Friday , 3 May 2024

Kitengo

Categorizing posts based on content

Biashara

TPHPA yafunda wafanyabiasha, wakulima matumizi ya viuatilifu

MAMLAKA ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA), imetoa mafunzo kwa wakulima ili waweze kutumia viuatilifu vilivyosajiliwa kwa usahihi. Anaripoti Mwandishi Wetu...

BiasharaMichezo

Ukiwa na Meridianbet ni rahisi kuwa milionea

  CARABAO Cup raundi ya 3 Uingereza inaendelea na mechi hizo zipo kwaajili ya kukupatia pesa yani kukufanya uione hii Dunia ni yako...

Michezo

Jezi ya Samatta iliyoifunga Liverpool kuuzwa Genk

  KLABU ya KRC Genk ya nchini Ubelgiji imeamua kuanza kuuza jezi ya mchezaji wa kitanzania Mbwana Samatta Nahodha wa timu ya taifa...

Biashara

NMB yatoa vifaa vya milioni 40 kwa Shule, Zahanati na Hospitali Mafia

BENKI ya NMBimekabidhi misaada mbalimbali yenye thamani ya Sh 40 milioni kwa Hospitali ya Wilaya ya Mafia, zahanati tano na shule moja ya...

Kimataifa

Mahakama yamkuta na hatia Donald Trump

  ALIYEKUWA Rais wa Marekani, Donald Trump, amekutwa na hatia ya ulaghai kwenye shughuli zake za biashara katika muongo mmoja uliopita. Anaripoti Mwandishi...

Kimataifa

Harusi yageuka msiba 100 wakifariki kwa ajali ya moto

  WATU takribani 100, akiwemo bibi na bwana harusi, wamefariki dunia kwa ajali ya moto iliyotokea usiku wa jana Jumanne, katika ukumbi waliokuwa...

Biashara

Trilioni 8 kujenga viwanda 200 Kwala

SERIKALI imesema uwekezaji unaofanywa na Sino-Tan katika Kongani ya Viwanda iliyopo Kwala, wilayani Kibaha mkoani Pwani utafanikisha ujenzi wa viwanda 200 vitakavyogharimu zaidi...

Kimataifa

Kampuni ya mali ya China Oceanwide yapata agizo la kufilisiwa huko Bermuda

  MAHAKAMA ya Bermuda imetoa amri ya kufilisiwa kwa Kamapuni ya Mali ya China ya Oceanwide Holdings Imeripotiwa na South China Morning Post...

Biashara

Infinix zero 30 5G yazinduliwa Tanzania, Voda watajwa kunufaika nayo

  KAMPUNI ya simu ya Infinix leo imetangaza uzinduzi wa simu mpya ya Infinix ZERO 30 5G, simu mahiri ya kwanza kwa kampuni...

BiasharaMichezo

Hii ndio historia ya El-Clasico, derby bora zaidi duniani

  KILA nchi ina vilabu viwili hasimu na pinzani nje ya uwanja na ndani, mfano Uingereza kuna Man Utd vs Man City (Manchester...

Biashara

NBC kuchochea ustawi biashara kati ya Tanzania na Afrika Kusini

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imesisitiza kuhusu dhamira yake ya kufanikisha ustawi wa biashara baina ya Tanzania na Afrika kusini kwa kuwawezesha...

Biashara

NMB yazindua hati fungani mpya ya trilioni 1

BENKI ya NMB imezindua rasmi programu mpya yenye hati fungani zenye thamani ya jumla ya Sh. trilioni moja, huku ikitajwa kuwa ya kwanza...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Serikali kununua mitambo 15 ya kuchoronga miamba

Serikali kupitia Wizara ya Madini imepanga kununua mitambo 15 ya uchorongaji wa miamba kwa ajili ya utafiti wa kina wa madini. Anaripoti Mwandishi...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Mtanzania aweka rekodi kimataifa kwa kiwanda cha kusafisha dhahabu

IMEELEZWA kuwa Kiwanda cha Kusafisha dhahabu cha Geita Gold Refinery (GGR) kinachomilikiwa na Mwekezaji Mtanzania, Sarah Masasi kimeiweka Tanzania katika Soko la Kimataifa...

Elimu

Green Acres kuwakatia bima wanafunzi wote

Shule ya Green Acres imejipanga kufanya mambo makubwa kwa mwaka 2023 / 2024 ikiwemo kuwakatia bima wanafunzi wa shule hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)...

AfyaHabari Mchanganyiko

Wafanyakazi GGML wajitokeza kuchunguzwa saratani

WAFANYAKAZI wa Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) leo Ijumaa wamejitokeza katika maonesho ya sita ya teknolojia ya madini Geita na kupatiwa...

BiasharaMichezo

Piga pesa kupitia Derby ya London Kaskazini kwa kubadhiri na Meridianbet

NAJUA umesikia na unazijua Derby nyingi kutoka jiji la London, lakini kuna hii ambayo inakwenda kupigwawikiendi hii pale katika dimba la Emirates kati ya...

Biashara

BRELA watoa elimu urasimishaji biashara maonesho madini

KATIKA kuongeza wigo kwa wawekezaji na wafanyabiashara kurasimisha biashara zao, Wakala ya Usajili wa Biashara na Leseni  nchini (BRELA) umetoa wito kwa wafanyabiashara...

Sanaa

Msanii Kusah apagawisha wanafunzi Green Acres

MSANII  wa nyimbo za bongo fleva Salmin Ismail maarufu kama Kusah,  amezitaka shule nchini kutenga muda wa kutosha wa michezo ili waweze kuibua...

Elimu

Vipaji Green Acres vyawafurahisha wazazi

WANAFUNZI wa Shule ya Msingi Green Acres, wamewapagawisha wazazi na wageni waalikwa kwenye mahafali yao baada ya kuzungumza kwa ufasaha lugha ya Kifaransa...

AfyaHabari Mchanganyiko

GGML yatoa msaada wa vifaa tiba kuboresha afya Geita

KATIKA jitihada za kuendelea kuboresha sekta ya afya mkoani Geita, Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imetoa msaada wa vifaa tiba kwa...

Afya

Hospitali Kanda Mtwara yaokoa mamilioni, yajipanga kuhudumia nchi jirani

  MAMILIONI ya fedha yaliyopaswa kutumika katika kusafirisha wagonjwa kutoka mikoa ya Kusini hadi Dar es Salaam, yameokolewa baada ya Hospitali ya Kanda...

ElimuHabari Mchanganyiko

Mtwara Girls waondokana na changamoto ya maji

  WANAFUNZI wa Shule ya Sekondari ya Wasichana mkoani Mtwara (Mtwara Girls High School), wameishukuru Serikali ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kwa...

Biashara

Emirates SkyCargo inaendeleza uzoefu wake wa kibunifu kwa wateja kwa kutumia Cargo.

  EMIRATES SkyCargo sasa iko hai kwenye suluhisho la soko la CargoAi, CargoMART, ikisonga mbele zaidi katika uzoefu wa dijiti kwa wateja na...

BiasharaMichezo

Wikiendi hii ushindi upo Meridianbet na si kwingine

USHINDI huu ni wako mteja wa Meridianbet kama mechi za UEFA na Europa hazikukupatia pesa basi usihfu wikendi hii inaenda kutenda maajabu yani...

Biashara

Cheza Keno bonanza ya Meridianbet ushinde bodaboda

HII hapa promosheni nyingine kutoka Meridianbetinayokupa zawadi kabamebe kama vile Bodaboda mpya napesa taslim bila kusahau simjanja za kijanja zitamwagikakama mvua. Anaripoti Mwandishi...

Biashara

Makamu Rais AngloGold Ashanti-GGML atembelea maonesho ya madini Geita

MAKAMU Rais wa kampuni ya AngloGold Ashanti Tanzania-GGML anayeshughulikia miradi endelevu kwa upande wa Ghana na Tanzania, Simon Shayo leo Ijumaa ametembelea maonesho...

Kimataifa

Uvamizi wa kijeshi Milango ya bahari ya Taiwan G7 yapinga China

MKUTANO wa Mawaziri wa Mambo ya nje wa nchi za G7 zimepinga kitendo cha uvamizi wa Jeshi la China katika ukanda wa Bahari...

Biashara

Pata ushindi mnono na mechi za Europa kupitia Meridianbet

KAMA unataka ubingwa wakati wa kubashiri mechi zako chimbo ni moja tuu ambalo lipo ndani ya Meridianbet yani ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya...

BiasharaMichezo

Safari ya Gavi kutoka Academy ya Real Betis mpaka Barca

  ANITWA Pablo Martín Páez Gavira ‘Gavi’, sasa ni mchezaji wa kutegemewa katika kikosi cha Barcelona na amecheza mechi zaidi ya 100 mpaka...

BiasharaHabari Mchanganyiko

RC Geita aipongeza GGML kudhamini maonesho ya madini, 400 kushiriki

MKUU wa Mkoa wa Geita, Martin Shigela ameipongeza Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kuendelea kuwa mdhamini mkuu wa maonesho ya...

Biashara

Chama cha Wasioona waishukuru Meridianbet

  MAISHA ya binadamu yamejaa mambo mengi sana, kuna mengi ya kidunia unaweza kupitia ukajiona hauna thamani tena kwa jamii, lakini uwepo wa...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Waziri Mkuu aiagiza PURA kuharakisha zoezi la kunadi vitalu

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameitaka Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) kuharakisha mchakato wa kunadi vitalu vya mafuta na gesi...

BiasharaMichezo

SBL yazindua Serengeti Oktoba Festival

  KAMPUNI ya Bia ya Serengeti Breweries Ltd (SBL) kupitia bia yake ya Serengeti Lite imezindua Tamasha kubwa la Serengeti Oktoba Festival litakalofanyika...

Biashara

Majaliwa afungua kongamano la nishati, atembelea banda la NMB

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Tanzania haitegemei kuzalisha umeme kwa kutumia maji pekee bali inaendelea kuweka mkazo katika uzalishaji wa umeme kwa kutumia...

Biashara

GGML yatoa milioni 150 kudhamini Maonesho ya 6 ya Madini Geita

KATIKA kuendelea kudumisha dhamira ya ubunifu wa kiteknolojia, Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML)  imetoa kiasi cha Sh milioni 150 kudhamini Maonyesho...

BiasharaMichezo

Hatimaye yametimia, Novatus aingia katika rekodi ya Uefa

  BAADA ya Mbwana Samatta na Sunday Manara kuandika rekodi ya kucheza Uefa Champions League ambapo Samatta alifanikiwa kuifunga Liverpool ya Jurgen Klopp,...

Kimataifa

Rais Kagame kuwania muhula wa nne

Rais wa Rwanda, Paul Kagame amesema atawania muhula wa nne katika uchaguzi wa rais mwaka ujao. Anaripoti Matilda Peter kwa msaada wa Mitandao...

Kimataifa

Ukraine kufungua kituo cha nafaka Kenya

Rais wa Kenya, William Ruto amesema serikali ya Ukraine inapanga kuweka kituo cha nafaka mjini Mombasa kama sehemu ya hatua kubwa ya kukabiliana...

Biashara

Watumiaji mtandao wa X sasa kulipia huduma

MMILIKI wa mtandao wa kijamii  X, Elon Mask ambao zamani ulikuwa unaitwa Twitter anatarajiwa kuweka tozo za malipo katika utumiaji wa mtandao huo....

Biashara

Mechi za kukupa pesa usiku wa Ulaya hizi hapa

BAADA ya kungojea kwa muda mrefu hatimaye Ligi ya Mabingwa imerejea ambapo leo na kesho ni kivumbi tuu timu 32 zinawania ushindi kwenye...

Biashara

NMB yashinda tena tuzo ya kuongoza kuwafadhili wajasiriamali

Benki ya NMB imetunukiwa tena tuzo na jukwaa la kufadhili ujasiriamali duniani (SME Finance Forum) kutokana na huduma zake wezeshi na ufadhili wake...

Elimu

Rc Singida atoa siku 7 kukamilisha miradi elimu ya sekondari

MKUU wa Mkoa wa Singida Peter Selukamba ametoa siku saba kwa halmashauri ya Iramba, Mkarama, Singida Dc na Manispaa kuhakikisha miradi ya elimu...

Biashara

SBL yazindua programu ya “Learning for Life” kuwajengea uwezo vijana Hanang

  KAMPUNI ya Serengeti Breweries Limited (SBL) imezindua programu ya “Learning for Life” itakayogusa vijana wa wilaya ya Hanang kwa lengo la kuwapa...

Kimataifa

Kufungwa kwa mpaka wa Tibet kulivyoathiri maisha ya Wanepali katika vijiji vya milimani

  KALU Dhami kutoka Dhalain moja ya kata ya Manispaa ya Vijijini ya Saipali ni mfugaji wa kondoo. Hadi miaka minne iliyopita, Dhami...

Biashara

Meridianbet Kasino waja na mchezo mpya wa Reinin Money

LEO nakupasha kuhusu mchezo wa kasino ya mtandaoni waMeridianbet wenye kuvutia ambapo, shangwe la bonasi zakasino ya mtandaoni linakusubiri. Ili kunogesha mchezo nakuufanya...

AfyaHabari Mchanganyiko

Magonjwa yasiyoambukiza tishio, vyombo vya habari vyatakiwa kuelimisha umma

VYOMBO vya habari vimetakiwa kuongeza jitihada katika elimu ya kujikinga dhidi ya magonjwa yasiyoambukiza (NCD’s) ili kukabiliana na janga hilo ambalo sasa likadiriwa...

Biashara

Ligi zarejea na maokoto ya Meridianbet kama kawaida wikiendi hii

  BAADA ya kukosa ladha ya ligi ya Ulaya hatimaye wikendi hii inarejea ikiwa na mechi kibao za kukupa pesa za kutosha ukibashiri...

Biashara

Meridianbet, halopesa waja na ‘Jichukulie maokoto na Halopesa’

  KAMPUNI kongwe na bora kabisa kwenye michezo ya kubashiri Meridianbet imeingia kwenye ushirikiano na kampuni ya simu za mikononi ya Halotel kwa...

Biashara

Mbunge Lugangira azindua kampeni ya “Pika na Gesi”

MBUNGE wa Viti Maalum CCM, Neema Lugangira amezindua Kampeni ya “Pika kwa Gesi, Tunza Mazingira” inayolenga kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia...

error: Content is protected !!