Saturday , 27 April 2024

Kitengo

Categorizing posts based on content

Biashara

SBL yazindua ‘Maokoto chini ya Kizibo’ wateja kushinda mpaka Mil. 1.5

  KAMPUNI ya Bia ya Serengeti Breweries Limited (SBL), imezindua kampeni yake ya ‘Maokoto chini ya Kizibo’ ambayo itawafanya wapenzi wa bia kuwa...

Biashara

NMB yazindua huduma maalum kwa ajili ya wastaafu

BENKI ya NMB imeanzisha mpango maalum wenye masuluhisho mahususi kwa ajili ya kuwahudumia wastaafu na wastaafu watarajiwa unaoitwa NMB Hekima Plan. Anaripoti Mwandishi...

Elimu

Samia:Bajeti ijayo tutazingatia ujenzi nyumba za walimu

RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali yake inafanyia kazi changamoto ya upungufu wa walimu nchini, huku akiweka wazi mpango wake wa kutaka...

Kimataifa

Makamanda 6 Hamasa wadaiwa kuuawa

Jeshi la Israel linadai kuwa hadi sasa limeshawaua viongozi sita wa juu wa kundi la Hamas tangu kuanza vita dhidi ya Ukanda wa...

Michezo

Singida Big Stars yamwita Rais Samia

TIMU ya Singida Fountain Gate, maarufu kama Singida Big Stars, imemwalika Rais Samia Suluhu ahudhurie katika mechi zake  kama anavyofanya kwa timu nyingine...

BiasharaMichezo

Msafara wa Twende Butiama wakamilika kwa mafanikio makubwa

BAADA ya safari ya siku 14, zaidi ya kilometa 1,500 kupita wilaya 20 za mikoa 10 tofauti nchini, hatimaye msafara wa waendesha baiskeli...

Michezo

GGML wakabidhi basi jipya lenye thamani ya Mil. 500 kwa Geita Gold FC.

Uongozi wa Mgodi wa Geita Gold Mining Limited (GGML) ambao ndio wadhamini wakuu wa Klabu ya Geita Gold FC. yenye maskani yake mkoani...

HabariSiasa

Dk. Rose Rwakatare atoa kadi 500 kila Wilaya Morogoro

MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi CCM Mkoa wa Morogoro, Dk Rose Rwakatare, amehitimisha ziara yake mkoani humo akiwataka viongozi kuhakikisha wanaanzisha miradi ya...

ElimuHabari

CBE, WMA wasaini makubaliano wanafunzi kusoma wakifanyakazi

NAIBU Spika Musa Azzan Zungu amekipongeza Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE)  kwa kutoa mafunzo ambayo yanaendana na soko la ajira na kuwashauri...

Michezo

Wajue Mastaa wa soka wasiokuwa na Tattoo Duniani

    MPIRA wa Miguu ni sehemu ya kaaida ya maisha ya wanadamu, mashabiki na wachezaji huwa na hisia moja ya kushangilia ushindi...

Afya

Wagonjwa wa saratani wanachelewa kugundulika

IMEELEZWA kuwa asilimia 80 ya wagonjwa wa saratani ya matiti nchini Tanzania wanagundulika ikiwa wamefikia hatua ya tatu na nne, hiyo ikichangiwa na...

Kimataifa

Wapalestina waanza kukimbia Gaza baada ya tishio la Israel

WAPALESTINA waishio katika Ukanda wa Gaza, wameanza kukimbia makazi yao baada ya Israel kuwapa saa 24 wakitaka wahamie sehemu nyingine ili kupisha mashambulizi...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Tanzania, Zambia zakubaliana kutatua changamoto za kibiashara

Tanzania na Zambia zimekubaliana kutatua changamoto nane kati ya 24 za kibiashara na 16 zilizobaki zimewekewa utaratibu wa kuzitatua ifikapo tarehe 31 Disemba...

Biashara

NMB kuanza kutoa mikopo kidigitali kwa watumishi wa umma 

BENKI ya NMB  imebainisha mipango yake ya kuanzisha mfumo wa uthibitishwaji wa maombi ya mikopo kwa njia ya kidigitali kwa wafanyakazi wa umma...

Biashara

Meridianbet yainogesha weekend, wanakupa 10% kila Ijumaa ukicheza Keno & Lucky 6

  IFANYE Ijumaa kuwa ni siku ya bahati kwako, hata Cristiano Ronaldo anasema kwamba anaipenda namba 7 kwakuwa ni namba yake ya bahati...

BiasharaTangulizi

Kilo 4.3 za dhahabu zadakwa zikitoroshwa

Katika kuhakikisha Tanzania inalinda rasilimali madini ili zichangie maendeleo ya nchi na kuinua uchumi wa watanzania, Serikali imesimamisha leseni zote nchini za Kampuni...

Biashara

Bashungwa atoa siku 4 Kivuko MV. Mara kikamilike

KAMPUNI  ya Songoro Marine imepewa siku 4 kuhakikisha inakamilisha ukarabati wa kivuko cha MV. Mara kinachofanya safari zake kati ya Iramba wilaya ya...

Elimu

Ujenzi shule ya kwanza kata ya Kilimani washika kasi

HATIMAYE kata ya Kilimani katika Jiji la Dodoma imeanza ujenzi wa shule ya msingi itakayogharimu kiasi cha Sh 80 milioni kwa kuanza na...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Mgogoro wa wachimbaji Mafurungu watatuliwa, wapewa leseni

Serikali kupitia Wizara ya Madini imetatua rasmi mgogoro wa wachimbaji wadogo wa madini uliodumu kwa mwaka mmoja katika Kitongoji cha Mafurungu – Wilaya...

Michezo

Osman Bey kulipwa bil 2 kwa tangazo moja

  BURAK Ozcivit wengi mnamfahamu kwa jina la Osman Bey kama jina lake la uigizaji lilivyo, ndoto zake zilikuwa ni kuwa mwanamitindo wakati...

Kimataifa

Gavana wa benki kuu Burundi akamatwa kwa ufisadi

DIEUDONNÉ Murengerantwari anatuhumiwa na wizara ya sheria ya Burundi kwa madai ya kuhujumu utendaji wa uchumi wa taifa, ufisadi na ufujaji wa mali...

KimataifaMakala & Uchambuzi

Mohammed Deif: Paka mwenye roho tisa anayeongoza kundi Hamas

WAKATI vita kati ya Israel na Palestina ikizidi kushika kasi na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 2000, asilimia kubwa ya wafuatiliaji wa...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB yatoa elimu ya fedha kwa wafanyabiashara Dar

BENKI ya NMB kupitia Klabu za Biashara ‘NMB Business Club’ imeandaa mafunzo ya kifedha kwa wafanyabiashara jijini Dar es Salaam ikiwa ni utekelezaji...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Bilioni 81 kumaliza foleni kwenye mizani

KATIKA harakati za kuondokana na msongamao wa magari barabarani Serikali inatarajia kutenga Sh 81 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa mizani ya kupima...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Waziri Mhagama akoshwa na Mshikofasta ya NMB 

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Jenista Mhagama amewataka vijana kuchangamkia fursa ya mkopo wa Mshikofasta inayotolewa na...

KimataifaTangulizi

Hali mbaya Gaza, hospitali zaelemewa

  HALI za wapalestina waishio ukanda wa Gaza, imezidi kuwa mbaya kufuatia mashambulizi ya anga na mabomu yanayoendelea kufanywa na Israel, ambayo yamesababisha...

Elimu

Serikali yaahidi kuzilegeza masharti shule binafsi

  SERIKALI imeahidi kuboresha mazingira ya uwekezaji kwa wamiliki wa shule binafsi, ili ziweze kutekeleza majukumu yake vizuri ya kutoa elimu bora kwa...

Biashara

Meridianbet kuzindua mzigo mpya pamoja na Expanse Studios

  EXPANSE Studios iko tayari kuandika historia huko G2E Las Vegas, ambayo ni Roma ya sasa kwenye ulimwengu wa iGaming, ili kuwasilisha bidhaa...

Biashara

Karata moja tu kwenye Blackjack inakupa ushindi mara 100

  WATENGENEZAJI wa michezo ya kasino mtandaoni Expanse Studios, inakuletea mchezo rahisi kucheza na kushinda kupitia Meridianbet Kasino mtandaoni, ukikutana na wachezaji wa...

KimataifaTangulizi

Watu 1,000 wafariki vita Israel, Palestina

  MAPIGANO ya kijeshi kati ya Kundi la Hamas la Palestina na Jeshi la Israel, yaliyoanza Jumamosi iliyopita, yamepoteza maisha ya watu zaidi...

Biashara

NBC yazindua msimu wa tatu  “Wekeza NBC Shambani Ushinde’’

  BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua msimu wa tatu wa kampeni yake  maalum kwa wakulima wa zao la korosho katika mikoa ya Mtwara na Lindi inayofahamika kama ‘Wekeza...

KimataifaTangulizi

Netanyahu: Israel imeingia kwenye vita virefu na vigumu, zaidi ya 900 wameuawa

  TAKRIBANI Waisraeli 900 wameripotiwa kuwawa na 100 wengine kutekwa nyara katika mashambulizi yaliyoendeshwa na vikosi vya wanamgambo wa Hamas ndani ya Israel....

Michezo

Lavaud agonga kolabo ya kibabe na Tiwa Savage…

STAA wa kike kwenye uwezo mkubwa katika kuimba na kutunga, Lavaud amerejea kwa kishindo baada ya kuachia singo kali inayokwenda kwa jina la...

Michezo

Arsenal kuingia uwanjani leo kujaribu kufuta uteja mbele ya Man City

WIKIENDI hii itapigwa mechi moja ya kiume pale katika dimba la Emirates ambapo klabu ya Arsenal wataikaribisha Manchester City, mchezo huu washika mitutu wanakwenda kutafuta nafasi...

Elimu

GEL yataja fursa ziara ya Rais Samia India

WAKALA wa Elimu Nje ya Nchi Global Education Link (GEL) imetaja fursa kem kem ambazo Tanzania itanufaika nazo kupitia  ziara ya Rais Samia...

Michezo

GGML waitia ndimu Geita Gold FC. vs Yanga

HATIMAYE changamoto ya usafiri kwa timu ya Geita Gold FC. imetatuliwa baada ya basi jipya la timu hiyo lililoagizwa na Kampuni ya Geita...

Kimataifa

Watu 100 wafariki katika shambulio Syria

  WATU takribani 100 wamefariki dunia nchini Syria, kutokana shambulio la ndege zisizo na rubani liliopiga kwenye Chuo cha kijeshi cha taifa hilo....

Kimataifa

WHO yaonya mlipuko homa ya Dengue

  SHIRIKA la Afya Duniani (WHO), limewataka wanachama wake kuchukua tahadhari dhidi ya mlipuko wa ugonjwa wa homa ya Dengue, unaodaiwa kusababishwa na...

Michezo

Bingwa Kombe la Dunia kulamba bil 191, Meridianbet nao kumwaga mkwanja

  KOMBE la Dunia ni kombe lenye thamani kubwa zaidi kwenye mchezo wa mpira wa miguu, ukiachilia mbali mashindano mengine ya dunia kama...

Biashara

Vodacom, Twende Butiama wapanda miti na kutoa madawati Dodoma

KAMPUNI Vodacom Tanzania Foundation kwa kushirikiana na Twende Butiama wamepanda miti na kusaidia madawati kwa shule ya msingi Medeli ya Jijini Dodoma. Anaripoti...

Elimu

CBE kuanza kutoa mafunzo kwa njia ya mtandao

CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimewataka walimu na wafanyakazi wa chuo hicho kuboresha huduma kwa wateja na kujiandaa kutoa mafunzo kidijitali ili...

BiasharaMichezo

Angalia game za Europa huku ukipiga mkwanja na Meridianbet

KIJANA wa Kitanzania kwenye safari ya kutimiza ndoto zako najua utakuwa unawaza ni lini utazifikia hizo ndoto, lakini ukiwa na Meridianbet ni rahisi...

Elimu

NMB yatoa milioni 20 kupiga jeki shule 3 Ilala 

IKIWA ni sehemu ya dhamira yake ya kusaidia maendeleo ya sekta elimu nchini, Benki ya NMB imekabidhi madawati na meza yenye thamani ya...

BiasharaHabari Mchanganyiko

GGML yaibuka mshindi wa jumla maonesho ya madini Geita

KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited imenyakua tuzo nne ikiwamo mshindi wa jumla katika maonesho ya teknolojia ya madini yaliyofanyika kwa muda wa...

Biashara

Unyama ni kucheza Deuces Wild Poker

  NAFASI ya kuwa tajiri unayo mikononi mwako, lakini kuna kisa kimoja nataka ukifahamu kabla sijakupa mchongo kamili wa jinsi ya kutusua ulivyo....

BiasharaTangulizi

Bei ya mafuta ya petroli, dizeli kwa mwezi Oktoba yapaa tena

BEI ya mafuta ya petroli kwa mwezi Oktoba 2023, imepanda kwa Sh. 68, huku dizeli ikiongezeka kwa Sh. 189. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...

Kimataifa

Spika wa Marekani ang’olewa kwa madai ya usaliti

SPIKA wa Bunge la Marekani, Kevin McCarthy, ameondolewa madarakani kwa tuhuma za kukiasi chama chake cha Republican, akituhumiwa kushirikiana na Serikali ya Rais...

Biashara

Vodacom M-Pesa yajumuika kusherehekea siku ya urithi wa watu wa Afrika ya Kusini nchini Tanzania

KATIKA jitihada za kukuza na kuendeleza umoja miongoni mwa Watanzania na watu kutoka mataifa mengine, Vodacom Tanzania kupitia huduma yake ya M-Pesa iliungana...

Michezo

UEFA imekuja na maokoto yakutosha bashiri na Meridianbet sasa

UTAMU wa kubeti ule bhana, na ukitaka kula ni rahisi tuu weka dau lako dogo pata kikubwa zaidi. Mechi za Usiku wa Ligi...

AfyaHabari Mchanganyiko

Chanjo mpya ya malaria Sh 5,000-10,000

Shirika la afya la Duniani (WHO) limeridhia chanjo ya pili ya ugonjwa wa malaria kwa watoto ambayo inaweza kuokoa maisha ya maelfu ya...

error: Content is protected !!