WADUKUZI wa kichana wamedukua barua pepe 60000 serikali ya Marekani mwezi Mei mwaka huu. CNN inaripoti …(endelea).
Msemaji wa idara ya Serikali ya Marekani Matthew Miller amethibitisha kudukuliwa idara tisa za Serikali na kuibwa kwa barua pepe (email) 60,000.
Wachambuzi wa duru za siasa ulimwenguni wamekitafsiri kitendo hicho kuwa ni ishara ya shari kwa China.
Duru hizo zinaeleza kuwa hakuna shaka yoyote kuwa udukuzi huo unaungwa mkono na Serikali ya China.
Leave a comment