Monday , 11 December 2023
Home Kitengo Biashara Ukiwa na Meridianbet ni rahisi kuwa milionea
BiasharaMichezo

Ukiwa na Meridianbet ni rahisi kuwa milionea

Spread the love

 

CARABAO Cup raundi ya 3 Uingereza inaendelea na mechi hizo zipo kwaajili ya kukupatia pesa yani kukufanya uione hii Dunia ni yako kwa pesa kidogo tuu utaweza kujipigia mkwanja mrefu sana. Ingia www.meridianbet.co.tz  

Newcastle United atakuwa nyumbani dhidi ya Manchester City ambaye ni bingwa mtetezi wa Epl. Timu hizi zimekutana kwenye ligi msimu huu huku vijana wa Pep Guardiola wakiwa wanapendelewa kushinda mechi hii ndani ya Meridianbet wakiwa na ODDS ya 2.33 kwa 2.69. City haijapoteza mechi yoyote mpaka sasa huku Howe akiwa ameshapoteza mechi 3 mpaka sasa. Beti yako unaipeleka wapi?

Chelsea baada ya kupoteza mechi ya ligi iliyopita, atakuwa Stamford Bridge hii leo kukipiga dhidi Brighton ambayo ni ya moto kweli kweli. Msimu uliopita walipokutana The Blues amekufa mechi zote mbili kwenye ligi. Je Pochettino na vijana wake wataweza kutoka kesho mbele ya De Zerbi?

Cheza mechi za Jakpoti ukiwa na Meridianbet kwa wale wanaotumia USSD au kitochi  kwa kupiga *149*10# kwa dau la shilingi 1000 tuu uweze kupiga mkwanja wa shilingi 85,000,000. Ingia meridianbet na ucheze.

Liverpool atamenyana dhidi ya Leicester City ambayo kwasasa inshiriki ligi daraja la kwanza baada ya kushuka msimu uliopita na ndio kinara kwenye msimamo wa ligi hiyo. Liverpool ya Jurgen Klopp kuondoka na ushindi mechi hii amepewa ODDS ya 1.44 kwa 5.68. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 Meridianbet.

Brentford ambayo msimu huu bado inajitafauta itamleta nyumbani Arsenal ya Mikel Arteta. Nyuki kwenye mechi zake sita akshinda moja pekee huku The Gunners wameshinda nne. ODDS KUBWA zipo mechi hii ingia na ubeti sasa.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Pesa ipo huku Meridianbet, beti sasa

Spread the love  WIKIENDI inaishia leo hii jaman kama bado hujasuka mkeka...

Biashara

Meridianbet yatoa msaada Mwenge

Spread the love  KAMPUNI ya Meridianbet imefika maeneo ya Mwenge jijini Dar-es-salaam...

Biashara

Serengeti yakabidhi mkwanja kwa mshindi wa Maokoto ndani ya Kizibo

Spread the love Mshindi wa Maokoto ndani ya kizibo kutoka Kahama Mjini...

Biashara

Ushindi rahisi unpatikana kila ukicheza kasino ya Hot Joker

Spread the love  HOT Joker Fruits 20 ni mchezo wa sloti ya...

error: Content is protected !!