Tuesday , 30 April 2024

Kitengo

Categorizing posts based on content

BiasharaHabari Mchanganyiko

GGML yaibuka mshindi wa jumla maonesho ya madini Geita

KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited imenyakua tuzo nne ikiwamo mshindi wa jumla katika maonesho ya teknolojia ya madini yaliyofanyika kwa muda wa...

Biashara

Unyama ni kucheza Deuces Wild Poker

  NAFASI ya kuwa tajiri unayo mikononi mwako, lakini kuna kisa kimoja nataka ukifahamu kabla sijakupa mchongo kamili wa jinsi ya kutusua ulivyo....

BiasharaTangulizi

Bei ya mafuta ya petroli, dizeli kwa mwezi Oktoba yapaa tena

BEI ya mafuta ya petroli kwa mwezi Oktoba 2023, imepanda kwa Sh. 68, huku dizeli ikiongezeka kwa Sh. 189. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...

Kimataifa

Spika wa Marekani ang’olewa kwa madai ya usaliti

SPIKA wa Bunge la Marekani, Kevin McCarthy, ameondolewa madarakani kwa tuhuma za kukiasi chama chake cha Republican, akituhumiwa kushirikiana na Serikali ya Rais...

Biashara

Vodacom M-Pesa yajumuika kusherehekea siku ya urithi wa watu wa Afrika ya Kusini nchini Tanzania

KATIKA jitihada za kukuza na kuendeleza umoja miongoni mwa Watanzania na watu kutoka mataifa mengine, Vodacom Tanzania kupitia huduma yake ya M-Pesa iliungana...

Michezo

UEFA imekuja na maokoto yakutosha bashiri na Meridianbet sasa

UTAMU wa kubeti ule bhana, na ukitaka kula ni rahisi tuu weka dau lako dogo pata kikubwa zaidi. Mechi za Usiku wa Ligi...

AfyaHabari Mchanganyiko

Chanjo mpya ya malaria Sh 5,000-10,000

Shirika la afya la Duniani (WHO) limeridhia chanjo ya pili ya ugonjwa wa malaria kwa watoto ambayo inaweza kuokoa maisha ya maelfu ya...

AfyaHabari Mchanganyiko

Wagonjwa kiharusi waongezeka, Hospitali Mkapa yaja matibabu mapya

HOSPITALI ya Benjamini Mkapa kwa kushirikiana na madaktari Bingwa kutoka nchi Japan kupitia taasisi ya Tokushikai Medical group ya Japan wanatarajia kuanzisha huduma...

Biashara

NBC yazindua mwezi wa huduma kwa wateja kwa kuwatembelea mawakala, wateja

Benki ya Taifa ya Biashara – NBC imetumia maadhimisho ya mwezi wa huduma kwa wateja kwa kuwatembelea mawakala mbalimbali na wateja wa benki...

BiasharaMichezo

BetPawa kuwasaidia Watanzania 20 awamu ya 2 ‘Dream Maker’

KAMPUNI  ya michezo ya kubahatisha ya BetPawa Tanzania,  jana Jumatatu imezindua awamu ya pili ya programu yake ya kuwasaidia Watanzania wenye mawazo chanya...

Biashara

Maokoto Jackpot yaongezeka Meridianbet

  HATIMAYE kilio cha wengi kimesikilizwa na sasa ni mwendo wa kujichukulia maokoto ya kutosha pale Meridianbet, ni kwa wale wazee wa kuzichanga...

Biashara

Serikali: NMB Kwetu kuongeza fedha wanazotuma diaspora

BENKI ya NMB imeanzisha dirisha maalumu la kuwahudumia Watanzania wanaoishi nje ya nchi, huduma ambayo Serikali imesema itasaidia kuongeza fedha diaspora wanazotuma na...

Biashara

Ushindi ni kuongeza Pesa kwenye akaunti yako ya Meridianbet kupitia Halopesa

JE, unataka kushinda zawadi za kuvutia kama pikipiki, simuau mizunguko ya bure?  Je, unapenda kubashiri michezo au kucheza sloti na kasino mtandaoni?  Basi...

Biashara

Wafanyabiashara Kariakoo waiangukia Serikali

WAFANYABIASHARA waliopoteza mali zao katika ajali ya moto iliyotokea kwenye Soko la Kariakoo, maeneo ya Mnadani, wameiomba Serikali iwasaidie ili waweze kupata mitaji....

Michezo

Taswa wampongeza Mobhare Matinyi

  CHAMA cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), kinampongeza Mobhare Matinyi kwa kuaminiwa na kuteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari...

Kimataifa

Urusi yafungua milango kwa nchi za Afrika

SERIKALI ya Urusi imefungua milango ya ushirikiano wa kiuchumi, kijamii na teknolojia, kwa mataifa ya Afrika, huku ikiahidi kutoingilia masuala yake ya ndani....

Biashara

STAMICO yaibuka tena kidedea maonesho ya madini Geita

Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) imeibuka kidedea kwa kuwa mshindi wa pili  wa jumla katika Maonesho ya 6 ya Teknolojia ya Madini...

Biashara

Meridianbet yatoa msaada hospitali ya Kijitonyama

  KAMPUNI ya Meridianbet kama ilivyo kawaida yao kuhakikisha wanarudisha kwenye jamii kile kidogo walichovuna, Leo mapema wamefika Zahanati iliyopo Sinza na kutoa...

Michezo

Waziri madini atembelea banda la GGML, ashuhudia mradi wa uwanja wa kisasa

WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde ametembelea banda la Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) katika maonesho ya sita ya teknolojia ya madini...

AfyaHabari Mchanganyiko

Wananchi Geita wachangamkia uchunguzi wa saratani bure, wanawake wapewa neno

MAONESHO ya Sita ya Teknolojia ya Madini Geita yameendelea kuwanufaisha wakazi wa Geita na viunga vyake baada ya wananchi na wafanyakazi kutoka taasisi...

Afya

Serikali yaanza kutekeleza maombi ya Prof. Muhongo

SERIKALI imeanza kutekeleza maombi ya Mbunge wa Musoma Vijijini, Prof. Sospeter Muhongo (CCM) ya kupeleka vifaa tiba na watumishi katika kituo kipya cha...

Kimataifa

Wadukuzi wa Kichana waiba barua pepe 60,000 za Serikali ya Marekani

WADUKUZI wa kichana wamedukua barua pepe 60000 serikali ya Marekani mwezi Mei mwaka huu. CNN inaripoti …(endelea). Msemaji wa idara ya Serikali ya...

Biashara

Mwezi wa kutoboa ni huu, cheza Keno Bonanza utusue Maisha

MWEZI wa Oktoba wengi hupenda kuuita mwezi wakutoboa wakiwa na maana ya kwamba, maokoto yanakuwamengi sana, huenda ikawa ni kweli lakini nataka nikuibiesiri...

Elimu

Viwanda zaidi ya 200 kuonyesha bidhaa maonyesho ya TIMEXPO Dar

SHIRIKISHO la Wenye Viwanda Nchini (CTI) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Maendeleo ya  Biashara (TanTrade), wameandaa maonyesho makubwa ya kimataifa ya viwanda ambapo...

Biashara

Wataalam Uganda wapewa darasa teknolojia mpya uchimbaji madini katika maonesho Geita

MAONESHO ya Teknolojia ya Madini yamezidi kuwa darasa kwa wadau mbalimbali baada ya wageni kutoka Wizara ya Madini ya Serikali ya Uganda kushiriki...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Stamico yafungua fursa za kiuchumi kwa makundi maalumu

SHIRIKA la Madini la Taifa (STAMICO) limemwaga neema kwa watu wenye ulemavu nchini kupitia fursa ya uwakala na uuzaji wa mkaa mbadala wa...

Elimu

Wazazi wa wanafunzi waliokosa nafasi vyuo vikuu waonyeshwa njia na GEL

WAKALA wa Elimu ya Vyuo Vikuu Nje ya Nchi, Global Education Link (GEL), imewataka wazazi ambao watoto wao wamekosa nafasi za kusoma vyuo vikuu  ndani...

Kimataifa

Putin aita vikundi vya kujitolea vita ya Ukraine

RAIS wa Urusi, Vladimir Putin, amefungua milango ya ushirikiano kwa vikundi vya kijeshi vya kujitolea ,ili kuongeza nguvu katika vita kati yake na...

Kimataifa

Mlipuko wa bomu waua 50 katika sherehe za Maulidi ya Mtume

WATU takribani 50 wamefariki dunia huku wengine 50 wakijeruhiwa katika mlipuko wa bomu uliotokea karibu na msikiti nchini Pakistan, wakati wakisherehekea sikukuu ya...

Michezo

Meridianbet yaibukia Tandika, yafungua duka jipya

BAADA ya kupita maeneo mbalimbali hatimae kampuni yaMeridianbet imeibukia mitaa ya Tandika jijini Dar-es-salaam na kufanya uzinduzi wa duka jipya ambalo litatoahuduma zote...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Maabara ya bilioni 5 upimaji madini yazinduliwa Geita, inapima kwa mionzi

Zaidi ya Sh bilioni tano zimewekezwa katika kampuni ya MSALABS inayomiliki maabara ya upimaji wa sampuli za madini kwa kiwango cha kimataifa mkoani...

ElimuHabari Mchanganyiko

Wanafunzi Nyamkumbu wanolewa na GGML kuhusu taaluma ya madini

ZAIDI ya Wanafunzi 50 kutoka Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Nyankumbu iliyopo mkoani Geita wamepatiwa mbinu za kuzingatia katika masomo yao ili...

Biashara

TPHPA yafunda wafanyabiasha, wakulima matumizi ya viuatilifu

MAMLAKA ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA), imetoa mafunzo kwa wakulima ili waweze kutumia viuatilifu vilivyosajiliwa kwa usahihi. Anaripoti Mwandishi Wetu...

BiasharaMichezo

Ukiwa na Meridianbet ni rahisi kuwa milionea

  CARABAO Cup raundi ya 3 Uingereza inaendelea na mechi hizo zipo kwaajili ya kukupatia pesa yani kukufanya uione hii Dunia ni yako...

Michezo

Jezi ya Samatta iliyoifunga Liverpool kuuzwa Genk

  KLABU ya KRC Genk ya nchini Ubelgiji imeamua kuanza kuuza jezi ya mchezaji wa kitanzania Mbwana Samatta Nahodha wa timu ya taifa...

Biashara

NMB yatoa vifaa vya milioni 40 kwa Shule, Zahanati na Hospitali Mafia

BENKI ya NMBimekabidhi misaada mbalimbali yenye thamani ya Sh 40 milioni kwa Hospitali ya Wilaya ya Mafia, zahanati tano na shule moja ya...

Kimataifa

Mahakama yamkuta na hatia Donald Trump

  ALIYEKUWA Rais wa Marekani, Donald Trump, amekutwa na hatia ya ulaghai kwenye shughuli zake za biashara katika muongo mmoja uliopita. Anaripoti Mwandishi...

Kimataifa

Harusi yageuka msiba 100 wakifariki kwa ajali ya moto

  WATU takribani 100, akiwemo bibi na bwana harusi, wamefariki dunia kwa ajali ya moto iliyotokea usiku wa jana Jumanne, katika ukumbi waliokuwa...

Biashara

Trilioni 8 kujenga viwanda 200 Kwala

SERIKALI imesema uwekezaji unaofanywa na Sino-Tan katika Kongani ya Viwanda iliyopo Kwala, wilayani Kibaha mkoani Pwani utafanikisha ujenzi wa viwanda 200 vitakavyogharimu zaidi...

Kimataifa

Kampuni ya mali ya China Oceanwide yapata agizo la kufilisiwa huko Bermuda

  MAHAKAMA ya Bermuda imetoa amri ya kufilisiwa kwa Kamapuni ya Mali ya China ya Oceanwide Holdings Imeripotiwa na South China Morning Post...

Biashara

Infinix zero 30 5G yazinduliwa Tanzania, Voda watajwa kunufaika nayo

  KAMPUNI ya simu ya Infinix leo imetangaza uzinduzi wa simu mpya ya Infinix ZERO 30 5G, simu mahiri ya kwanza kwa kampuni...

BiasharaMichezo

Hii ndio historia ya El-Clasico, derby bora zaidi duniani

  KILA nchi ina vilabu viwili hasimu na pinzani nje ya uwanja na ndani, mfano Uingereza kuna Man Utd vs Man City (Manchester...

Biashara

NBC kuchochea ustawi biashara kati ya Tanzania na Afrika Kusini

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imesisitiza kuhusu dhamira yake ya kufanikisha ustawi wa biashara baina ya Tanzania na Afrika kusini kwa kuwawezesha...

Biashara

NMB yazindua hati fungani mpya ya trilioni 1

BENKI ya NMB imezindua rasmi programu mpya yenye hati fungani zenye thamani ya jumla ya Sh. trilioni moja, huku ikitajwa kuwa ya kwanza...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Serikali kununua mitambo 15 ya kuchoronga miamba

Serikali kupitia Wizara ya Madini imepanga kununua mitambo 15 ya uchorongaji wa miamba kwa ajili ya utafiti wa kina wa madini. Anaripoti Mwandishi...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Mtanzania aweka rekodi kimataifa kwa kiwanda cha kusafisha dhahabu

IMEELEZWA kuwa Kiwanda cha Kusafisha dhahabu cha Geita Gold Refinery (GGR) kinachomilikiwa na Mwekezaji Mtanzania, Sarah Masasi kimeiweka Tanzania katika Soko la Kimataifa...

Elimu

Green Acres kuwakatia bima wanafunzi wote

Shule ya Green Acres imejipanga kufanya mambo makubwa kwa mwaka 2023 / 2024 ikiwemo kuwakatia bima wanafunzi wa shule hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)...

AfyaHabari Mchanganyiko

Wafanyakazi GGML wajitokeza kuchunguzwa saratani

WAFANYAKAZI wa Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) leo Ijumaa wamejitokeza katika maonesho ya sita ya teknolojia ya madini Geita na kupatiwa...

BiasharaMichezo

Piga pesa kupitia Derby ya London Kaskazini kwa kubadhiri na Meridianbet

NAJUA umesikia na unazijua Derby nyingi kutoka jiji la London, lakini kuna hii ambayo inakwenda kupigwawikiendi hii pale katika dimba la Emirates kati ya...

Biashara

BRELA watoa elimu urasimishaji biashara maonesho madini

KATIKA kuongeza wigo kwa wawekezaji na wafanyabiashara kurasimisha biashara zao, Wakala ya Usajili wa Biashara na Leseni  nchini (BRELA) umetoa wito kwa wafanyabiashara...

error: Content is protected !!