Monday , 11 December 2023
Home Kitengo Michezo Osman Bey kulipwa bil 2 kwa tangazo moja
Michezo

Osman Bey kulipwa bil 2 kwa tangazo moja

Spread the love

 

BURAK Ozcivit wengi mnamfahamu kwa jina la Osman Bey kama jina lake la uigizaji lilivyo, ndoto zake zilikuwa ni kuwa mwanamitindo wakati akiwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Marmara huko Istanbul. Mwaka 2003 nyota yake ilianza kung’aa kwa kuwa Mwanamitindo bora wa Uturuki na miaka miwili baadae 2005 alitambuliwa kuwa nafasi ya 5 kwa wanamitindo bora duniani. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Osman Bey alikulia Istinye Jiji la Istanbul, alizaliwa Desemba 24 mwaka 1984, 2006 akiwa bado kijana mdogo tena akiwa chuo aliitwa kushiriki kwenye Tamthilia ya Eksi 18 unaambiwa alifanya poa sana na kuwavutia waongozaji wengi wa filamu nchini humo. Dunia imetawaliwa na watu wanye pesa moja baadhi yao ni Nyumba ya mabingwa Meridianbet unaweza kucheza kasino mtandaoni moja ya michezo rahisi kushinda ni Aviator.

Msanii huyu alihitimu chuo akiwa na shahada ya upigaji picha na uongozaji. Tamthilia ya Calikusu ilianza kumuweka kwenye njia ya umaarufu 2013-2016 moja kati ya kazi nzuri iliyomtambulishwa vyemaikiwemo hapa Tanzania ni tamthiliya yaKara Sevda. Alijulikana kama macchoglu bali bey kwenye Tamthilia pendwa ya muhtezem yuzlil, wengi wakiifahamu kwa jina la SULTAN.

Mke wake anaitwa Fahriye Evcen ni Mjerumani aliyefunga nae ndoa mwaka 2017, na kujaliwa watoto wawili wa kiume Karan na Kerem 2023.

Sio lazima uwe msanii au uwe na kipaji ndio upige mkwanja, ni rahisi sana kama utacheza Aviator ya Meridianbet mchezo wa kidenge unaolipa Zaidi pale Kasino mtandaoni. Cheza hapa.

Kwa mujibu wa Businessdor.com katika chapisho lao la mwezi February 20, 2023 walimtaja kama msanii mkubwa anayelipwa pesa nyingi kufanya tangazo moja. Sehemu ya chapisho hilo iliandika kwamba “Msanii maarufu wa shoo za TV na Tamthiliya anayeoonekana kwenye matangazo Burak Ozcivit (Osman Bey) hivi karibuni imefahamika anaingiza dola Milion 1.3 kwa tangazo moja”

Pesa hizi ni sawa na Tsh Bil 2 za Kitanzania, pesa ndefu sana ambayo kuipata unatakiwa upambanae sana moja ya sehemu ya mapambano yako ni pale Meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na sloti yenye kukupa ushindi sekunde moja na kuwa tajiri.  Osman Bey anatajwa kuwa na utajiri unaofikia kiasi Cha Dola milioni 8 ambazo ni zaidi ya Tsh bilion 18, Jamaa ana mawe sana msemo wa watoto wa mjini huu.

NB: Meridianbet ina Jackpoti kubwa ya Tsh 200m timu 13 kwa dau dogo la Tsh 1,000/= yaani BUKU tu! ni maalum kwa wateja wa mtandaoni na wanaobashiri na kitochi bila bando *149*10# Kucheza Jackpoti Bonyeza hapa.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Pesa ipo huku Meridianbet, beti sasa

Spread the love  WIKIENDI inaishia leo hii jaman kama bado hujasuka mkeka...

Michezo

Wenzako wameshakuwa mamilionea hapa wewe unasubiri nini?

Spread the love  WIKIENDI imefika na ukiachana na mvua za Dar es...

Michezo

Manchester City vichwa chini Ligi Kuu England

Spread the love MABINGWA watetezi wa ligi kuu ya Uingereza klabu yaManchester City...

Michezo

Piga mkwanja wa kutosha katika usiku wa kibabe kati ya Man United vs Chelsea

Spread the love USIKU wa leo katika dimba la Old Trafford utapigwa mchezowa...

error: Content is protected !!