Monday , 11 December 2023
Home Kitengo Biashara Angalia game za Europa huku ukipiga mkwanja na Meridianbet
BiasharaMichezo

Angalia game za Europa huku ukipiga mkwanja na Meridianbet

Spread the love

KIJANA wa Kitanzania kwenye safari ya kutimiza ndoto zako najua utakuwa unawaza ni lini utazifikia hizo ndoto, lakini ukiwa na Meridianbet ni rahisi kupata pesa kwenye mechi hizi za Europa za leo kwani kwa dau dogo tuu unaweza kupata mkwanja wa maana wa kukufanya wewe kuwa milionea wakati huu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). 

Vijana wa Mourinho, AS Roma watamkaribisha Servette Geneva huku Roma kushinda mchezo huu amepewa ODDS ya 1.20 kwa 12.74. Je timu hiyo yenye Lukaku, Dybala na wengine itapata ushindi wa pili mfululizo kwenye michuano hii? Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 Meridianbet.

Baada ya kupoteza mechi ya kwanza Real Betis kutoka Hispania itakuwa mwenyeji wa Sparta Prague ambaye alishinda mechi yake ya kwanza. Meridianbet wamempa nafasi ya kushinda mchezo huu Betis aiwa na ODDS ya 1.77 kwa 4.21. Wewe beti yako unaipeleka kwa nani?

Wakati Ajax baada ya kutoa sare ya kufungana mechi yake iliyopita, leo hii yupo ugenini dhidi ya AEK Athens mwenye ODDS ya 2.17. Timu hiyo kutoka Uholanzi imekuwa ikipitia wakati mgumu sana kwenye michuano yote. Je leo itafanya nini kwenye mechi yake ya pili? Mechi hii ina machaguo mengi sana.

Habari njema ni kwa wale wateja wa USSD na kitochi kwani Meridianbet kwasasa wameongeza pesa kwenye ile Jackpoti yao na kufikia Milioni Mia Mbili, 200,000,000. Piga *149*10# ubashiri na Mabingwa wa ubashiri Tanzania, bila kusahau kuwa ONLINE pia ipo.

Aris Limassol FC ambaye ana ODDS ya 3.38 atamleta nyumbani Glasgow Rangers mwenye ODDS ya 2.03. Mwenyeji ametoka kupoteza mchezo wa kwanza huku mgeni akipata ushindi wa kwanza. Nani kuondoka na alama hizo zote? Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 Meridianbet.

Molde atakipiga dhidi ya Bayer Leverkusen ya Ujerumani ambaye amekuwa na wakati mzuri kwenye hizi mechi ambazo amezicheza hadi sasa. Nafasi ya kushinda mchezo huu amepewa Leverkusena akiwa na ODDS ya 1.42 huku mwenyeji akipewa ODDS ya 6.46. Wewe beti yako unampa nani kwa kuzingatia viwango vyao kwenye ligi?

Katika dimba la TSC Arena, TSC Backa Topola atamkaribisha Olympiacos ya Ugiriki akiwa na ODDS ya 1.55. Timu zote zimetoka kupoteza mechi zao za kwanza. Nani kuondoka na ubabe leo?

Villarreal atarejea dimbani kusaka pointi tatu kwenye Europa dhidi ya Rennes kutoka Ufaransa. Mgeni anaongoza kundi hilo baada ya kushinda mchezo wa kwanza. Je leo hii Nyambizi wa njano watakubali kichapo wakiwa nyumbani? ODDS KUBWA zipo mechi hii pia.

Kwingineko ni huko Ureno ambapo Sporting Lisbon atakipiga dhidi ya Atalanta huku timu zote zikishinda mechi zao za kwanza. ODDS ya kubaki na pointi tatu kwa Lisbon ni 2.25 na mgeni akuondoka nazo ni 3.04. Nani ni nani leo? Kivumbi hicho ni saa 1:45 usiku.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Pesa ipo huku Meridianbet, beti sasa

Spread the love  WIKIENDI inaishia leo hii jaman kama bado hujasuka mkeka...

Biashara

Meridianbet yatoa msaada Mwenge

Spread the love  KAMPUNI ya Meridianbet imefika maeneo ya Mwenge jijini Dar-es-salaam...

Biashara

Serengeti yakabidhi mkwanja kwa mshindi wa Maokoto ndani ya Kizibo

Spread the love Mshindi wa Maokoto ndani ya kizibo kutoka Kahama Mjini...

Biashara

Ushindi rahisi unpatikana kila ukicheza kasino ya Hot Joker

Spread the love  HOT Joker Fruits 20 ni mchezo wa sloti ya...

error: Content is protected !!