Monday , 11 December 2023
Home Kitengo Biashara Piga pesa kupitia Derby ya London Kaskazini kwa kubadhiri na Meridianbet
BiasharaMichezo

Piga pesa kupitia Derby ya London Kaskazini kwa kubadhiri na Meridianbet

Spread the love

NAJUA umesikia na unazijua Derby nyingi kutoka jiji la London, lakini kuna hii ambayo inakwenda kupigwawikiendi hii pale katika dimba la Emirates kati ya wenyejiklabu ya Arsenal dhidi ya Tottenham Hotspurs inafahamikakama North London Derby yaani dabi kutoka Kaskazinimwa jiji la London na inatajwa kama derby yenye uhasimumkubwa zaidi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Sslaam … (endelea). 

Kupitia derby ya London Kaskazini ambayo itapigwa siku yajumapili Meridianbet hawataki kukuacha nyuma ambapowanataka upige mkwanja kupitia mechi hii kali kabisa kwani,pale kwenye tovuti yao timu zote mbili zimepewa ODDS KUBWA na za kutosha ambapo Arsenal wenyeji wamepewaODDS ya 1.71 kushinda huku Tottenham wao wakipewa ODDS ya 4.21 kushinda mchezo huo.

Jambo ambalo linafanya mchezo huu uwe wa kuvutia zaidimbali na uhasimu mkali uliopo baina ya vilabu hivo viwilikutoka Kaskazini mwa jiji la London ni fomu ya timu zote mbiliambayo wamekua nayo mpaka sasa, Kwani Arsenal mpaka sasawamecheza michezo mitano na kushinda minne na kusuluhumchezo mmoja hivohivo kwa Tottenham hivo mchezo huo ndiounasubiriwa kwa hamu kuangalia nani atakubali kupokeakichapo kwa mara ya kwanza msimu huu.

Ukiwa na Meridianbet rahisi kujinyakulia kitita cha pesa kwani kuna michezo ya kasino kama vile, Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao ya kupiga pesa naMeridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

Utamu mwingine katika mchezo huu ni takwimu baina ya timuhizi zinapokutana ambapo katika michezo tisa ya mwishowaliyokutana katika ligi kuu ya Uingereza wenyeji Arsenal wameshinda mara nne, Huku Tottenham wao wakishinda maratatu na sare ni michezo miwili katika michezo yote walichezamichezo yote imetoa magoli ya kutosha, Hivo kwa wale wanaopenda kubashiri magoli ambapo pale Meridianbet chaguohilo lipo mchezo huu haujawahi kumuangusha mtu kwenyemagoli.

Mbali na Derby ya London Kaskazini lakini pia Jumapili hiikutakua na michezo mingine mikali itakayopigwa katika ligimbalimbali barani ulaya ambapo pale Meridianbet itakuaimewekewa ODDS KUBWA na unaweza kuibashiri ujishindiekitita cha kutosha.

NB: Habari njema kwako,Meridianbet imesikia ombila wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwadau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindiatajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

Michezo mingine itakua kati ya Chelsea dhidi ya Aston Villa utakaopigwa pale katika dimba la Stamford Bridge, Liverpool wakiwa nyumbani wao wataikaribisha Westham ya David Moyes pale La liga kutakua na mbungi ya kukata na shokaDerby ya Madrid ambapo Atletico Madrid itakua nyumbanikuikaribisha klabu ya Real Madrid katika dimba la Wanda Metropolitano pale Ufaransa Mabingwa watetezi klabu ya PSG watacheza na Olympique de Marseille ambapo wamepishanaalama moja mchezo unaotarajiwa kua mkali sana. Michezo yotehii utaipata pale Meridianbet na imewekewa ODDS BOMBA kazi ni kwako tu kuweka ubashiri wako na ujishindie mkwanjawa kutosha.

Meridianbet inakupatia machaguo mengi zaidi ya 1000, ODDS Kubwa na kile ambacho unakitaka ndio maana kaulimbiu yaoinasema kuwa, Meridianbet, Msimu Mpya Mzigo waKutosha. Kama bado hujajisajili na Meridianbet muda ndioingia www.meridianbet.co.tz uanze kucheza michezombalimbali ya kasino pamoja na kubashiri mechi.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Pesa ipo huku Meridianbet, beti sasa

Spread the love  WIKIENDI inaishia leo hii jaman kama bado hujasuka mkeka...

Biashara

Meridianbet yatoa msaada Mwenge

Spread the love  KAMPUNI ya Meridianbet imefika maeneo ya Mwenge jijini Dar-es-salaam...

Biashara

Serengeti yakabidhi mkwanja kwa mshindi wa Maokoto ndani ya Kizibo

Spread the love Mshindi wa Maokoto ndani ya kizibo kutoka Kahama Mjini...

Biashara

Ushindi rahisi unpatikana kila ukicheza kasino ya Hot Joker

Spread the love  HOT Joker Fruits 20 ni mchezo wa sloti ya...

error: Content is protected !!