja wa Meridianbet njia isiyo na vikwazo, salama, na rahisi ya kuweka pesa kwenye akaunti zao za michezo kupitia Halopesa ambayo itawapatia zawadi kibao kabambe kipindi chote cha promosheni.

Ushirikiano baina ya Meridianbet na Halotel utakwenda kuwapa fursa zaidi wateja wanaobashiri kuanzia kwenye simu za kitochi, mitandaoni na Kasino mitandaoni.

Kama ilivyo kawaida yao Meridianbet hawajawahi kua na unyonge kwenye jambo lao lolote na ushirikiano wao na Halotel kupitia Halopesa utakua fursa kwa wateja wao kwani watapata fursa ya kushinda zawadi mbalimbali katika promosheni ambayo itadumu kwa miezi miwili na zawadi hizo ni kama Pikipiki mpya, Smartphone za kijanja,mizunguko ya bure kwenye michezo ya kasino mitandaoni na zwadi nyingine kibao.

Tuna furaha kutangaza ujio wa promosheni hii mpya, inayoanza leo  Septemba 15 mpaka 15 Novemba 2023 kwa wateja wafanyao miamala ya simu kupitia Halopesa kwenda kwenye akaunti zao za Meridianbet ili waweze kubashiri soka na michezo ya kasino, wataweza kuingia kwenye droo na  kushinda pikipiki mpya, smartphone za kijanja , na zawadi nyingine kibao.

Meneja wa malipo kutoka Meridianbet Dora Kinyaiya alieleza furaha juu ya ushirikiano wao na na kampuni ya Halotel na kusema “Tunajitahidi kutoa uzoefu bora kabisa kwa wateja wetu wanaobashiri Meridianbet, na Tunafurahi kushirikiana na Halopesa kuzindua promosheni ya “Meridianbet jichukulie maokoto na Halopesa” ambayo inaanza leo tarehe 15 Septemba 2023 na itaendelea hadi tarehe 15 Novemba 2023, kwa kuwa inalingana kabisa na dhamira yetu ya kutoa huduma za ubashiri wa michezo yenye utulivu na salama kwa wateja wetu wa thamani. Ushirikiano huu unathibitisha hatua muhimu katika tasnia na unathibitisha dhamira yetu ya ubunifu na kuridhika kwa wateja.”

Ndugu mteja endelea kubeti na Meridianbet huku ukisubiri mechi za ligi zote kurejea wiki ijayo na kwasasa odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

#MERIDIANBET MSIMU MPYA, MZIGO WA KUTOSHA

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Biashara

Wataalam Uganda wapewa darasa teknolojia mpya uchimbaji madini katika maonesho Geita

Spread the loveMAONESHO ya Teknolojia ya Madini yamezidi kuwa darasa kwa wadau...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Stamico yafungua fursa za kiuchumi kwa makundi maalumu

Spread the loveSHIRIKA la Madini la Taifa (STAMICO) limemwaga neema kwa watu...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Maabara ya bilioni 5 upimaji madini yazinduliwa Geita, inapima kwa mionzi

Spread the loveZaidi ya Sh bilioni tano zimewekezwa katika kampuni ya MSALABS...

Biashara

TPHPA yafunda wafanyabiasha, wakulima matumizi ya viuatilifu

Spread the loveMAMLAKA ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA), imetoa...

error: Content is protected !!