Thursday , 2 May 2024
Home Kitengo Biashara Vodacom, Twende Butiama wapanda miti na kutoa madawati Dodoma
Biashara

Vodacom, Twende Butiama wapanda miti na kutoa madawati Dodoma

Spread the love

KAMPUNI Vodacom Tanzania Foundation kwa kushirikiana na Twende Butiama wamepanda miti na kusaidia madawati kwa shule ya msingi Medeli ya Jijini Dodoma. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea).

Mkuu wa Kanda ya Kati wa Kampuni ya Vodacom Tanzania PLC, Joseph Sayi (kushoto) akikabidhi msaada wa madawati kwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya msingi Medeli A, Bw. Daniel Atilio ikiwa ni sehemu ya jitihada za msafara wa waendesha baiskeli wa Twende Butiama uliodhaminiwa na asasi ya Vodacom Tanzania Foundation. Waendesha baiskeli takribani 200 walianza safari yao jijini Dar es Salaam Oktoba mosi na wanatarajia kufika Wilayani Butiama Oktoba 14 ikiwa ni juhudi za kuenzi maisha na urithi wa Mwalimu Nyerere kupitia utekelezaji wa shughuli za elimu, mazingira, na afya.

Mkuu wa Kampuni ya Vodacom Tanzania Kanda ya Kati, Joseph Sayi (wa pili kushoto) akiwa ameshikilia mche wa miti pamoja na Mwenyekiti wa Twende Butiama, Bw, Gabriel Landa kushoto kwake ikiwa ni sehemu ya jitihada za msafara wa waendesha baiskeli wa Twende Butiama uliodhaminiwa na taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation. Waendesha baiskeli takribani 200 walianza safari yao jijini Dar es Salaam Oktoba mosi na wanatarajia kufika Wilayani Butiama Oktoba 14 kama juhudi za kuenzi maisha na urithi wa Mwalimu Nyerere kupitia utekelezaji wa shughuli za elimu, mazingira, na afya.

Baadhi ya waendesha baiskeli wa msafara wa waendesha baiskeli wa Twende Butiama uliodhaminiwa na taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation, wakiwa na wanafunzi wa Shule ya msingi Medeli A ya jijini Dodoma ambapo waliweka kituo na kushiriki shughuli za upandaji wa miti na kukabidhi msaada wa madawati. Waendesha baiskeli takribani 200 walianza safari yao jijini Dar es Salaam Oktoba mosi na wanatarajia kufika Wilayani Butiama Oktoba 14 kama juhudi za kuenzi maisha na urithi wa Mwalimu Nyerere kupitia utekelezaji wa shughuli za elimu, mazingira, na afya.

Baadhi ya waendesha baiskeli wa msafara wa waendesha baiskeli wa Twende Butiama uliodhaminiwa na taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation, wakiwa katika picha ya pamoja katika mnara wa Mwalimu Nyerere jijini Dodoma ambapo waliweka kituo na kushiriki shughuli za upandaji wa miti na kukabidhi msaada wa madawati Shule ya msingi Medeli A. Waendesha baiskeli takribani 200 walianza safari yao jijini Dar es Salaam Oktoba mosi na wanatarajia kufika Wilayani Butiama Oktoba 14 kama juhudi za kuenzi maisha na urithi wa Mwalimu Nyerere kupitia utekelezaji wa shughuli za elimu, mazingira, na afya.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Biashara

Cheza sloti ya Zombie Apocalypse na ushinde kirahisi

Spread the love Wengi wetu hupenda filamu za Mazombie huwa zinatishakidogo lakini...

Biashara

Ushirikishwaji wa wafanyakazi ni muhimu katika utekelezaji wa sera za afya na usalama kazini

Spread the love  KILA ifikapo Aprili 28 ya kila mwaka, dunia huadhimisha...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Oryx gesi yagawa mitungi, majiko 100 kwa waandishi wa habari Dar

Spread the loveKAMPUNI ya Oryx Gesi Tanzania imegawa mitungi 100 ya gesi...

Biashara

Wazir Jr kinara wa ufungaji KMC FC ajiunga Meridianbet

Spread the love    MUITE Wazir Jr ‘The King of CCM Kirumba’,...

error: Content is protected !!