Monday , 11 December 2023
Home Kitengo Michezo Arsenal kuingia uwanjani leo kujaribu kufuta uteja mbele ya Man City
Michezo

Arsenal kuingia uwanjani leo kujaribu kufuta uteja mbele ya Man City

Spread the love

WIKIENDI hii itapigwa mechi moja ya kiume pale katika dimba la Emirates ambapo klabu ya Arsenal wataikaribisha Manchester City, mchezo huu washika mitutu wanakwenda kutafuta nafasi ya kufuta uteja dhidi ya City ya Pep Guardiola. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). 

Mchezo huu unavuta hisia za watu wengi kutokana namwenendo wa timu zote mpaka sasa ambapo klabu ya Arsenal wao wakiwa hawajapoteza mchezo wowote mpaka sasa, LakiniManchester City wao wakiwa wamepoteza mchez mmoja hivoni mchezo ambao unatarajia kua Arsenal wakuvutia zaidi.

Mchezo unatajwa kama ni nafasi ya Arsenal kwenda kufutauteja dhidi ya Man City kwakua klabu hiyo haijafanikiwakushinda mchezo wowote wa ligi kuu ya Uingereza dhidi yaklabu hiyo tangu mwaka 2017, Hii ikiwa ni rekodi mbaya kwaupande wa klabu ya Arsenal.

Ukiwa na Meridianbet rahisi kujinyakulia kitita cha pesa kwani kuna michezo ya kasino kama vile, Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao ya kupiga pesa naMeridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

Mchezo huu unavuta hisia za watu vilevile kutokana na nafasiya vilabu hivyo kwenye ligi kuu ya Uingereza ambapo klabu yaManchester City wapo kileleni wakiwa na alama 18 wakipishanana Arsenal kwa alama moja tu ambao wapo kwenye nafasi yatatu, Vilevile Man City wakiwa na nafasi ya kuharibu rekodi yasArsenal ambayo hawajapoteza mchezo mpaka sasa.

NB: Habari njema kwako,Meridianbet imesikia ombila wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwadau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindiatajinyakulia donge nono la Tsh 200,000,000/= PIGA *149*10#

Michezo mingine itaendelea kurindima wikiendi hii kuanziaJumamosi na Jumapili katika ligi mbalimbali kuanzia pale Uingereza, Hispania, Italia, Ujerumani na Ufaransa naMeridianbet na imewekewa ODDS BOMBA kazi ni kwako tukuweka ubashiri wako na ujishindie mkwanja wa kutosha.

Pale katika ligi kuu ya Uingereza Jumamosi Man United watashuka dimbani kuitafuta fomu yao wakiwa katika dimba laola nyumbani pale Old Trafford, Chelsea watakua ugenini pale Turf More dhidi ya klabu ya Burnley, Jumapili napo hapajapoaukiachana na kipute cha Arsenal lakini pale Amex Stadium Brighton wataikaribisha Liverpool, Westham nao wataikipigadhidi ya Newcastle United.

Ligi kuu ya Hispania nayo wikiendi hii kitapigika ambapomsiku ya Jumamosi Real Madrid watakipiga na Osasuna hukuSevilla watawakaribisha Rayo Vallecano pale Ramon Sanchez Pizjuan, Jumapili Barcelona watashuka dimbani kumenyana naGranada wakiwa ugenini Atletico Madrid wakiwa nyumbanikatika dimba lao la Wanda Metropolitano wataikaribisha Real Sociedad.

NB: Habari njema kwako,Meridianbet imesikia ombila wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwadau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindiatajinyakulia donge nono la Tsh 200,000,000/= PIGA *149*10#

Pale Italia katika ligi kuu ya Serie A kutapigwa michezo mikalipia siku ya jumamosi Inter Milan watakua nyumbanikuikaribisha Bologna huku kutakua na mtanange mkali waDerby ya Turin ambapo Juventus watakua nyumbanikuikaribisha Torino, Jumapili nayo itakua na michezo mikaliambapo Lazio atakipiga na Atalanta wakati Napoli wakiwanyumbani kukipga na Fiorentina.

Bundesliga nayo itakua haijapoa wala kuboa wikiendi hiiambapo siku ya Jumamosi Borussia Dortmund watakipiga naUnion Berlin huku Rb Leipzig watakipiga dhidi ya Bochum, Jumapili vinara wa Bundesliga Bayern Leverkusen watashukadimbani dhidi ya Fc Cologne ambapo Bayern Munich waowatakipiga dhidi ya Freiburg. Michezo yote hii mikali katika ligimbalimbali barani ulaya unaipata Meridianbet ikiwa na ODDS KUBWA na za kibabe weka ubashiri wake upige mkwanja wakutosha.

Meridianbet inakupatia machaguo mengi zaidi ya 1000, ODDS Kubwa na kile ambacho unakitaka ndio maanakaulimbiu yao inasema kuwa, Meridianbet, Msimu MpyaMzigo wa Kutosha. Kama bado hujajisajili na Meridianbetmuda ndio ingia www.meridianbet.co.tz uanze kuchezamichezo mbalimbali ya kasino pamoja na kubashiri mechi.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Pesa ipo huku Meridianbet, beti sasa

Spread the love  WIKIENDI inaishia leo hii jaman kama bado hujasuka mkeka...

Michezo

Wenzako wameshakuwa mamilionea hapa wewe unasubiri nini?

Spread the love  WIKIENDI imefika na ukiachana na mvua za Dar es...

Michezo

Manchester City vichwa chini Ligi Kuu England

Spread the love MABINGWA watetezi wa ligi kuu ya Uingereza klabu yaManchester City...

Michezo

Piga mkwanja wa kutosha katika usiku wa kibabe kati ya Man United vs Chelsea

Spread the love USIKU wa leo katika dimba la Old Trafford utapigwa mchezowa...

error: Content is protected !!